Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 5,441
- 11,599
Ana utoto utoto mwingi sana. Hata personality ya Urais hana. Nadhani abaki tu kuwa mwanaharakati wa vijana. Maana sidhani hata Baganda nao wanamchukulia serious.
Sema wanamtumia tu kumsumbua dictator Museven sababu hakuna mwingine tena mwenye makeke katika Siasa za Uganda ukimtoa Kizza Besigye. Ambaye huyu namwona ni mtu ambaye anaonekana kuwa serious na anaweza. Bob Wyne/Wine utoto mwingi.