Hivi bado upingwaji wa jitihada za Rais unaendelea?

ATCL inapata hasara kila kukicha, wake up dude
Nani kakwambia... Unajua hapo ndio shida ya wapinzani yaani najua hayo ndiyo mnayo ombea yatokee ili mpate ya kusema.... Haya sema baba sema hiyo ndio kazi yenu bwana sisi huku tuko bize na maendeleo.

==================
GAUTAMA karibu mkombe, majengo, kinyamulewa na maeneo ya hapa kidamali hadi nzihi... Msimu wa kupalia sasa hivi karibu tupalie tupalie palizi ya pili[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Ni mtulia ndiye aliyejiuzulu ili kuunga mkono hizo juhudi.Cha kushangaza anataka tena ubunge
 
Binafsi nimekuwa nikishangazwa sana na baadhi ya watu wanaopiga kelele na kupinga pinga tu kwa kile kinachofanywa na Serikali hii ya sasa chini ya rais wetu amiri jeshi mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama mh. Dk. JPM,

Hivi tulikuwa tunahitaji kiongozi wa aina gani tofauti na huyu rais tuliyenaye? Sipati jibu hasa kwa hawa watanzania wenzangu ninaowaona wakitokwa misuli ya shingo kubishia na kupinga kile kinachofanywa na rais wetu.

Zimekuwa zikitafutwa sababu za kipuuzi na zisizo na mashiko zenye mlengo wa kuchochea wananchi wapinge juhudi zinazofanywa na serikali lakini kwa umadhubuti wa Serikali na kutowajali wapiga kelele hao wamejikuta wako wenyewe na wananchi wamewapuuza na kuwaona ni wapiga domo tu, kama wanapinga kinachofanywa sasa hivi je walitaka kifanyweje na kwa ubora upi.

Juhudi za rais ziungwe mkono na kila raia wa Tanzania pasipo kujali chama, dini, ukanda ukabila, n.k . Tuungane kuijenga nchi kwa manufaa yetu na vizazi vijavyo. Tutaumia kwa sasa ila maumivu yakizidi ndivyo neema inakaribia.

.............. Wako katika kazi...........

Kalenga kidamali
Nimekuelewa vizuri sana, yaani hata wewe hujakiona hicho
Chankuunga mkono, hongera
 
Ndio wapo "wanaopinga" na safari hii ni maaskofu
 
Kuna watu wanaombea matetemeko na mafuriko ili tu Waseme Serikali imeshindwa kushughulikia
 
Binafsi nimekuwa nikishangazwa sana na baadhi ya watu wanaopiga kelele na kupinga pinga tu kwa kile kinachofanywa na Serikali hii ya sasa chini ya rais wetu amiri jeshi mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama mh. Dk. JPM,

Hivi tulikuwa tunahitaji kiongozi wa aina gani tofauti na huyu rais tuliyenaye? Sipati jibu hasa kwa hawa watanzania wenzangu ninaowaona wakitokwa misuli ya shingo kubishia na kupinga kile kinachofanywa na rais wetu.

Zimekuwa zikitafutwa sababu za kipuuzi na zisizo na mashiko zenye mlengo wa kuchochea wananchi wapinge juhudi zinazofanywa na serikali lakini kwa umadhubuti wa Serikali na kutowajali wapiga kelele hao wamejikuta wako wenyewe na wananchi wamewapuuza na kuwaona ni wapiga domo tu, kama wanapinga kinachofanywa sasa hivi je walitaka kifanyweje na kwa ubora upi.

Juhudi za rais ziungwe mkono na kila raia wa Tanzania pasipo kujali chama, dini, ukanda ukabila, n.k . Tuungane kuijenga nchi kwa manufaa yetu na vizazi vijavyo. Tutaumia kwa sasa ila maumivu yakizidi ndivyo neema inakaribia.

.............. Wako katika kazi...........

Kalenga kidamali

Juhudi zipi?
 
waache waendelee kupinga hadi 2025 ni kazi waliojipa.. .. ndo demokrasia walioichagua
 
Wanajifanya wameweka gundi machoni mwao hawaoni juhudi wala mafanikio yoyote Mkuu. Ni kuwaacha na roho zao mbaya
Haaah! Haya ndio matatizo ya kuwa na UTINDIO wa ubongo! Juhudi zipi ambazo leo hii nikae najisifia????

1. Juhudi za kuzorotesha uchumi?
2. Juhudi za kuwaminya wananchi?
3. Juhudi za kuiminya demokrasia?
4. Juhudi za kusumbua uwekezaji?
5. Juhudi za utawala wa mabavu?
6. Juhudi za kuvunja nyumba bila fidia?
7. Juhudi za viongozi kuwa mahakimu?
8. Juhudi za upinzani kunyanyasika?
9. Juhudi za kuwanyima walimu mafao

Juhudi zipiiii????? Bila shaka utaniambia...

1. Makinikia (hayujui kinachoendelea)
2. Bombadia (Mbovu/Zimekamatwa)
3. Ufisadi (Kila siku tunateua wapya)
4. Elimu bure (Michango ipo palepale)

Juhudi zipiii???

UTINDIO wa Ubongo ni hatari jameni...
 
Naona un
Binafsi nimekuwa nikishangazwa sana na baadhi ya watu wanaopiga kelele na kupinga pinga tu kwa kile kinachofanywa na Serikali hii ya sasa chini ya rais wetu amiri jeshi mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama mh. Dk. JPM,

Hivi tulikuwa tunahitaji kiongozi wa aina gani tofauti na huyu rais tuliyenaye? Sipati jibu hasa kwa hawa watanzania wenzangu ninaowaona wakitokwa misuli ya shingo kubishia na kupinga kile kinachofanywa na rais wetu.

Zimekuwa zikitafutwa sababu za kipuuzi na zisizo na mashiko zenye mlengo wa kuchochea wananchi wapinge juhudi zinazofanywa na serikali lakini kwa umadhubuti wa Serikali na kutowajali wapiga kelele hao wamejikuta wako wenyewe na wananchi wamewapuuza na kuwaona ni wapiga domo tu, kama wanapinga kinachofanywa sasa hivi je walitaka kifanyweje na kwa ubora upi.

Juhudi za rais ziungwe mkono na kila raia wa Tanzania pasipo kujali chama, dini, ukanda ukabila, n.k . Tuungane kuijenga nchi kwa manufaa yetu na vizazi vijavyo. Tutaumia kwa sasa ila maumivu yakizidi ndivyo neema inakaribia.

.............. Wako katika kazi...........

Kalenga kidamali
naona utaka tukuoneshe jinsi tunavyompinga waziwazi.

Tutampinga tu ikiwa ana vitendo na maneone ya kuvunja haki za binadamu, wizi, utapeli wa kisiasa, uvunjwaji wa katiba na sheria.

Uadhani Mafufuli anatisha sana zaidi ya Sadam Hussein, Muamar Gaddaf??
 
Haaah! Haya ndio matatizo ya kuwa na UTINDIO wa ubongo! Juhudi zipi ambazo leo hii nikae najisifia????

1. Juhudi za kuzorotesha uchumi?
2. Juhudi za kuwaminya wananchi?
3. Juhudi za kuiminya demokrasia?
4. Juhudi za kusumbua uwekezaji?
5. Juhudi za utawala wa mabavu?
6. Juhudi za kuvunja nyumba bila fidia?
7. Juhudi za viongozi kuwa mahakimu?
8. Juhudi za upinzani kunyanyasika?
9. Juhudi za kuwanyima walimu mafao

Juhudi zipiiii????? Bila shaka utaniambia...

1. Makinikia (hayujui kinachoendelea)
2. Bombadia (Mbovu/Zimekamatwa)
3. Ufisadi (Kila siku tunateua wapya)
4. Elimu bure (Michango ipo palepale)

Juhudi zipiii???

UTINDIO wa Ubongo ni hatari jameni...
Tuna raia wa ajabu sana nchi, hii hivi kweli kama mtu ni raia mwema anaweza kumsifia Magufuli kwa jambo lipi alilofanya?
 
Nimegundua bado watanzania tuna safari ndefu sana kuyafikia maendeleo..... Sijui huko uchina, nchi za asia pamoja na zile za kimagharibi kama zina wananchi wa namna hii nchini mwao... Nahis wangekuwa bado wako nyuma sana... Yaan mtu anapinga tu ilimradi apinge... Kesi za nyumba kubomolewa (kimara) unaambiwa kabisa kuwa hukumu ilisha tolewa tena na mahaka kuu miaka ya huko nyuma na Serikali ilishinda.... Ila bado mtu anapiga kelele tu ilimradi nae asikike kaongea na nia yake ya kupinga ikamilike... Hapa tuna mika kama 2oo hivi ili tuufikie uchumi wa kati.

Watu wanampinga kwa sababu. Mimi nilikuwa kati ya watu wa mwanzo kabisa kumuunga mkono kwa baadhi ya vitu alivyoanza kuvifanya baada ya kuchukua madaraka. Lakini baada ya muda akaanza kunitoa imani kwa mambo yanayotokea nchini, kwa mfano, watu kutekwa/kupotea, Tundu Lissu kupigwa risasi, ofisi za wanasheria kupigwa mabomu, kituo cha habari kuvamiwa na askari na wafanyakazi wake kupigwa, n.k.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Ila ndugu mkiachiwa sana mnatoa kauli za kuudhi hadi mda mwingine mnatukana viongozi, na kibaya zaidi hamtaki kukubali kuwa kuna mazuri yanayofanywa na Serikali,
Kwanini unaasume kila anayetoa maoni na yeye ni mpingaji? Mm nimekuonyesha tu uhalisia kuwa kuwa against utawala bila kuvunja sheria sio dhambi. Na sheria zikivunjwa pia aliyezivunja ana haki zake za msingi. Kama hulitaki hilo Ina maana Hufuati katiba ya nchi.
 
Halafu kuna majuha haya yote hawayaoni!!! Hawakawii kukuita msaliti au fisadi na mpiga madili. Wakati jizi kuu nchini na mpiga madili mashuhuri yuko Ikulu anapiga madili yake tu tena matakatifu. Kishapiga madili matakatifu ya ununuzi wa ndege, ununuzi wa vichwa vya treni ambavyo vilikuwa vimeshalipiwa, mkataba wa e-passport, ujenzi wa traffic za kuongoza punda chato, ujenzi wa hospitali na uwanja wa ndege chato kupitia construction company yake. Halafu anajipiga kifua NAINYOOSHA NCHI!!!!

kiongozi anatuletea hasara badala ya faida wa kazi gani? mpaka sasa deni la taifa limekuwa zaidi ya mara 10 tangu aingie ikulu. kakusanya hela anunue ndege bila kufuata utaratibu zimekamatwa.anajenga uwanja wa kimataifa kijijini kwa chato.vijana hawana ajira.mfumuko wa bei juu. uwekezaji wa ndani na nje umekufa watu wanafunga biashara.hali ya maisha ya mtanzania mmoja mmoja inazidi kuwa mbaya.hashauriki wala hasikii.

Tanzania imempata kiongozi mbovu kuliko wote tangu tupate uhuru
 
Wengine wanaompinga huyo DU hawa hapa. Naona kuna haja ya kuwabambikia kesi kupitia TRA na kuanza kuhoji uraia wa wote waliosaini waraka huo. Na ikishindikana DU anaweza kuwatumia watu wasiojulikana maana ndiyo zake hizo za kutojali maisha ya binadamu wenzie. Wanaweza kutekwa mmoja baada ya mwingine, kuteswa na hata pyu pyu kutumika ili kuwanyamazisha na kuwashwa washwa kwao.

WARAKA: Maaskofu Katoliki waonya uminywaji wa demokrasia na uhuru wa Vyombo vya Habari nchini

Back
Top Bottom