Odhiambo cairo
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 16,352
- 22,963
Nchi hizo ulizozisifia ni za ki dictator, huko watu hawana uhuru wa kusema, na bado hazijafanikiwa kiasi cha kupigiwa mifano. Huyu wetu lazima a fail kwa vyovyote. Kiongozi lazima aonyeshe njia na akubali kukosolewa ikiwa njia hiyo mwisho wake ni jehanamu. Aliomba kutuongoza si kututawala, hivyo atusikilizeNdio maana napenda sana mifumo ya kiutawala ya nchi kama North Korea, uchina na huko urusi... Yaan huko msemaji ni mmoja tu.. Akisema yy kinachofuata ni utekelezaji na wananchi wote wanafuata kile kilichosemwa na kiongozi... Ila sio huku kwetu kiongoz anasema hivi kanatokea karaia kanasema hakuna sio hivo..mara tanzania sijui haijawahi kupata kiongoz mbaya kama huyu, mara hatuoni juhudi za rais (wakati huo katoka hospital kama sio yy ndugu yake au mtu wake wa karibu na kahudumiwa vzur tofauti na huko nyuma... Ila bado yupo na hali ya upingaji tu ndan ya nafsi yake...
Kilichotokea kwa wafugaji, wavuvi, wafanye kazi (vyeti feki) na hata wenye nyumba zinazobomolewa kwa mizuka. Ni vizuri hayo ukayasikia kwa watu wengine siyo kwako binafsi. YANAUMIZA SANA