kALEnga kidamali
JF-Expert Member
- Nov 19, 2015
- 542
- 733
- Thread starter
- #41
Mabubu ulitaka waongee nini, na huo ububu ww umeuona kwenye nn, au ulitaka wapotoshaji wapate nafas ya kuendelea kupotosha wananchi huku wakiachwa watambe? Najua ulichotaka waseme na mm naunga mkono kuzuiwa kisisemwe, bila hivo nchi haiwez kwenda yaan mtu kila siku anapayuka na kuropoka mabaya tu kana kwamba hakuna zuri hata moja lililofanywa na Serikali.Kwa njia gani. Hata ktk daladala watu wamekuwa mabubu. Kwani hiyo yote ni sawa