Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 141,569
- 284,096
- Thread starter
- #21
Mkuu si kila jambo unaleta siasa zako za lumumba.Labda nchi ya Lowasa! Nchi imenuna kwa misingi hipi?
Mkuu si kila jambo unaleta siasa zako za lumumba.Labda nchi ya Lowasa! Nchi imenuna kwa misingi hipi?
Mimi nakuuliza hiyo namba binafsi inamuathiri vipi mfanyabiashara?? Mbona hujibu swali wewe??Je hata ile mil 5 uliyokuwa unaipata nayo haina umuhimu ? Kumbuka hapo nimekuwekea vipande , tukiweka bajeti yote vyanzo vyake kwa % kubwa ni wafanyabiashara tu .
Mkuu huyu jamaa kachanganya mambo anajifanya anajua kutetea mfanyabiashara kwa hoja zisizo za msingi wala hazina mashiko kabisaHiyo ya magari imepanda kwa asilimia 500. Ile 5m ilikuwa kwa miaka mitatu na hii 10m ni mwaka mmoja. Mimi navyojua ile revenue stream itashuka maana wengi wataexit na hiyo mi naona ndio problem lakini kuipandisha haina athari ya moja kwa moja kwnye biashara kwani ni luxury.
Hapo ndio tatizo. Wangeweka mazingira bora na mazuri kwa wananch hili hata kufanya biashara iwe na manufaa kwa serikali na wafanyabiashara hata wakiongeza mikodi yao kuna tija. Yani CCM wanakusanya kodi unadhan ni kama mchezo flan hiv wanacheza sijui kombolela ama kidalipoo. Mimi nauliza hiz kodi zinaendaga wapi? Kila uuchwao ni kutembeza bakuli. WAkat wa jk alikuwa anakopa had kwa wafanyabiashara wa ndan na mabenk so sad. Really let us pray for trump to be president so that he can nuke us.Kuendesha kiwanda nchi zingine kuna ahueni maana hata mazingira yanakuruhusu kufanya kazi , sasa huku kwetu mjomba wadau hatushirikishwi kabisa .
Nitajie nchi ambayo 100% haitegemei wafanyabiashara na mimi nikaishi...au wewe definition yako ya wafanya biashara ni ipi,maana hata hivyo viwanda vinatengeneza bidhaa ili viuze nayo ni biashara sasa niambie nchi gani haitegemei wafanya biasharaNchi inatakiwa ijiongeze , kutegemea wafanyabiashara tu ili kuendesha nchi iko siku tutakwama .
hapo ndio tatizo. Wangeweka mazingira bora na mazuri kwa wananch hili hata kufanya biashara iwe na manufaa kwa serikali na wafanyabiashara hata wakiongeza mikodi yao kuna tija. Yani CCM wanakusanya kodi unadhan ni kama mchezo flan hiv wanacheza sijui kombolela ama kidalipoo. Mimi nauliza hiz kodi zinaendaga wapi? Kila uchwao ni kutembeza bakuli. Really let us pray for trump to be president so that he can nuke us.
Nimeiangalia bajeti yake kwa umakini na inaonyesha kama imewalenga hasa wafanyabiashara, sijui lengo lake nini, kuwakomoa? Hivi kuna nchi inaweza kusonga bila wafanyabiashara?
Kwa mfano kutoza VAT kwenye miamala ya simu pamoja na kumgusa kila mtu lakini wafanyabiashara ndio watakaoathirika zaidi, maana badala ya mtu kutuma hela mbagala kwa simu sasa atapanda daladala na kupeleka kwa mkono.Hili la kuendelea kutegemea bia na sigara kwenye kodi litaua viwanda ambavyo ni tegemeo kubwa la ajira.
Ifahamike kwamba hakuna mfanyakazi wa serikali ya Tanzania aliyewahi kusajili namba binafsi kwenye gari lake, sasa kupandisha ada hii kwa 100% yaani kutoka mil 5 hadi mil10 ni kuwakomoa wafanyabiashara bila sababu yoyote.
Mtu yeyote aliyewahi kupata uzoefu kwenye biashara ambaye anazijua changamoto zake hawezi kuleta bajeti inayokandamiza sekta hii kwa kiwango ambacho ni hakika kuna viwanda na biashara kadhaa hazitaweza kumudu.
Kwani wafanyakazi wa serikalini wamezuiwa kuweka registration # zenye majina yao? Bila shaka wewe ni mmoja wa wale wafanyabiashara sugu wa kukwepa kodi pale KariakooHuna lolote ! Unajua kwanini baada ya bajeti kusomwa nchi imenuna ? Yaani wewe tu ndio uwe na uwezo wa kuona kuliko wengine ?
Ndo wachumi wetu wa kwenye vitabu hawa usishangae watakaokuja kukupinga hapa mana ni misukule iliokunywa uji wa ndele
Unatoka nyumbani kwako unapanda gari unapita barabara ya lami, huko njiani kuna traffic au mataa yanakuongoza, ukiumwa kuna madawa na madaktari hospitali, polisi na jeshi linakesha usiku kucha kukulinda ili ufanye biashara salama... Yote haya yanahitaji fedha ili kuyaendesha.. Sasa wewe hutaki kulipa kodi kwanini?? Mbona wafanyakazi wanakatwa pesa nyingi tu na hawalalamiki?? Huu ni wakati wa kufanya biashara kisomi na kuacha market forces ndio ziamue bei sio kila mfanyabiashara ajiamulie tu bei kwakuwa wengine walikuwa wanakwepa kodi basi wanauza rahisi na kupata pesa nyingi..Umeelewa lakini ?
Sijawahi kukwepa kodi mkuu, tukisema VAT iwekwe kila mahali watu watashindwa, huo ndio msingi wa hoja yangu.Unatoka nyumbani kwako unapanda gari unapita barabara ya lami, huko njiani kuna traffic au mataa yanakuongoza, ukiumwa kuna madawa na madaktari hospitali, polisi na jeshi linakesha usiku kucha kukulinda ili ufanye biashara salama... Yote haya yanahitaji fedha ili kuyaendesha.. Sasa wewe hutaki kulipa kodi kwanini?? Mbona wafanyakazi wanakatwa pesa nyingi tu na hawalalamiki?? Huu ni wakati wa kufanya biashara kisomi na kuacha market forces ndio ziamue bei sio kila mfanyabiashara ajiamulie tu bei kwakuwa wengine walikuwa wanakwepa kodi basi wanauza rahisi na kupata pesa nyingi..
Sasa kama sio kitu muhimu huoni hapo serikali itapata hasara maana watu wataamua kuachana nacho, sasa hiyo pesa waliotegemea kuipata si wataikosaujue mimi sijakuelewa point yako mpaka sasa especially kwenye hiyo kupanda kutoka mil 5 hadi mil 10.nikuulize huko kupanda kwa hiyo kitu kina muathiri vipi mfanyabiashara maana hiki ni kitu unnecessary kabisa....
Usajili wa bodaboda kutoka 45000 hadi 90000 ! Mnawatoza kodi lakini mnawapangia njia za kupita !
Walipa kodi siku zote ni watumishi wa ummaDah kama wafanya biashara wa tz ndo mnafikiri kwa staili hii, basi pigweni kodi ya kutosha maake sio mnakoelekea
Lengo la biashara yoyote kwanza ni kumneemesha mwenye mali, then kidogo kinatakiwa kiingie serikalini kupitia kodi, sasa msiwafanye watu wafanye biashara kwa ajili ya kulipa kodi tu.Kwani mfanyabiashara wa bodaboda mambo yake yakikaa uzuri , kwa siku anapata kiasi gani kwa kukadiria?
Wako wangapi?Walipa kodi siku zote ni watumishi wa umma
Nimeiangalia bajeti yake kwa umakini na inaonyesha kama imewalenga hasa wafanyabiashara, sijui lengo lake nini, kuwakomoa? Hivi kuna nchi inaweza kusonga bila wafanyabiashara?
Kwa mfano kutoza VAT kwenye miamala ya simu pamoja na kumgusa kila mtu lakini wafanyabiashara ndio watakaoathirika zaidi, maana badala ya mtu kutuma hela mbagala kwa simu sasa atapanda daladala na kupeleka kwa mkono.Hili la kuendelea kutegemea bia na sigara kwenye kodi litaua viwanda ambavyo ni tegemeo kubwa la ajira.
Ifahamike kwamba hakuna mfanyakazi wa serikali ya Tanzania aliyewahi kusajili namba binafsi kwenye gari lake, sasa kupandisha ada hii kwa 100% yaani kutoka mil 5 hadi mil10 ni kuwakomoa wafanyabiashara bila sababu yoyote.
Mtu yeyote aliyewahi kupata uzoefu kwenye biashara ambaye anazijua changamoto zake hawezi kuleta bajeti inayokandamiza sekta hii kwa kiwango ambacho ni hakika kuna viwanda na biashara kadhaa hazitaweza kumudu.