- Thread starter
- #101
[Sasa utaona wazi mtu mwenye uraia wa nchi mbili haruhusiwi kabisa kupata ruhsa ya kupata haki ya Kupiga kura. Na kama ilivyo kama huna haki ya kupiga kura basi automatic huna haki hata ya kugombea uongozi katika Tanzania.
Hafif hao ni kwa ufupi tu kuhusu haki ya mtu kugombea uongozi wa juu kuhusu Tanzania. Naeza kuzidi bainisha zaidi lakini naona watu wengi wana jazba kubwa na kutotaka wengi wafaidike na darsa hili.
Lakini kama nilivyobainisha awali nitapembua vile vile sheria za kimataifa zinasemaje kuhusu ili nikijaaliwa Insh'Allah baadayn.
kama kuna suala Naruhusu Bismillah..
/QUOTE]
Ahsantum Bi Nasriyah.
Mimi binafsi ni mfuasi halisi wa darsa yako. nazidi kukuombea unipe dhahiri na nina mengi ya kuku uliza hususan katika fani hii ya sheria.
Tafadhali usivunjike moyo na hawa wapuuzi wanaopinga darsa hii kwani NI RAHISI SANA KUMUAMISHA NYANI PORINI NA KUMLETA NYUMBANI LAKINI SI RAHISI KULIONDOA PORI KICHWANI KWAKE NYANI.
NAKUTAKIA SIKU NJEMA NA DOCTOR.