Hivi Dunia imeshindwa kugundua kipimo cha Tezi dume?

Dah haya malazi mengine jamani [emoji58][emoji58][emoji58][emoji58][emoji58][emoji58]
 
In medicine they say it is recommended when the benefit clearly outweighs the risk

Kusema kwamba hauko tayari kwa kipimo icho ni sawa na mpumbav..u mmoja aliyewai kusema bora afe kuliko kukatwa mguu siku akipata trauma ya mguu

Sometimes watu tunaongea kwa ignorance au utani ila usiombee upate tatizo maana unaweza kuomba hata dyu dyu ili upone
 
Hiki kipimo cha damu sio cha uhakika, wanachopima kwenye damu kinaitwa Prostate specific antigen(PSA), kuna wakati kinaweza kuwa juu na wakati mtu hana ugonjwa kwa hiyo sio cha kutegemea, kipimo cha uhakika ni hicho cha kugusa kwa kidole.
Wewe ni miongoni mwa madaktari tusiowataka
 
Vipimo vya tezi dume ama kwa lugha ya kitaalam inaitwa benign prostate hyperplasia (BPH) vipo
Ikiwa moja wapo ni hiyo
1.digital rectal examination (DRE)
Ambayo ndo huingizwa kidole sehemu ya haja kubwa inafanyika TZ pia

2.prostate specific antigen (PSA)
Hapa tunachukua damu na kuangalia antigen zinazozalishwa na tezi dume (prostate) ikiwa katika hali ya kawaida au ikiwa inamaambukizi au ikiwa katika pathological state. Hapa tunaangalia kiwango cha PSA kikiwa zaidi ya 7 tunaanza kususpect uwepo wa ugonjwa wa tezi dume.tunajiridhisha kama mgonjwa anaugonjwa endapo atakua pia na dalili za tezi dume

3.kipimo cha tatu ni ultrasound ambapo tunaangalia tezi dume kama imekua yaan imeongezeka kuliko kawaida na pia tunajiridhisha kama anadalili za tezi dume

NB:kupimwa ugonjwa wa tezi dume sio lazima watumie kipimo cha kuingizwa kidole sehemu ya haja kubwa (DRE) Bali tunaweza kuconfirm kupitia vipimo hivyo viwili vingine na kuangalia dalili za ugonjwa wa tezi dume
Sema sasa tatizo linakuja kwa Tanzania mpaka mtu afanyiwe vile vipimo vingine vya ultrasound na PSA inachukua muda mwingi kutokana na uzembe mwingi kutoa majibu kutoka maabara na ufiatiliaji wa wahusika lakini DRE ni kipimo cha haraka na majibu daktari hutoa papo hapo hahahahaha
Zitambue dalili za tezi dume
1.kukojoa kwa shida
2.kuto kumaliza mkojo kwenye kibofu
3.kupata hamu ya kukojo lakini mkojo kutoka kidogo kidogo na muda mwingine huambatana na maumivu wakati wa kukojoa
4.mkojo kuto kwenda mbali Wakati wa kukojoa ata kama ukisukuma kwa nguvu
5.kukojoa Mara kwa mara
Nikweli kuwa wanaopenda mbolea, kula goti wanahatari ya kupata huu ugonjwa kwa asilimia kubwa?
 
Dawa??
 
Wataalamu wapo sema sema wote mabasha wanapenda mchezo wa kuwekana vidole
 
Ila ujue hivyo vipimo vinategemeana,, PSA haiwezi kustand alone, inabid ishirikiane na DRE, biopsy na echography.,, PSA jumlisha utrasound ili ziwe na uhakika zaidi, inabidi kakidole kahusike,,
 
Mkuu mbona unang'ang'ania kidole? Ni dhahiri kuwa una nia ovu kwa wanaume
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ,umenikumbusha katuni ya family guy. Peter alienda hospitali kupima tezi dume halafu akapimwa oil basi alitoka nduki kwa dokta huku analia ,baadae akafungua kesi kwamba amekua sexually assaulted na daktari.

[emoji23] [emoji23] Hiyo katuni na the simpsons ni hatari kwa watoto
 
Back
Top Bottom