Hivi boxer inatakiwa ivaliwe kwa siku ngapi?

Nahisi kuna vivulana hapa vinakupigia misele huku nikikuona it's a matter of time watacheza heko !! I'm not insecure my angel but oh Lord, my heart keep spinning every time I see that guy so called RRONDO akijifanya eti ndugu yako! Is he?
Wasiwasi wako tu baby huyo ndugu yangu wa damu kabisaaa
 
Hiyo ilikuwa ndiyo formula yangu, ila siku hiyo nilikosa timing ya kununua mpya, kwa hiyo nikaipoteza niliyokuwa nayo.

Nikaulizwa boxer iko wapi, nikasema sina. Akaitafuta akaipata. Anauliza kwa nini sifui, nikamwambia hakuna mtu wa kunifulia.

Tulitoka hapo tukaenda kununua 10, akawa kila weekend akija anataka kuona 7 chafu anafua. Weekend asipokuja inabidi nilazimike kufua mwenyewe vinginevyo akija hakuna mambo. Mpaka nikazoea.
 
Ivi hizi na zile ambazo ukivaa zinazoshika mwili kama chupi zipi ndio boxer!!???
tapatalk_1558507089819.jpeg
 
Back
Top Bottom