Tony antony
JF-Expert Member
- Nov 17, 2013
- 4,988
- 3,270
Wewe utakuwa huna akili kidogo, kwahiyo wasingepunguza misaada unataka kutuambia bajeti yetu leo ingekuwa inasomwa tri.31+ na kuendelea.........Mkuuu, haya ndio madhara ya wahisani kupunguza misaada kwenye uchumi wetu. Watu walikuwa wanambeza JK kuwa kila siku yuko nje, but ukiwa na hali kama hii ambapo 90% ya wana Dar hawana ajira, unakaaje pale ikulu? By now JK angekuwa kwa Obama anapigia chapuo misaada kwa kuwa kiukweli nchi yetu ni maskini na hata pia nchi kama Israeli au Egypty ambazo ni 'tajiri' bado nazo zinapokea misaada kutoka America.