Mzinza wa town
JF-Expert Member
- Mar 15, 2018
- 347
- 374
Mbona wa mama wao hawalalamiki? Wao wakienda kujifungua hupimwa njia kwa vidole na ikitokea akachanika msamba akashonwa ataingiziwa vidole njia ya haja kubwa kurule out kama haijashonwa
Hiki kipimo cha damu sio cha uhakika, wanachopima kwenye damu kinaitwa Prostate specific antigen(PSA), kuna wakati kinaweza kuwa juu na wakati mtu hana ugonjwa kwa hiyo sio cha kutegemea, kipimo cha uhakika ni hicho cha kugusa kwa kidole.Mkuu wewe unaishi dunia gani? Siku hizi wanapima kwa DAMU, huna haja ya KUTIWA KIDOLE!
kipimo kipo tatizo kuchelewa drs wanasema kuwa ukikaribia au kufikisha miaka hamsini hv kila mwaka pima mara moja ni cha kisasa zaidi sy zile story z vijiweni kupimwa kwa kuingizwa vidole matakoni hilo halipo nenda muhimmbili na ukipenda hata baada ya kufikisha miaka 40 jenga mazoeya ya kupima kuna dr wa muhimbilia aliniambia haoni sababu ya wanaume kufa na tezi dumeHuwa najiuliza hivi nikweli wanasayansi wote duniani wameshindwa kabisa kugundua kipimo cha Tezi dume au tunafanyiana makusudi? Nadhani hii siyo fair kabisa, fanyeni mpate njia mbadala na ya uhakika zaidi. Unakuta Daktari anajisifu kuwa hii ndo njia ya uhakika zaidi kwahiyo watu waitumie, angejua mtaani watu wanamaindi sana.
Nimeuliza maana sasahivi wengi wetu ni vijana na tafiti zinaonesha uzeeni tatizo hili huwakumba wanaume wengi, kwahiyo tukifikia uzee na bahati mbaya kukumbwa na tatizo hili mnadhani nini kitafuata kama si kipimo hiki kiovu?
umeeleza vyema mtaalamu, ila namimi naomba nikurekebishe kidogo nadhani ume overlook au umeamua kutumia lugha ya ki-layman. Kwa ufahamu wangu ni kuwa Hakuna Ugonjwa Unaitwa "Tezi Dume". Neno Tezi dume ni tafsiri ya Prostate Gland. Ugonjwa hua una jina lake mfano Saratani ya tezi dume n.k. Thank you mtaalamu umetupa elimu adimu.Vipimo vya tezi dume ama kwa lugha ya kitaalam inaitwa benign prostate hyperplasia (BPH) vipo
Ikiwa moja wapo ni hiyo
1.digital rectal examination (DRE)
Ambayo ndo huingizwa kidole sehemu ya haja kubwa inafanyika TZ pia
2.prostate specific antigen (PSA)
Hapa tunachukua damu na kuangalia antigen zinazozalishwa na tezi dume (prostate) ikiwa katika hali ya kawaida au ikiwa inamaambukizi au ikiwa katika pathological state. Hapa tunaangalia kiwango cha PSA kikiwa zaidi ya 7 tunaanza kususpect uwepo wa ugonjwa wa tezi dume.tunajiridhisha kama mgonjwa anaugonjwa endapo atakua pia na dalili za tezi dume
3.kipimo cha tatu ni ultrasound ambapo tunaangalia tezi dume kama imekua yaan imeongezeka kuliko kawaida na pia tunajiridhisha kama anadalili za tezi dume
NB:kupimwa ugonjwa wa tezi dume sio lazima watumie kipimo cha kuingizwa kidole sehemu ya haja kubwa (DRE) Bali tunaweza kuconfirm kupitia vipimo hivyo viwili vingine na kuangalia dalili za ugonjwa wa tezi dume
Sema sasa tatizo linakuja kwa Tanzania mpaka mtu afanyiwe vile vipimo vingine vya ultrasound na PSA inachukua muda mwingi kutokana na uzembe mwingi kutoa majibu kutoka maabara na ufiatiliaji wa wahusika lakini DRE ni kipimo cha haraka na majibu daktari hutoa papo hapo hahahahaha
Zitambue dalili za tezi dume
1.kukojoa kwa shida
2.kuto kumaliza mkojo kwenye kibofu
3.kupata hamu ya kukojo lakini mkojo kutoka kidogo kidogo na muda mwingine huambatana na maumivu wakati wa kukojoa
4.mkojo kuto kwenda mbali Wakati wa kukojoa ata kama ukisukuma kwa nguvu
5.kukojoa Mara kwa mara
Imenibidi tu namimi nicheke..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ahsante Dokta kwa maelezo mazuri.Vipimo vya tezi dume ama kwa lugha ya kitaalam inaitwa benign prostate hyperplasia (BPH) vipo
Ikiwa moja wapo ni hiyo
1.digital rectal examination (DRE)
Ambayo ndo huingizwa kidole sehemu ya haja kubwa inafanyika TZ pia
2.prostate specific antigen (PSA)
Hapa tunachukua damu na kuangalia antigen zinazozalishwa na tezi dume (prostate) ikiwa katika hali ya kawaida au ikiwa inamaambukizi au ikiwa katika pathological state. Hapa tunaangalia kiwango cha PSA kikiwa zaidi ya 7 tunaanza kususpect uwepo wa ugonjwa wa tezi dume.tunajiridhisha kama mgonjwa anaugonjwa endapo atakua pia na dalili za tezi dume
3.kipimo cha tatu ni ultrasound ambapo tunaangalia tezi dume kama imekua yaan imeongezeka kuliko kawaida na pia tunajiridhisha kama anadalili za tezi dume
NB:kupimwa ugonjwa wa tezi dume sio lazima watumie kipimo cha kuingizwa kidole sehemu ya haja kubwa (DRE) Bali tunaweza kuconfirm kupitia vipimo hivyo viwili vingine na kuangalia dalili za ugonjwa wa tezi dume
Sema sasa tatizo linakuja kwa Tanzania mpaka mtu afanyiwe vile vipimo vingine vya ultrasound na PSA inachukua muda mwingi kutokana na uzembe mwingi kutoa majibu kutoka maabara na ufiatiliaji wa wahusika lakini DRE ni kipimo cha haraka na majibu daktari hutoa papo hapo hahahahaha
Zitambue dalili za tezi dume
1.kukojoa kwa shida
2.kuto kumaliza mkojo kwenye kibofu
3.kupata hamu ya kukojo lakini mkojo kutoka kidogo kidogo na muda mwingine huambatana na maumivu wakati wa kukojoa
4.mkojo kuto kwenda mbali Wakati wa kukojoa ata kama ukisukuma kwa nguvu
5.kukojoa Mara kwa mara
Bora ww unayefkiria mm ctak yeyote shabash!!!!Bora nife kuliko kuingizwa vidole m.kun.duni na mwanaume mwenzangu, labda kidogo akiwa daktari Mwanamke naweza nikafikiria
Kwann ulipewa kifungo?
Vinachekesha shoga[emoji23] [emoji23]Imenibidi tu namimi nicheke..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unaongea hivyo tu kwa vile hujaumwa tu.Bora nife kuliko kuingizwa vidole m.kun.duni na mwanaume mwenzangu, labda kidogo akiwa daktari Mwanamke naweza nikafikiria