Hivi Dunia imeshindwa kugundua kipimo cha Tezi dume?

Huwa najiuliza hivi nikweli wanasayansi wote duniani wameshindwa kabisa kugundua kipimo cha Tezi dume au tunafanyiana makusudi? Nadhani hii siyo fair kabisa, fanyeni mpate njia mbadala na ya uhakika zaidi. Unakuta Daktari anajisifu kuwa hii ndo njia ya uhakika zaidi kwahiyo watu waitumie, angejua mtaani watu wanamaindi sana.

Nimeuliza maana sasahivi wengi wetu ni vijana na tafiti zinaonesha uzeeni tatizo hili huwakumba wanaume wengi, kwahiyo tukifikia uzee na bahati mbaya kukumbwa na tatizo hili mnadhani nini kitafuata kama si kipimo hiki kiovu?
Tezi dume ingekuwa inawapata vijana ndo ingekua hatari..
Lkn mara nyingi ni wazee more than 60 yrs kwa hio huwa hawamind sana kupigwa digitalrectal
 
heri yangu mke wangu nurse kukiwa na ulazima ataelekezwa yy hicho kipimo cha kidhalili
shajishaji
 
Huwa najiuliza hivi nikweli wanasayansi wote duniani wameshindwa kabisa kugundua kipimo cha Tezi dume au tunafanyiana makusudi? Nadhani hii siyo fair kabisa, fanyeni mpate njia mbadala na ya uhakika zaidi. Unakuta Daktari anajisifu kuwa hii ndo njia ya uhakika zaidi kwahiyo watu waitumie, angejua mtaani watu wanamaindi sana.

Nimeuliza maana sasahivi wengi wetu ni vijana na tafiti zinaonesha uzeeni tatizo hili huwakumba wanaume wengi, kwahiyo tukifikia uzee na bahati mbaya kukumbwa na tatizo hili mnadhani nini kitafuata kama si kipimo hiki kiovu?
Kipimo kingine kipo ambacho wanapima tezi dume kwa kupima sampuli ya damu na kipo faster sana... Kwa hiyo ondoeni hofu ya kudhani kipimo mbadala hakipo!!!!!
 
Vipimo vya tezi dume ama kwa lugha ya kitaalam inaitwa benign prostate hyperplasia (BPH) vipo
Ikiwa moja wapo ni hiyo
1.digital rectal examination (DRE)
Ambayo ndo huingizwa kidole sehemu ya haja kubwa inafanyika TZ pia

2.prostate specific antigen (PSA)
Hapa tunachukua damu na kuangalia antigen zinazozalishwa na tezi dume (prostate) ikiwa katika hali ya kawaida au ikiwa inamaambukizi au ikiwa katika pathological state. Hapa tunaangalia kiwango cha PSA kikiwa zaidi ya 7 tunaanza kususpect uwepo wa ugonjwa wa tezi dume.tunajiridhisha kama mgonjwa anaugonjwa endapo atakua pia na dalili za tezi dume

3.kipimo cha tatu ni ultrasound ambapo tunaangalia tezi dume kama imekua yaan imeongezeka kuliko kawaida na pia tunajiridhisha kama anadalili za tezi dume

NB:kupimwa ugonjwa wa tezi dume sio lazima watumie kipimo cha kuingizwa kidole sehemu ya haja kubwa (DRE) Bali tunaweza kuconfirm kupitia vipimo hivyo viwili vingine na kuangalia dalili za ugonjwa wa tezi dume
Sema sasa tatizo linakuja kwa Tanzania mpaka mtu afanyiwe vile vipimo vingine vya ultrasound na PSA inachukua muda mwingi kutokana na uzembe mwingi kutoa majibu kutoka maabara na ufiatiliaji wa wahusika lakini DRE ni kipimo cha haraka na majibu daktari hutoa papo hapo hahahahaha
Zitambue dalili za tezi dume
1.kukojoa kwa shida
2.kuto kumaliza mkojo kwenye kibofu
3.kupata hamu ya kukojo lakini mkojo kutoka kidogo kidogo na muda mwingine huambatana na maumivu wakati wa kukojoa
4.mkojo kuto kwenda mbali Wakati wa kukojoa ata kama ukisukuma kwa nguvu
5.kukojoa Mara kwa mara
Mku unajua sehemu kama vijini watu hawajui ila kama dalili ndio hizi ni rahisi kumwambia mtu.
 
Mku na dalili ya bawasiri mtu anaijuaje au ndio kama hii
 
Back
Top Bottom