Hivi Dr. Mpango amewahi kufanya biashara yoyote?

Hivi Dr. Mpango amewahi kufanya biashara yoyote?

Sasa ulitaka walengwe wakina nani? Unataka kufanya biashara halafu kodi hutaki kulipa? Kama hutaki kulipa kodi basi hama nchi!
Sielewi nyie vitobo hii hakimiliki ya nchi mpaka kuwa na uwezo wa kuwaambia raia wengine wahame nchi mmegewa na nani!? ***** zenu.
 
Nimeiangalia bajeti yake kwa umakini na inaonyesha kama imewalenga hasa wafanyabiashara, sijui lengo lake nini, kuwakomoa? Hivi kuna nchi inaweza kusonga bila wafanyabiashara?

Kwa mfano kutoza VAT kwenye miamala ya simu pamoja na kumgusa kila mtu lakini wafanyabiashara ndio watakaoathirika zaidi, maana badala ya mtu kutuma hela mbagala kwa simu sasa atapanda daladala na kupeleka kwa mkono.Hili la kuendelea kutegemea bia na sigara kwenye kodi litaua viwanda ambavyo ni tegemeo kubwa la ajira.

Ifahamike kwamba hakuna mfanyakazi wa serikali ya Tanzania aliyewahi kusajili namba binafsi kwenye gari lake, sasa kupandisha ada hii kwa 100% yaani kutoka mil 5 hadi mil10 ni kuwakomoa wafanyabiashara bila sababu yoyote.

Mtu yeyote aliyewahi kupata uzoefu kwenye biashara ambaye anazijua changamoto zake hawezi kuleta bajeti inayokandamiza sekta hii kwa kiwango ambacho ni hakika kuna viwanda na biashara kadhaa hazitaweza kumudu.
Kwani una sababu gani ya msingi kuandika jina lako badala ya namba ya kawaida? Si unapenda umaarufu lipia hio 10m.
 
heshima yako malala. Ila wafanyabiashara bongo kodi mnayotozwa bado ndogo sana. Hollande huko ufaransa matajir au wafanyabiashara wananyukwa 75% hadi wanatoroka nch. Nchi za skendinevia wananyukwa 64%+.

Ila kwa akina Hollande yeye kwenye kampen kabla awe rais iyo ya kodi aliahid na ilikuwa kwenye ilan ndio iliyompeleka ikul kwasabab working class wengi walimpigia. Ila hapa kwetu ni kukurupuka tu aikuwa hata kwenye ilan wanakaa na kupanga kivyao tu. Halaf cha kuhuzunisha utakuta kodi inakusanywa kubwa hamna kitu tunazid kurwmbeza bakuli kweli nyambaf zetu. Afadhal akina Hollande huko ufaransa unaona kodi kweli inafanya kaz.

Ila Malala usikate tamaa. Kumbuka watu 300 pamoja na familia zao wanakutegemea
Uko sahihi mkuu tunapishana kidogo hapa kipato cha mfaransa wa kawaida si sawa na mtanzania wale wapo first world sisi tuko third world wametuzidi kila kitu, ni kawaida kusikia kilio cha maji bungeni kwetu, si Ufaransa kwa Holland. Jaribu kutoa mifano inayoendana na nchi yetu.
 
Kwani una sababu gani ya msingi kuandika jina lako badala ya namba ya kawaida? Si unapenda umaarufu lipia hio 10m.
Ni hivi, unaweza hata kupunguza kutoka ile 5ml hadi 3mil lakini ukawapata watu laki moja, lakini ukipofushwa ukang'ang'ana na 10mil unaweza kuambulia watu watano tu, sasa kama lengo lako ni kupata hela ukipunguza kodi kama hii unaweza ukapata zaidi, lakini kama ukipandisha sana kodi utaambulia zero bali utakuwa umefanikiwa lengo la bifu zako za kuwaonea gere matajiri.
 
Mkuu, ungekutana Dr. Mpango ungemshauri nini kuhusu bajeti maana umetoa malalamiko bila ya suluhisho.
 
Mkuu,ungekutana Dr. Mpango ungemshauri nini kuhusu bajeti maana umetoa malalamiko bila ya suluhisho.
Ningemwambia kwamba, hatakiwi kutengeneza bifu kati yake na wafanyabiashara, ni lazima atashindwa tu, amewasilisha bajeti ya kukamua halafu kwa vitisho vikubwa sana as if ni kamanda anayezungumza na wahalifu , kwa ufupi ni kwamba serikali ndio inayowahitaji wafanyabiashara kuliko wafanyabiashara wanavyoihitaji.
 
Ningemwambia kwamba , hatakiwi kutengeneza bifu kati yake na wafanyabiashara , ni lazima atashindwa tu , amewasilisha bajeti ya kukamua halafu kwa vitisho vikubwa sana as if ni kamanda anayezungumza na wahalifu , kwa ufupi ni kwamba serikali ndio inayowahitaji wafanyabiashara kuliko wafanyabiashara wanavyoihitaji .
Ok! Lakini Dr. Mpango ana wataalamu wake wanaoandaa hiyo bajeti, huoni nao ndio wa kubeba hizi lawama? Au unasemaje kaka.
 
Sielewi nyie vitobo hii hakimiliki ya nchi mpaka kuwa na uwezo Wa kuwaambia raia wengine wahame nchi mmegewa na nani!? ***** zenu.

Du yaani mngekuwa live, mngekuwa mshavaana tulizeni jazba humu JF ndio watu wako huru kutoa mawazo yao hata kama huyataki na mengine yanakupa nafasi kujua kama wengine humu wako bwax au wana arosto.
 
Sasa kama walikuwa wanapata milion 5 kwa magari say 2000, ikiwa 10 mil si watapata gari 1 la bishoo mmoja tu. Halafu huongezi kodi ili waexit, lengo ni kupata hela zaidi. Wangepunguza wangepata mabishoo wengi zaidi. Hajui tu hizi hesabu za mtaani za kuuza perege. Halafu unajiliza hivi unapopandisha kodi kwa vitu visivyo na impact sijui unataka kuona nini? Au wivu tu nae alitaka jina lake liwekwe kwenye escudo yake teh teh
 
Ni hivi , unaweza hata kupunguza kutoka ile 5ml hadi 3mil lakini ukawapata watu laki moja , lakini ukipofushwa ukang'ang'ana na 10mil unaweza kuambulia watu watano tu , sasa kama lengo lako ni kupata hela ukipunguza kodi kama hii unaweza ukapata zaidi , lakini kama ukipandisha sana kodi utaambulia zero bali utakuwa umefanikiwa lengo la bifu zako za kuwaonea gere matajiri .
Ningemwambia kwamba , hatakiwi kutengeneza bifu kati yake na wafanyabiashara , ni lazima atashindwa tu , amewasilisha bajeti ya kukamua halafu kwa vitisho vikubwa sana as if ni kamanda anayezungumza na wahalifu , kwa ufupi ni kwamba serikali ndio inayowahitaji wafanyabiashara kuliko wafanyabiashara wanavyoihitaji .
Kumbe una agenda yako ya siri. Basi sawa.
 
Ok! Lakini Dr. Mpango ana wataalamu wake wanaoandaa hiyo bajeti,huoni nao ndio wa kubeba hizi lawama? Au unasemaje kaka.
Kabla ya yeye kuwa waziri ndio aliekuwa anaandaa bajeti zote za JK miaka 10....sasa lawama lazima apewe yeye maana amekurupuka kumridhisha Mfalme Juha! Bajeti hewa! Mipango haitekelezeki....tunaanza kuficha pesa majumbani.....na transaction za MNO hazita grow watashangaa!! Hawatapata hata walizokuwa wanapata! Nao wataisoma namba!
 
ujue mimi sijakuelewa point yako mpaka sasa especially kwenye hiyo kupanda kutoka mil 5 hadi mil 10.nikuulize huko kupanda kwa hiyo kitu kina muathiri vipi mfanyabiashara maana hiki ni kitu unnecessary kabisa....
LABDA ANAOSHA HAYO MAGARI YA MAPEDESHEE AJIRA ITAKUFA
 
ujue mimi sijakuelewa point yako mpaka sasa especially kwenye hiyo kupanda kutoka mil 5 hadi mil 10.nikuulize huko kupanda kwa hiyo kitu kina muathiri vipi mfanyabiashara maana hiki ni kitu unnecessary kabisa....
LABDA ANAOSHA HAYO MAGARI YA MAPEDESHEE AJIRA ITAKUFA
 
Nimeiangalia bajeti yake kwa umakini na inaonyesha kama imewalenga hasa wafanyabiashara, sijui lengo lake nini, kuwakomoa? Hivi kuna nchi inaweza kusonga bila wafanyabiashara?

Kwa mfano kutoza VAT kwenye miamala ya simu pamoja na kumgusa kila mtu lakini wafanyabiashara ndio watakaoathirika zaidi, maana badala ya mtu kutuma hela mbagala kwa simu sasa atapanda daladala na kupeleka kwa mkono.Hili la kuendelea kutegemea bia na sigara kwenye kodi litaua viwanda ambavyo ni tegemeo kubwa la ajira.

Ifahamike kwamba hakuna mfanyakazi wa serikali ya Tanzania aliyewahi kusajili namba binafsi kwenye gari lake, sasa kupandisha ada hii kwa 100% yaani kutoka mil 5 hadi mil10 ni kuwakomoa wafanyabiashara bila sababu yoyote.

Mtu yeyote aliyewahi kupata uzoefu kwenye biashara ambaye anazijua changamoto zake hawezikuleta bajeti inayokandamiza sektahii kwa kiwango ambacho ni hakika kuna viwanda na biashara kadhaa hazitaweza kumudu.
WEWE ULIWAHI KUNUNUA KITU DUKANI
 
heshima yako malala. Ila wafanyabiashara bongo kodi mnayotozwa bado ndogo sana. Hollande huko ufaransa matajir au wafanyabiashara wananyukwa 75% hadi wanatoroka nch. Nchi za skendinevia wananyukwa 64%+.

Ila kwa akina Hollande yeye kwenye kampen kabla awe rais iyo ya kodi aliahid na ilikuwa kwenye ilan ndio iliyompeleka ikul kwasabab working class wengi walimpigia. Ila hapa kwetu ni kukurupuka tu aikuwa hata kwenye ilan wanakaa na kupanga kivyao tu. Halaf cha kuhuzunisha utakuta kodi inakusanywa kubwa hamna kitu tunazid kurwmbeza bakuli kweli nyambaf zetu. Afadhal akina Hollande huko ufaransa unaona kodi kweli inafanya kaz.

Ila Malala usikate tamaa. Kumbuka watu 300 pamoja na familia zao wanakutegemea
Mkuu, mentality ya kulipa kodi miongoni mwa watanzania ni majanga kabisa.
Watu kila siku watadai serikali ifanye hiki au kile lakini hawataki kulipa kodi.
Mgonjwa anataka kupona bila kunywa dawa!
 
Back
Top Bottom