Hivi Dodoma kuna uswazi kweli?

Hivi Dodoma kuna uswazi kweli?

Njedengwa, Chidachi, chang''ombe, Chadulu,, Swaswa, Nzuguni, Ntyuka, Ndachi, Mnada mpya, Makulu, Maili mbili, Mpamaa, Ihumwa... Baadhi ya maeneo ya Ipagala, Ilazo, Kisasa, Nkuhungu, Kikuyu, Mlimwa C .....Maeneo mengi yalipimwa kitambo 1990s raman zipo.
 
Sijawahi kufika Dodoma. Nahitaji kufika sasa. Mwenyeji yupo wapi humu.???
 
Nimeangalia video nyingi za Dodoma sijawahi kuona mazingira ya uswazi

Ukizingatia jiji la Dodoma lina population sawa na jiji la Mbeya lakini Mbeya uswazi upo wa kutosha ukiangalia aerial view. Ni wewe tu, mitaa iko kibao hata tunaweza kuorodhesha

Ila Dodoma inanishangaza

Wakazi wa Dodoma, huko Dodoma kwani hakuna slums?
Nasikia Dodoma kuna vumbi moja la hatari linalosababisha wakazi wake wengi kuumwa macho. Yaani kimsingi Dodoma ni jangwa ndio maana Samia muda wote yupo Magogoni au Tunguu lakini sio jangwan Chamwino.
 
Back
Top Bottom