mnaweza.......
Tukiamua tunaweza stevohMwaka ndio hivyoo unaisha na mimi wakati nipo A-town nilishindwa kukutana na wenzangu kutokana na sababu zilizokua njee ya uwezo wangu. Lakini juzi niliona wivu baada ya kuona siredi ya wana wa Jiji la Arusha wamepanga mpangoo. Sasa mimi nauliza kwa wana JF wa BONGO DSM hivi kweli hakuna tukio la kufunga mwaka??
Rekebisha kauli. Isomeke TULISHAWEZA, TUNASONGA MBELE!
Welcome my daughter.i cant wait! ya chuga nazamia, na hii ya hapa ndio nitalala hapo hapo!! chezeiya bata za ukubwani weye??
welcome my daughter.
we have a wonderful plan for you dear.
......me nipeni oda ya kuwatafutia guest house mapemaaaaaa!!!!!!
But stevoh, Jumamosi hii wana wa jiji twakutana pale Brajec Survey,kama vp njoo tujumuike.
hivi upo A-Town eee
na wewe upo jiji JIPYA ee
Dah madam b naishi near brajec survey usisahau kunishtua na mara nyingi nakunywa bia hapo
Dah madam b naishi near brajec survey usisahau kunishtua na mara nyingi nakunywa bia hapo