Hivi Dunia imeshindwa kugundua kipimo cha Tezi dume?

Hivi Dunia imeshindwa kugundua kipimo cha Tezi dume?

Bora nife kuliko kuingizwa vidole m.kun.duni na mwanaume mwenzangu, labda kidogo akiwa daktari Mwanamke naweza nikafikiria
Kidole ni kidole tu!

Kiwe cha mwanaume au mwanamke, bado ni kidole!

[emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39]
 
Kidole ni kidole tu!

Kiwe cha mwanaume au mwanamke, bado ni kidole!

[emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39]
Kama ni hivyo basi siwezi kukubali mtu yeyote awe Mwanamke au mwanaume aingize kidole kwenye mku.ndu wangu
 
Ubarikiwe uliyeanzisha hii platform [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kama ni hivyo basi siwezi kukubali mtu yeyote awe Mwanamke au mwanaume aingize kidole kwenye mku.ndu wangu
[emoji23] [emoji23] [emoji23]

Hapo sawa!

Sio unachagua eti bora vidole vya mwanamke!

[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23]

Hapo sawa!

Sio unachagua eti bora vidole vya mwanamke!

[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ila vidole vya Mwanamke ni vya laini havijakakamaa kama vya mwanaume
 
Ila vidole vya Mwanamke ni vya laini havijakakamaa kama vya mwanaume
uingiziwe vidole laini au uingiziwe vidole vilivyokakamaa, bado utakua umeingiziwa vidole tu mkuu!

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Bora nife kuliko kuingizwa vidole m.kun.duni na mwanaume mwenzangu, labda kidogo akiwa daktari Mwanamke naweza nikafikiria
Hujaugua wewe ndy maana unasema hayo. Hivi unasikia tu magonjwa ya mkojo au unachezea, ukifika kwa Daktari tu mwenyewe unabong'oa
 
Huwa najiuliza hivi nikweli wanasayansi wote duniani wameshindwa kabisa kugundua kipimo cha Tezi dume au tunafanyiana makusudi? Nadhani hii siyo fair kabisa, fanyeni mpate njia mbadala na ya uhakika zaidi. Unakuta Daktari anajisifu kuwa hii ndo njia ya uhakika zaidi kwahiyo watu waitumie, angejua mtaani watu wanamaindi sana.

Nimeuliza maana sasahivi wengi wetu ni vijana na tafiti zinaonesha uzeeni tatizo hili huwakumba wanaume wengi, kwahiyo tukifikia uzee na bahati mbaya kukumbwa na tatizo hili mnadhani nini kitafuata kama si kipimo hiki kiovu?
Kipimo cha kwanza unacho mwenyewe ukiona unapata mkojo wa matone na kipimo cha pili ni Utra sound inaonesha kila kitu, hayo mengine ni story tu.
 
Bora ww unayefkiria mm ctak yeyote shabash!!!!
Mzee wangu aliugua tezi dume,akaambiwa kupimwa ni kwa kidole alichomoa mbaya na kuwatukana madaktari.mwisho wa siku tulimzika 2016 baada tezi kuwa na kansa.wanaume kwa kweli tumepatikana,lkn kwa jinsi Mzee wangu alivyopata shida Hilo ni somo kwangu.nikiona dalili za tezi utakuwa mtihani mkubwa kwangu coz ukizembea kinachofuata ni Kansa.sasa Kama una Kansa kinachofutia ni kifo.......mungu tunusuru.
 
kipimo kipo tatizo kuchelewa drs wanasema kuwa ukikaribia au kufikisha miaka hamsini hv kila mwaka pima mara moja ni cha kisasa zaidi sy zile story z vijiweni kupimwa kwa kuingizwa vidole matakoni hilo halipo nenda muhimmbili na ukipenda hata baada ya kufikisha miaka 40 jenga mazoeya ya kupima kuna dr wa muhimbilia aliniambia haoni sababu ya wanaume kufa na tezi dume
Mkuu kipimo kiko muhimbili tuu? watz tuko zaidi ya miln 50 na tumetapakaa dunia nzima na tunatumia jf, unadhan kila aliyeko hapa yuko Dar au tz
 
Vipimo vya tezi dume ama kwa lugha ya kitaalam inaitwa benign prostate hyperplasia (BPH) vipo
Ikiwa moja wapo ni hiyo
1.digital rectal examination (DRE)
Ambayo ndo huingizwa kidole sehemu ya haja kubwa inafanyika TZ pia

2.prostate specific antigen (PSA)
Hapa tunachukua damu na kuangalia antigen zinazozalishwa na tezi dume (prostate) ikiwa katika hali ya kawaida au ikiwa inamaambukizi au ikiwa katika pathological state. Hapa tunaangalia kiwango cha PSA kikiwa zaidi ya 7 tunaanza kususpect uwepo wa ugonjwa wa tezi dume.tunajiridhisha kama mgonjwa anaugonjwa endapo atakua pia na dalili za tezi dume

3.kipimo cha tatu ni ultrasound ambapo tunaangalia tezi dume kama imekua yaan imeongezeka kuliko kawaida na pia tunajiridhisha kama anadalili za tezi dume

NB:kupimwa ugonjwa wa tezi dume sio lazima watumie kipimo cha kuingizwa kidole sehemu ya haja kubwa (DRE) Bali tunaweza kuconfirm kupitia vipimo hivyo viwili vingine na kuangalia dalili za ugonjwa wa tezi dume
Sema sasa tatizo linakuja kwa Tanzania mpaka mtu afanyiwe vile vipimo vingine vya ultrasound na PSA inachukua muda mwingi kutokana na uzembe mwingi kutoa majibu kutoka maabara na ufiatiliaji wa wahusika lakini DRE ni kipimo cha haraka na majibu daktari hutoa papo hapo hahahahaha
Zitambue dalili za tezi dume
1.kukojoa kwa shida
2.kuto kumaliza mkojo kwenye kibofu
3.kupata hamu ya kukojo lakini mkojo kutoka kidogo kidogo na muda mwingine huambatana na maumivu wakati wa kukojoa
4.mkojo kuto kwenda mbali Wakati wa kukojoa ata kama ukisukuma kwa nguvu
5.kukojoa Mara kwa mara
Umetutia moyo asee daah acha ninywe maji sasa.
 
Back
Top Bottom