Hivi bado upingwaji wa jitihada za Rais unaendelea?

ATCL inapata hasara kila kukicha, wake up dude
Kwani Kenya Airways inaingiza faida kila siku?kama ujui kanuni za biashara sema tukuelimishe,ATCL kwa sasa IPO katika hatua za kujipanga kibiashara ni lazima gharama za uendeshaji ziwe kubwa ila kadiri inavyoendelea itakuja kusimama.
 
Kuunga mkono genge la wanyang'anyi ni uovu. Hakushinda aliiba kura, hatukumpenda kabla hatumpendi sasa na hatutompenda. Juhudi as kinyang'ganyi utaziungaje mkono?!
Majambazi yakiteka nchi hupora na kuwaweka wananchi chini ya mtutu wa bunduku mpaka yaondoke ndio hali iwe shwari wananchi waendelee na shughuli zao za kimaendeleo. Utawala huu umelaanika na utazidi kulaanika.
Siku wakiondoka wananchi watalia kwa furaha.
 
makinikia trillion 400 na Noah zetu! unamaanisha hivyo? maana wenzio waliandamana kuungamkono juhudi za kulinda maliasili zetu.

NOAH ZETU TUNAKUMBUSHIA!
 
Binafsi nimekuwa nikishangazwa sana na baadhi ya watu wanaopiga kelele na kupinga pinga tu kwa kile kinachofanywa na Serikali hii ya sasa chini ya rais wetu amiri jeshi mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama mh. Dk. JPM,

Hivi tulikuwa tunahitaji kiongozi wa aina gani tofauti na huyu rais tuliyenaye? Sipati jibu hasa kwa hawa watanzania wenzangu ninaowaona wakitokwa misuli ya shingo kubishia na kupinga kile kinachofanywa na rais wetu.

Zimekuwa zikitafutwa sababu za kipuuzi na zisizo na mashiko zenye mlengo wa kuchochea wananchi wapinge juhudi zinazofanywa na serikali lakini kwa umadhubuti wa Serikali na kutowajali wapiga kelele hao wamejikuta wako wenyewe na wananchi wamewapuuza na kuwaona ni wapiga domo tu, kama wanapinga kinachofanywa sasa hivi je walitaka kifanyweje na kwa ubora upi.

Juhudi za rais ziungwe mkono na kila raia wa Tanzania pasipo kujali chama, dini, ukanda ukabila, n.k . Tuungane kuijenga nchi kwa manufaa yetu na vizazi vijavyo. Tutaumia kwa sasa ila maumivu yakizidi ndivyo neema inakaribia.

.............. Wako katika kazi...........

Kalenga kidamali
Jitihada zipi zinapingwa? Wananchi wanaokosoa hawakosoi maendeleo bali mbadala wa makosa ambayo serikali inayafanya. Kwa mfano;

Watanzania ambao tunalipa kodi kizalendo tungependa matumizi ya pesa za jitihada zetu yaidhinishwe na bunge kama ilivo kwenye katiba na si utashi wa raisi peke yake.
 
Binafsi nimekuwa nikishangazwa sana na baadhi ya watu wanaopiga kelele na kupinga pinga tu kwa kile kinachofanywa na Serikali hii ya sasa chini ya rais wetu amiri jeshi mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama mh. Dk. JPM,

Hivi tulikuwa tunahitaji kiongozi wa aina gani tofauti na huyu rais tuliyenaye? Sipati jibu hasa kwa hawa watanzania wenzangu ninaowaona wakitokwa misuli ya shingo kubishia na kupinga kile kinachofanywa na rais wetu.

Zimekuwa zikitafutwa sababu za kipuuzi na zisizo na mashiko zenye mlengo wa kuchochea wananchi wapinge juhudi zinazofanywa na serikali lakini kwa umadhubuti wa Serikali na kutowajali wapiga kelele hao wamejikuta wako wenyewe na wananchi wamewapuuza na kuwaona ni wapiga domo tu, kama wanapinga kinachofanywa sasa hivi je walitaka kifanyweje na kwa ubora upi.

Juhudi za rais ziungwe mkono na kila raia wa Tanzania pasipo kujali chama, dini, ukanda ukabila, n.k . Tuungane kuijenga nchi kwa manufaa yetu na vizazi vijavyo. Tutaumia kwa sasa ila maumivu yakizidi ndivyo neema inakaribia.

.............. Wako katika kazi...........

Kalenga kidamali
Juhudi zipi hizo we punga
 
Watanzania daini katiba mpya na tume huru vinginevyo mtapata tabu sana, taifa limegawanyika kabisa.

Poleni watumishi.
 
Binafsi nimekuwa nikishangazwa sana na baadhi ya watu wanaopiga kelele na kupinga pinga tu kwa kile kinachofanywa na Serikali hii ya sasa chini ya rais wetu amiri jeshi mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama mh. Dk. JPM,

Hivi tulikuwa tunahitaji kiongozi wa aina gani tofauti na huyu rais tuliyenaye? Sipati jibu hasa kwa hawa watanzania wenzangu ninaowaona wakitokwa misuli ya shingo kubishia na kupinga kile kinachofanywa na rais wetu.

Zimekuwa zikitafutwa sababu za kipuuzi na zisizo na mashiko zenye mlengo wa kuchochea wananchi wapinge juhudi zinazofanywa na serikali lakini kwa umadhubuti wa Serikali na kutowajali wapiga kelele hao wamejikuta wako wenyewe na wananchi wamewapuuza na kuwaona ni wapiga domo tu, kama wanapinga kinachofanywa sasa hivi je walitaka kifanyweje na kwa ubora upi.

Juhudi za rais ziungwe mkono na kila raia wa Tanzania pasipo kujali chama, dini, ukanda ukabila, n.k . Tuungane kuijenga nchi kwa manufaa yetu na vizazi vijavyo. Tutaumia kwa sasa ila maumivu yakizidi ndivyo neema inakaribia.

.............. Wako katika kazi...........

Kalenga kidamali
Juhudi gani hizo ambazo zinafanya maisha magumu kuliko kitu chochote? Binafsi natamani wote wanaoishabikia maviccm na mwenyekiti wao woondoke duniani ili watakaobaki waanze kutengeneza Tz upya .
 
ivi jitihada za pombe kuendelea kupora madaraka zinaendelea ?
nasikia baada ya kuhakikisha madiwani alionunua kwa kodi zetu wanashinda sasa anaforce kinondoni na siha lazima wabunge alionunua washinde !
fisadi kinyaaa !
CCM wenyewe mnakiri hawa wasaliti wawili mliwakata kwenye maoni nasikia pombe akawazidi akili akawapitisha toka ikulu..
mkoba wa hazina anaushikilia na mpwa wake dotto nanyi mwafurahia..
professor asad hana kazi..
huwezi kupenda pombe usiwe mlevi.
 
Binafsi nimekuwa nikishangazwa sana na baadhi ya watu wanaopiga kelele na kupinga pinga tu kwa kile kinachofanywa na Serikali hii ya sasa chini ya rais wetu amiri jeshi mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama mh. Dk. JPM,

Hivi tulikuwa tunahitaji kiongozi wa aina gani tofauti na huyu rais tuliyenaye? Sipati jibu hasa kwa hawa watanzania wenzangu ninaowaona wakitokwa misuli ya shingo kubishia na kupinga kile kinachofanywa na rais wetu.

Zimekuwa zikitafutwa sababu za kipuuzi na zisizo na mashiko zenye mlengo wa kuchochea wananchi wapinge juhudi zinazofanywa na serikali lakini kwa umadhubuti wa Serikali na kutowajali wapiga kelele hao wamejikuta wako wenyewe na wananchi wamewapuuza na kuwaona ni wapiga domo tu, kama wanapinga kinachofanywa sasa hivi je walitaka kifanyweje na kwa ubora upi.

Juhudi za rais ziungwe mkono na kila raia wa Tanzania pasipo kujali chama, dini, ukanda ukabila, n.k . Tuungane kuijenga nchi kwa manufaa yetu na vizazi vijavyo. Tutaumia kwa sasa ila maumivu yakizidi ndivyo neema inakaribia.

.............. Wako katika kazi...........

Kalenga kidamali
Shithole post from shithole member.
 
Zaidi ya kuleta umasikini , kukandamiza demokrasia na kuua ajira ni jitahada zipi hizo ili na sisi wengine tuzione ?
 
Ndio maana napenda sana mifumo ya kiutawala ya nchi kama North Korea, uchina na huko urusi... Yaan huko msemaji ni mmoja tu.. Akisema yy kinachofuata ni utekelezaji na wananchi wote wanafuata kile kilichosemwa na kiongozi... Ila sio huku kwetu kiongoz anasema hivi kanatokea karaia kanasema hakuna sio hivo..mara tanzania sijui haijawahi kupata kiongoz mbaya kama huyu, mara hatuoni juhudi za rais (wakati huo katoka hospital kama sio yy ndugu yake au mtu wake wa karibu na kahudumiwa vzur tofauti na huko nyuma... Ila bado yupo na hali ya upingaji tu ndan ya nafsi yake...
Sasa mkuu unafanya nn bongo siuende huko Korea na China huoni kwamba ndo wenzako waliko
 
Uhuru wa maoni hauzuii utendaji. Kwani umeona Kuna Mtu anapinga kwa kuingia msituni kwa ajili ya kuasi? Au umeona Kuna Mtu kajaribu kupindua serikali? Si maoni tu na povu la hapa na pale? Kama utendaji Upo vizuri utaonekana tu, kama si sasa baadae. Hakuna sababu ya kutaka nchi yetu nzuri iwe na mfumo kama north Korea. Mtu akipinga kwa njia zisizo sahihi tuna sheria zetu za kushughulika na makosa ya namna hii. Acha watu waongee as long as hawavunji sheria. Ardhi yetu ni huru na ndivyo tunavyojiongoza. Na ndio maana watu tukisifia hatuzuiwi kusifia Ila katika kujenga lazima Kuna watakao umia, sasa wewe unataka wakiumia wasiseme? Kama wanaoumia ni wengi wakati wa kujenga pia unatakiwa ujiulize unajenga nini hicho kinachoumiza kila Mtu.
Ila ndugu mkiachiwa sana mnatoa kauli za kuudhi hadi mda mwingine mnatukana viongozi, na kibaya zaidi hamtaki kukubali kuwa kuna mazuri yanayofanywa na Serikali,
 
Unauliza swali kutaka kujua kama wapo wanaompinga hapo hapo unajijibu swali kuwa huwa unawashangaa wanaompinga.....swali lako unalitazama kama lina umuhimu wowote hapa?
 
Nimefurahishwa na kitendo cha kufukuzwa kazi Mziwanda kama ilivyoelezwa kwenye gazeti la mwananchi kwamba amekula hela za mfuko wa rais......saizi ana jinsi akakomae na kashirika uchwara kake ka SHIO eti alijifanya kupimana nguvu na shabiby kwenye kura za maoni. Nyambafu kabisa.
 
Back
Top Bottom