Hivi bado upingwaji wa jitihada za Rais unaendelea?

Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni. Mengi mazuri yanafanywa yanaendelea kufanywa... Hivi hiyo ATCL kabla ya rais magufuli ilikuwa na ndege ngapi zinazofanya kazi? Lakin pia kukua kwa deni la taifa ni suala lisilozuilikika deni lazima likue kutokana na aina ya miradi mikubwa ambayo pia ni productive pindi ikikamilika.. Sidhani kama atatokea rais katika hizi nchi za dunia ya tatu asikope au kuongeza deni la taifa kama unavyofikiria...
kopa kwa malengo.siyo unakopa unaenda kujenga international airpot chato.unanunua wapinzani.unaitisha chaguzi zisizo la lazima haya ni matumizi mabaya ya kodi za wananchi.
 
Wewe ni mpuuzi kama huu upuuzi wako ulioandika hapa.

Wewe ni mtz kweli au unajipendekeza ili kulinda uraia wako kuchokonolewa? Juhudi zipi hizo au kuwavunjia watu nyumba zao bila kufuata utaratibu wa kimahakama? Au kufanya manunuzi bila kufuata utaratibu? Au kushikilia makinikia bandarini hadi leo ndio juhudi zakuungwa mkono? Tumeshawachoka kwa kejeli zenu zakipuuzi.
Kwani hao wavunjiwa nyumba kwa nini hawakufuata taratibu.

Makinikia ni wizi sio wizi?

Mtu akitoa maoni yake nyinyi matumbuliwa mnatoka povu mpaka ushuzi, hivi nani aliwatuma kutumia vyeti bandia?

Manunuzi bila taratibu maana yake nyinyi mnataka mpewe ili mchomekee deal?
Chadema mmezowea kukodishiwa mafuso ya kampeni na mbowe!
 
Hivi ni juhudi zipi zinazoongelewa? Hebu tajeni hata juhudi chache zenye kusababisha watu tufanye uchaguzi kila kukicha kwa billions of taxpayers money!!

Binafsi uongozi nauona ni km utamaliza kwa aibu kuliko uongozi wowote uliowahi kutokea Tanzania.

Mnasema juhudi bila kutaja aina ya juhudi, wananchi wakilalamika maisha yamekuwa magumu awamuu hii mnawatukana na kuwakashifu mkiwaita eti walikuwa wapigani kwny awamu zilizopita!

Nonsense!
Ndio maana napenda sana mifumo ya kiutawala ya nchi kama North Korea, uchina na huko urusi... Yaan huko msemaji ni mmoja tu.. Akisema yy kinachofuata ni utekelezaji na wananchi wote wanafuata kile kilichosemwa na kiongozi... Ila sio huku kwetu kiongoz anasema hivi kanatokea karaia kanasema hakuna sio hivo..mara tanzania sijui haijawahi kupata kiongoz mbaya kama huyu, mara hatuoni juhudi za rais (wakati huo katoka hospital kama sio yy ndugu yake au mtu wake wa karibu na kahudumiwa vzur tofauti na huko nyuma... Ila bado yupo na hali ya upingaji tu ndan ya nafsi yake...
 
Yaache haya machagadema yamezowea wiziiiii!
 
Sizonje na Juhudi za kuua upinzani na utawala wa sheria
 
Mkuu vipi na ww ni miongoni mwa hao vipofu wasiiona hizi jitihada...?, Sijataka kuzikorodhesha ila najua kila mmoja kwa nafasi yake anazijua vizuri...
Labda la elimu bure ambalo limezalisha zero nyingi ndio umpongeze nalo kwani ni kawaida ya wahehe wa eneo hilo lililobeba avatar yako kutokuwasomesha watoto wao ili wauze bagia na komoni na dada zao waje mjini kuwa mahousegirl!
Endelea kupongeza na hilo!
 
Ndio maana napenda sana mifumo ya kiutawala ya nchi kama North Korea, uchina na huko urusi... Yaan huko msemaji ni mmoja tu.. Akisema yy kinachofuata ni utekelezaji na wananchi wote wanafuata kile kilichosemwa na kiongozi... Ila sio huku kwetu kiongoz anasema hivi kanatokea karaia kanasema hakuna sio hivo..mara tanzania sijui haijawahi kupata kiongoz mbaya kama huyu, mara hatuoni juhudi za rais (wakati huo katoka hospital kama sio yy ndugu yake au mtu wake wa karibu na kahudumiwa vzur tofauti na huko nyuma... Ila bado yupo na hali ya upingaji tu ndan ya nafsi yake...
Well said
 
Peleka choo chako huko Ww.

Uwezo wako wa kufikiri ni mdogo kuliko wa jogoo
 
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni. Mengi mazuri yanafanywa yanaendelea kufanywa... Hivi hiyo ATCL kabla ya rais magufuli ilikuwa na ndege ngapi zinazofanya kazi? Lakin pia kukua kwa deni la taifa ni suala lisilozuilikika deni lazima likue kutokana na aina ya miradi mikubwa ambayo pia ni productive pindi ikikamilika.. Sidhani kama atatokea rais katika hizi nchi za dunia ya tatu asikope au kuongeza deni la taifa kama unavyofikiria...
Umelewa komoni au ulanzi sio kwa ujinga huu unaouandika hapa! Ndege zipi n aumeziona ngapi? Na mradi upi uliokamilika? Hiyo mikopo inatumika wapi? Kaombe kibarua cha kulinda duka la Kaundama na huenda ukakosa kwani huna sifa!
 
Labda la elimu bure ambalo limezalisha zero nyingi ndio umpongeze nalo kwani ni kawaida ya wahehe wa eneo hilo lililobeba avatar yako kutokuwasomesha watoto wao ili wauze bagia na komoni na dada zao waje mjini kuwa mahousegirl!
Endelea kupongeza na hilo!
hakuna elimu ya bure usidanganyike.
 
Kufuta mabaraza ya kata ni moja ya hizo jitihada za huyo rais!?
 
Rejea sababu za kusitishwa na sio kufutwa mbona mnapenda kukuza hivo mambo? Wapi yalipofutwa kama si kusimamishwa kwa mda? Mnakera sana enyi kizazi cha sasa. Muwe mnaelewa kwanza kabla ya kupayuka... Lakin pia hilo ni kwa mkoa wa dsm si nchi nzima,
 
Kwani hao wavunjiwa nyumba kwa nini hawakufuata taratibu.

Makinikia ni wizi sio wizi?

Mtu akitoa maoni yake nyinyi matumbuliwa mnatoka povu mpaka ushuzi, hivi nani aliwatuma kutumia vyeti bandia?

Manunuzi bila taratibu maana yake nyinyi mnataka mpewe ili mchomekee deal?
Chadema mmezowea kukodishiwa mafuso ya kampeni na mbowe!
Na kwenda koote shule lakini hata kuandika Hujui hata kuzinduka bado! Hueleweki umeandika nini!
 
Umelewa komoni au ulanzi sio kwa ujinga huu unaouandika hapa! Ndege zipi n aumeziona ngapi? Na mradi upi uliokamilika? Hiyo mikopo inatumika wapi? Kaombe kibarua cha kulinda duka la Kaundama na huenda ukakosa kwani huna sifa!
[emoji23] [emoji23] [emoji115] mkuu huna pakutokea, elewa kwanza nilichoa andika kuwa kabla ya rais magufuli kuingia madarakani kulikuwa na ndege ngapi zinazofanya kazi? Achilia mbali hizo zitalazokuja july mwaka huu, lakin pia hiyo miradi pindi itakapokamilika ina manufaa makubwa sana kwetu sisi wananchi kuliko unavodhan... Ila unaposema ni upi umekamilika unashindwa hata kujiongeza tu kuwa kutokana na ukubwa wa miradi na mda rais aliyeko madarakani... Inatosha kusema ni mradi upi hujakamilika?

... Huo ulanzi na komoni ni utamaduni wetu huku watu wa iringa... Ila nikupe hongera ww uliyeiacha chimpumu na kunywa bia, wine na konyagi. Eti umestaarabika hasa kwa kusema honyo na kupinga juhudi za Serikali pasi na kujua kuwa mtoto wako na mjukuu wako watakuja kufurahia hiki kinachofanywa na rais magufuli,,,, acha ubinafsi kwa kutaka ww ufaidi vyote bila kuangalia future, unaposema mrad upi umekamilika lengo lako uanze kutumia ww kwanza si ndio... Ila baada ya miaka mitano nitaomba uzi wangu utumike kama reference ktk kuwaambia ukwel wale waliopinga jitihada za rais na tutakapokuwa tumefikia kimaendeleo wakati huo.
 
Binafsi nimekuwa nikishangazwa sana na baadhi ya watu wanaopiga kelele na kupinga pinga tu kwa kile kinachofanywa na Serikali hii ya sasa chini ya rais wetu amiri jeshi mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama mh. Dk. JPM,

Hivi tulikuwa tunahitaji kiongozi wa aina gani tofauti na huyu rais tuliyenaye? Sipati jibu hasa kwa hawa watanzania wenzangu ninaowaona wakitokwa misuli ya shingo kubishia na kupinga kile kinachofanywa na rais wetu.

Zimekuwa zikitafutwa sababu za kipuuzi na zisizo na mashiko zenye mlengo wa kuchochea wananchi wapinge juhudi zinazofanywa na serikali lakini kwa umadhubuti wa Serikali na kutowajali wapiga kelele hao wamejikuta wako wenyewe na wananchi wamewapuuza na kuwaona ni wapiga domo tu, kama wanapinga kinachofanywa sasa hivi je walitaka kifanyweje na kwa ubora upi.

Juhudi za rais ziungwe mkono na kila raia wa Tanzania pasipo kujali chama, dini, ukanda ukabila, n.k . Tuungane kuijenga nchi kwa manufaa yetu na vizazi vijavyo. Tutaumia kwa sasa ila maumivu yakizidi ndivyo neema inakaribia.

.............. Wako katika kazi...........

Kalenga kidamali
Kwa njia gani. Hata ktk daladala watu wamekuwa mabubu. Kwani hiyo yote ni sawa
 
Juhudi bila kuwaacha watu wawe huru kuibua uovu, huo ni uhuni.

Tuliona escow, Richmond zikiibuliwa na watu waliokua huru kuhoji.
Vipi saizi unaweza kuhoji? Au utaishia kuitwa sio mzalendo
 
Back
Top Bottom