nyumba kubwa
JF-Expert Member
- Oct 8, 2010
- 10,309
- 8,398
Watatoka wale wenzangu na mie wanaosajili namba binafsi wakati si ma milionea..
Sidhani mtu kama Mo atakuwa affected kwa kulipia ushuru wa 10m plate namba yake...
Wengi wa wenye private numbers ni matajiri si mchezo...hiyo ni hela ya mboga tu