AXIOM APEX VERBOSE
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 12,233
- 20,532
Kweli plus Mnadanikitopeni
Kweli plus Mnadanikitopeni
Hapo sawaa changombe na nkuhunguChang'ombe(gwasa) mwanzo na kati, Mailimbili
Nkuhungu
Nimeangalia video nyingi za Dodoma sijawahi kuona mazingira ya uswazi
Ukizingatia jiji la Dodoma lina population sawa na jiji la Mbeya lakini Mbeya uswazi upo wa kutosha ukiangalia aerial view. Ni wewe tu, mitaa iko kibao hata tunaweza kuorodhesha
Ila Dodoma inanishangaza
Wakazi wa Dodoma, huko Dodoma kwani hakuna slums?
Mada ni Mbeya na Dodoma sasa Mwianza na Dar zimetoka wapi?Asilimia 98 ya miji ya dar,mwanza na Arusha ni slum
Samahani mkuu Huko mwanza na DAR hakuna maeneo yenye slum hiyo ni miji iliyopangiliwa vizuri Sana tena ina miundombinu ya kisasa kushinda miji mingi ulayaMada ni Mbeya na Dodoma sasa Mwianza na Dar zimetoka wapi?
Uswazi yao ndio hawa wamekuja kuomba omba Dar es salaam,Nimeangalia video nyingi za Dodoma sijawahi kuona mazingira ya uswazi
Ukizingatia jiji la Dodoma lina population sawa na jiji la Mbeya lakini Mbeya uswazi upo wa kutosha ukiangalia aerial view. Ni wewe tu, mitaa iko kibao hata tunaweza kuorodhesha
Ila Dodoma inanishangaza
Wakazi wa Dodoma, huko Dodoma kwani hakuna slums?
New York ya Mpwapwa au Keko?Hadhi ya Dodoma ni NewYork
Kibaha ni mkoa wa PwaniWizard ya ardhi ni ya kulaumiwa kwa Dar illitakiwa ipime eneo loote mpk kibaha huko. Lkn fikiria Kimara tuu haijapimwa
Chaduru mabasi mawili walivyoongeza Airport kdg wakapunguza huu mtaa ila bado ni Uswahilini haswaChaduru na zilipo ofisi za tume ya uchaguzi njendegwa
Najua ila sehemu kubwa ni slums kwa Dar kuanzia kimara yoote kwenda huko mbeleKibaha ni mkoa wa Pwani
Tanzania kuna watalamu koko wa mipango miji.Najua ila sehemu kubwa ni slums kwa Dar kuanzia kimara yoote kwenda huko mbele
Tumezoea tuu Business as usual km Rita wasumbufu kuna siku nusu nibitue zile Meza zao washamba wale.Tanzania ni watalamu koko wa mipango miji.
Who do you know?Tumezoea tuu Business as usual km Rita wasumbufu kuna siku nusu nibitue zile Meza zao washamba wale.
Wee unakufahamu sasa??Unaifahamu Chang'ombe wewe au Mnadani?
[emoji23][emoji23][emoji23]Makulu uelekeo wa UDOM tokea Hazina.
Ikulu ya Chamwino ndio imezungukwa na waswazi wa uswahilini kweli.