Hivi Choo cha Kike kikoje | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi Choo cha Kike kikoje

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Kiresua, Jul 20, 2012.

 1. Kiresua

  Kiresua JF-Expert Member

  #1
  Jul 20, 2012
  Joined: May 13, 2009
  Messages: 1,202
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Wadau,

  Nataka kujua real choo cha kike kikoje? wanume tu wajibu wale walioingia choo cha kule, na akina dada, hapa ndo penu mtuambie!
   
 2. Gwangambo

  Gwangambo JF-Expert Member

  #2
  Jul 20, 2012
  Joined: Jun 30, 2012
  Messages: 3,655
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  Kakojoe ukalale!!!!!!!!!!!!
   
 3. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #3
  Jul 20, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Mimi mwenyewe hii ni puzzle kwangu na sijabahatika kuona hadi umri huu.
  Huwa najiuliza hasa vyoo vya public vya wanawake vinafananaje, hasa kwa kuzingatia maumbile yao na mikao yao...huh!
  Cha kutisha zaidi ni pale ninaposikia msemo "Umeingia choo cha kike" hii inashuhudia kuwa kina sintofahamu kubwa.
   
 4. bornagain

  bornagain JF-Expert Member

  #4
  Jul 20, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 3,389
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  Ni cha kuchutama wakati unatakiwa kusimama
   
 5. babe S

  babe S JF-Expert Member

  #5
  Jul 20, 2012
  Joined: Dec 12, 2011
  Messages: 3,703
  Likes Received: 19,820
  Trophy Points: 280
  Hahahahahah!
   
 6. Kiziza

  Kiziza JF-Expert Member

  #6
  Jul 20, 2012
  Joined: Dec 10, 2011
  Messages: 440
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Ina maana wewe tangu uzaliwe kwenye familia yako hujawahi kuwa na wanawake ambao mnashare vyoo au mabafu.
  Kuna watu mnaulizaga vitu kama mna utindio wa ubongo...
   
 7. Nyanya mbichi

  Nyanya mbichi JF-Expert Member

  #7
  Jul 20, 2012
  Joined: Nov 10, 2011
  Messages: 3,218
  Likes Received: 1,337
  Trophy Points: 280
  she/he is not a greater thinker
   
 8. KakaJambazi

  KakaJambazi JF-Expert Member

  #8
  Jul 20, 2012
  Joined: Jun 5, 2009
  Messages: 15,045
  Likes Received: 3,235
  Trophy Points: 280
  We ni mvulana au msichana?
   
 9. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #9
  Jul 20, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,748
  Likes Received: 12,842
  Trophy Points: 280
  Choo cha kike pita mkono wa kushoto!
   
 10. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #10
  Jul 20, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,475
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Mpe jibu tafadhali
   
 11. Blaine

  Blaine JF-Expert Member

  #11
  Jul 20, 2012
  Joined: Jan 11, 2012
  Messages: 2,285
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  vaa gauni, jipodoe ufanane na binti halafu ingia uone. mbona ni simpo tuu
   
 12. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #12
  Jul 20, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Jomba kinachoongelewa hapa ni choo cha public1...huh!
  Kwa gentlemen utaona urinals za namna hii, je kwa wanawake inakuwaje?
  [​IMG]
   
 13. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #13
  Jul 20, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,136
  Likes Received: 6,630
  Trophy Points: 280
  ni kama hiki hapa:


  choo cha kiume.jpg
   
 14. MD24

  MD24 JF-Expert Member

  #14
  Jul 20, 2012
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 747
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 45
  Unawashwa?
   
 15. D

  Doreen22 JF-Expert Member

  #15
  Jul 20, 2012
  Joined: Jun 2, 2012
  Messages: 475
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Tafuta Bar unayoifahamu, muombe Manager akakuonyeshe Choo cha Kike cha hiyo Bar, usiende kuingia Choo cha Kike mwenyewe kama wewe ni mwanaume, usije ukaonekana una nia hatarishi ya ubakaji, ukajiletea problems bure!
   
 16. D

  Doreen22 JF-Expert Member

  #16
  Jul 20, 2012
  Joined: Jun 2, 2012
  Messages: 475
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Hiki cha Wanaume
   
 17. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #17
  Jul 20, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  au vingine kwa wanaume ni hivi
  [​IMG]
   
 18. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #18
  Jul 20, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,037
  Trophy Points: 280
  mbona sisi wanawake tunavijua vyoo vya kiume.....
   
 19. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #19
  Jul 20, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Hapa bila kuwa na Konyagi tatu ndogo kichwani mkojo hautoki!
  [​IMG]
   
 20. D

  Doreen22 JF-Expert Member

  #20
  Jul 20, 2012
  Joined: Jun 2, 2012
  Messages: 475
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Ha ha ha!, simple kweli kweli, but itabidi tu avumilie karaha za honi za magari atakapopita na zile salaam za hello Dear, niaje Baby, kuitwa na mwanaume mwenzio, si mchezo!
   
Loading...