Duh Im tryng to see wadada
wanavyo jaribu ku critisize ukweli kuficha aibu wakati hii inawahusu na
wengine walipo isoma wakajiguza kama wamelowa teh teh thanks
HMS
Ni kweli mkuu.
Mimi nina dada yangu ambaye hii kitu umtokea pale anapocheka sana! So mimi ninawashangaa wale wanaokanusha hili.