Hivi bado upingwaji wa jitihada za Rais unaendelea?

kALEnga kidamali

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2015
Posts
542
Reaction score
753
Binafsi nimekuwa nikishangazwa sana na baadhi ya watu wanaopiga kelele na kupinga pinga tu kwa kile kinachofanywa na Serikali hii ya sasa chini ya rais wetu amiri jeshi mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama mh. Dk. JPM,

Hivi tulikuwa tunahitaji kiongozi wa aina gani tofauti na huyu rais tuliyenaye? Sipati jibu hasa kwa hawa watanzania wenzangu ninaowaona wakitokwa misuli ya shingo kubishia na kupinga kile kinachofanywa na rais wetu.

Zimekuwa zikitafutwa sababu za kipuuzi na zisizo na mashiko zenye mlengo wa kuchochea wananchi wapinge juhudi zinazofanywa na serikali lakini kwa umadhubuti wa Serikali na kutowajali wapiga kelele hao wamejikuta wako wenyewe na wananchi wamewapuuza na kuwaona ni wapiga domo tu, kama wanapinga kinachofanywa sasa hivi je walitaka kifanyweje na kwa ubora upi.

Juhudi za rais ziungwe mkono na kila raia wa Tanzania pasipo kujali chama, dini, ukanda ukabila, n.k . Tuungane kuijenga nchi kwa manufaa yetu na vizazi vijavyo. Tutaumia kwa sasa ila maumivu yakizidi ndivyo neema inakaribia.

.............. Wako katika kazi...........

Kalenga kidamali
 
Wewe ni mpuuzi kama huu upuuzi wako ulioandika hapa.

Wewe ni mtz kweli au unajipendekeza ili kulinda uraia wako kuchokonolewa? Juhudi zipi hizo au kuwavunjia watu nyumba zao bila kufuata utaratibu wa kimahakama? Au kufanya manunuzi bila kufuata utaratibu? Au kushikilia makinikia bandarini hadi leo ndio juhudi zakuungwa mkono? Tumeshawachoka kwa kejeli zenu zakipuuzi.
 
Hivi ni juhudi zipi zinazoongelewa? Hebu tajeni hata juhudi chache zenye kusababisha watu tufanye uchaguzi kila kukicha kwa billions of taxpayers money!!

Binafsi uongozi nauona ni km utamaliza kwa aibu kuliko uongozi wowote uliowahi kutokea Tanzania.

Mnasema juhudi bila kutaja aina ya juhudi, wananchi wakilalamika maisha yamekuwa magumu awamuu hii mnawatukana na kuwakashifu mkiwaita eti walikuwa wapigani kwny awamu zilizopita!

Nonsense!
 
Mkuu vipi na ww ni miongoni mwa hao vipofu wasiiona hizi jitihada...?, Sijataka kuzikorodhesha ila najua kila mmoja kwa nafasi yake anazijua vizuri...
Wanajifanya wameweka gundi machoni mwao hawaoni juhudi wala mafanikio yoyote Mkuu. Ni kuwaacha na roho zao mbaya
 
Wewe ni mpuuzi kama huu upuuzi wako ulioandika hapa.

Wewe ni mtz kweli au unajipendekeza ili kulinda uraia wako kuchokonolewa? Juhudi zipi hizo au kuwavunjia watu nyumba zao bila kufuata utaratibu wa kimahakama? Au kufanya manunuzi bila kufuata utaratibu? Au kushikilia makinikia bandarini hadi leo ndio juhudi zakuungwa mkono? Tumeshawachoka kwa kejeli zenu zakipuuzi.
Nicompups....
 
kiongozi anatuletea hasara badala ya faida wa kazi gani? mpaka sasa deni la taifa limekuwa zaidi ya mara 10 tangu aingie ikulu. kakusanya hela anunue ndege bila kufuata utaratibu zimekamatwa.anajenga uwanja wa kimataifa kijijini kwa chato.vijana hawana ajira.mfumuko wa bei juu. uwekezaji wa ndani na nje umekufa watu wanafunga biashara.hali ya maisha ya mtanzania mmoja mmoja inazidi kuwa mbaya.hashauriki wala hasikii.

Tanzania imempata kiongozi mbovu kuliko wote tangu tupate uhuru
 
Mkuu vipi na ww ni miongoni mwa hao vipofu wasiiona hizi jitihada...?, Sijataka kuzikorodhesha ila najua kila mmoja kwa nafasi yake anazijua vizuri...
unajuwa fika hana analofanya zaidi ya kufukuza watu hovyo kwa majukwaa.na mazuzu mnashangilia
 
Binafsi nimekuwa nikishangazwa sana na baadhi ya watu wanaopiga kelele na kupinga pinga tu kwa kile kinachofanywa na Serikali hii ya sasa chini ya rais wetu amiri jeshi mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama mh. Dk. JPM,

Hivi tulikuwa tunahitaji kiongozi wa aina gani tofauti na huyu rais tuliyenaye? Sipati jibu hasa kwa hawa watanzania wenzangu ninaowaona wakitokwa misuli ya shingo kubishia na kupinga kile kinachofanywa na rais wetu.

Zimekuwa zikitafutwa sababu za kipuuzi na zisizo na mashiko zenye mlengo wa kuchochea wananchi wapinge juhudi zinazofanywa na serikali lakini kwa umadhubuti wa Serikali na kutowajali wapiga kelele hao wamejikuta wako wenyewe na wananchi wamewapuuza na kuwaona ni wapiga domo tu, kama wanapinga kinachofanywa sasa hivi je walitaka kifanyweje na kwa ubora upi.

Juhudi za rais ziungwe mkono na kila raia wa Tanzania pasipo kujali chama, dini, ukanda ukabila, n.k . Tuungane kuijenga nchi kwa manufaa yetu na vizazi vijavyo. Tutaumia kwa sasa ila maumivu yakizidi ndivyo neema inakaribia.

.............. Wako katika kazi...........

Kalenga kidamali

Hoja za aina hii ni dalili za awali za kuugua uchizi,tafadhari wahi milembe kabla hali haijawa mbaya!
 
Wewe ni mpuuzi kama huu upuuzi wako ulioandika hapa.

Wewe ni mtz kweli au unajipendekeza ili kulinda uraia wako kuchokonolewa? Juhudi zipi hizo au kuwavunjia watu nyumba zao bila kufuata utaratibu wa kimahakama? Au kufanya manunuzi bila kufuata utaratibu? Au kushikilia makinikia bandarini hadi leo ndio juhudi zakuungwa mkono? Tumeshawachoka kwa kejeli zenu zakipuuzi.
Nimegundua bado watanzania tuna safari ndefu sana kuyafikia maendeleo..... Sijui huko uchina, nchi za asia pamoja na zile za kimagharibi kama zina wananchi wa namna hii nchini mwao... Nahis wangekuwa bado wako nyuma sana... Yaan mtu anapinga tu ilimradi apinge... Kesi za nyumba kubomolewa (kimara) unaambiwa kabisa kuwa hukumu ilisha tolewa tena na mahaka kuu miaka ya huko nyuma na Serikali ilishinda.... Ila bado mtu anapiga kelele tu ilimradi nae asikike kaongea na nia yake ya kupinga ikamilike... Hapa tuna mika kama 2oo hivi ili tuufikie uchumi wa kati.
 
kiongozi anatuletea hasara badala ya faida wa kazi gani? mpaka sasa deni la taifa limekuwa zaidi ya mara 10 tangu aingie ikulu. kakusanya hela anunue ndege bila kufuata utaratibu zimekamatwa.anajenga uwanja wa kimataifa kijijini kwa chato.vijana hawana ajira.mfumuko wa bei juu. uwekezaji wa ndani na nje umekufa watu wanafunga biashara.hali ya maisha ya mtanzania mmoja mmoja inazidi kuwa mbaya.hashauriki wala hasikii.

Tanzania imempata kiongozi mbovu kuliko wote tangu tupate uhuru
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni. Mengi mazuri yanafanywa yanaendelea kufanywa... Hivi hiyo ATCL kabla ya rais magufuli ilikuwa na ndege ngapi zinazofanya kazi? Lakin pia kukua kwa deni la taifa ni suala lisilozuilikika deni lazima LINAKUA kutokana na aina ya miradi mikubwa ambayo pia ni productive pindi ikikamilika (yaan baada ya mradi kukamilika mapato yataongezeka na pia hivyo hata ulipaji wa hilo deni hautakuwa shida).. Sidhani kama atatokea rais katika hizi nchi za dunia ya tatu asikope au kuongeza deni la taifa kama unavyofikiria...
 
Back
Top Bottom