Hivi Baadhi Ya Wanawake Wana Pee Ktk Pants Zao??

Salaam wanaJF!

Niliwahi sikia kuwa ktk kila mwanamke mmoja kati ya watano ana tendency ya kuachia fluid (mkojo?) kidogo ktk pichu yake kiasi cha 1/2 kijiko kidogo cha chai pale anapofanya haya: kupiga chafya, kucheka, kukohoa, kufanya mazoezi ya viungo na kubeba vitu vizito.

Hivi ni kweli? If so, why 're women more prone to this? Why does this happen, and what can be done about it?

P'se drop your expert analysis and comments.

yeah inaitwa stress incontinence it is common in gravid women and women of high parity due to relaxation of perinial muscle after repeated birth, pia it may be the sign of of UTI or Fistulous formation, not such common though!
 
Kazi kweli kweli yaani mpaka shule na vyuo vije kufunguliwa humu jamvini tutakuwa tumekwisha boreka kwa utoto mwingi
 
yeah inaitwa stress incontinence it is common in gravid women and women of high parity due to relaxation of perinial muscle after repeated birth, pia it may be the sign of of UTI or Fistulous formation, not such common though!

I always liked u Dr!!
 
yeah inaitwa stress
incontinence it is common in gravid women and women of high parity due
to relaxation of perinial muscle after repeated birth, pia it may be the
sign of of UTI or Fistulous formation, not such common though!

Thanks for info!
 
Hapo ni kwa mwanamke pamoja na kuwa usafi wa hali ya juu!

Sasa kwa kijana wa kiume ujue ni shida tupu kama nao wanatokewa na matatizo kama haya!
 
Back
Top Bottom