Hansen Nasli
JF-Expert Member
- Mar 18, 2012
- 883
- 338
Mbona unawasahau ccm wanaotumia matukio hata ya misiba (ref: msiba wa mama Zitto)Chadema mpo kweli?au ndo mmeshakufa?nawatonya tu msije mkasema sijawatonya kick ndio hii hapa ya kutokea kwa soko la karume kuwaka moto,sasa nyie tungeni propaganda nzuri kuwa moto huo uliwashia ikulu ukaja tupwa soko la karume maana nyie si ndio kile chama cha matukio?na tukio ndo hilo sasa!changamkeni
chadema si chama, CHADEMA ni Imani!Chadema mpo kweli?au ndo mmeshakufa?nawatonya tu msije mkasema sijawatonya kick ndio hii hapa ya kutokea kwa soko la karume kuwaka moto,sasa nyie tungeni propaganda nzuri kuwa moto huo uliwashia ikulu ukaja tupwa soko la karume maana nyie si ndio kile chama cha matukio?na tukio ndo hilo sasa!changamkeni
Imani ya self esteem people, free minded people, wazalendo, watu wasiongozwa kwa kutumia historia, waliruka maji ya vina virefu bila kuloa balls au papuchii!imani ya watu gani mkuu?
Chadema mpo kweli?au ndo mmeshakufa?nawatonya tu msije mkasema sijawatonya kick ndio hii hapa ya kutokea kwa soko la karume kuwaka moto,sasa nyie tungeni propaganda nzuri kuwa moto huo uliwashia ikulu ukaja tupwa soko la karume maana nyie si ndio kile chama cha matukio?na tukio ndo hilo sasa!changamkeni
chadema si chama, CHADEMA ni Imani!
Chadema mpo kweli?au ndo mmeshakufa?nawatonya tu msije mkasema sijawatonya kick ndio hii hapa ya kutokea kwa soko la karume kuwaka moto,sasa nyie tungeni propaganda nzuri kuwa moto huo uliwashia ikulu ukaja tupwa soko la karume maana nyie si ndio kile chama cha matukio?na tukio ndo hilo sasa!changamkeni
Huyu mtoa mada ni msukule maana naona kama hajielewi kabisa, chadema ni baba lao, ccm wanafyata mkia
Tikikunukuu usikatae.
Waishukuru ukawa sijui ingejificha wapi?pambaneni matukio ndio hayo wamachinga na kuchomwa soko pambaneni,mtoke