Hivi Baadhi Ya Wanawake Wana Pee Ktk Pants Zao??


Iselamagazi

Iselamagazi

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2011
Messages
2,228
Likes
49
Points
145
Iselamagazi

Iselamagazi

JF-Expert Member
Joined Sep 26, 2011
2,228 49 145
utafiti mwingine ni feki kabisa

ladyfurahia, baadhi ya members wameweka link hapa kuwa tatizo hili lipo; pia daktari mwanamke mwezio amethibitisha hilo, so tatizo liko wapi dada yangu?
 
Last edited by a moderator:
Njunwa Wamavoko

Njunwa Wamavoko

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2012
Messages
5,663
Likes
588
Points
280
Njunwa Wamavoko

Njunwa Wamavoko

JF-Expert Member
Joined Aug 11, 2012
5,663 588 280
Salaam wanaJF!

Niliwahi sikia kuwa ktk kila mwanamke mmoja kati ya watano ana tendency ya kuachia fluid (mkojo?) kidogo ktk pichu yake kiasi cha 1/2 kijiko kidogo cha chai pale anapofanya haya: kupiga chafya, kucheka, kukohoa, kufanya mazoezi ya viungo na kubeba vitu vizito.

Hivi ni kweli? If so, why 're women more prone to this? Why does this happen, and what can be done about it?

P'se drop your expert analysis and comments.
wakifurahi wadada au any stimuli kwenye bodies zao wana stimulate Pudendal nerve
(nerve for sexual arousal) hivo wale nerve iliyo active 1:5 lazima Vulval mucus secreting glands lazima zitoe hiyo mucus na sio mkojo as such....lkn kwa kuwa viscosity ya mucus ni kubwa i.e kama uji basi hata travel speed ya mucus kuja kwenye chupi ni dongo na most of the time haiwez loaanisha puchi ....observe ukienda kugegeda usimvui kyupi mamie afu mpige touch mpaka mucous ije ya kutosha utakuta kyupi haijaloa lkn vulva imejaa utelezi
 
Iselamagazi

Iselamagazi

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2011
Messages
2,228
Likes
49
Points
145
Iselamagazi

Iselamagazi

JF-Expert Member
Joined Sep 26, 2011
2,228 49 145
wakifurahi wadada
au any stimuli kwenye bodies zao wana stimulate Pudendal nerve
(nerve for sexual arousal) hivo wale nerve iliyo active 1:5 lazima
Vulval mucus secreting glands lazima zitoe hiyo mucus na sio mkojo as
such....lkn kwa kuwa viscosity ya mucus ni kubwa i.e kama uji basi hata
travel speed ya mucus kuja kwenye chupi ni dongo na most of the time
haiwez loaanisha puchi ....observe ukienda kugegeda usimvui kyupi mamie
afu mpige touch mpaka mucous ije ya kutosha utakuta kyupi haijaloa lkn
vulva imejaa utelezi
Umechanganya vitu viwili. Mkojo na utelezi (cum).
 
Baba V

Baba V

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2010
Messages
19,501
Likes
230
Points
160
Baba V

Baba V

JF-Expert Member
Joined Dec 29, 2010
19,501 230 160
Mkuu charminglady, niseme tu kwamba ni drops
kidogo tu ya kimiminika kinachotoka ktk urethra na kuishia ktk papuchi, au labda kusambaa kidogo kwenye underwear. So inawezeka harufu isisikike sana. Just few drops!
Hapo kwenye red hapo..! kwa mujibu wa biolojia ya form two nakumbuka kama inayohusika kupitisha mkojo ni ureter. Nahsi nakumbuka wakati tunasoma riprodakshen mwalimu Ntakoma alisema hivyo na sio hiyo red.
 
Last edited by a moderator:
Iselamagazi

Iselamagazi

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2011
Messages
2,228
Likes
49
Points
145
Iselamagazi

Iselamagazi

JF-Expert Member
Joined Sep 26, 2011
2,228 49 145
wakifurahi wadada au any stimuli kwenye bodies zao wana stimulate Pudendal nerve
(nerve for sexual arousal) hivo wale nerve iliyo active 1:5 lazima
Vulval mucus secreting glands lazima zitoe hiyo mucus na sio mkojo as
such....lkn kwa kuwa viscosity ya mucus ni kubwa i.e kama uji basi hata
travel speed ya mucus kuja kwenye chupi ni dongo na most of the time
haiwez loaanisha puchi ....observe ukienda kugegeda usimvui kyupi mamie
afu mpige touch mpaka mucous ije ya kutosha utakuta kyupi haijaloa lkn
vulva imejaa utelezi
Umechanganya mambo mawili; mkojo & female cum. Female cum
inapatikana wakati wa foreplay, au wakati wa mgegedo na
sababu nyingine chache. It is generally clear, nearly odorless &
maybe a little sweet.
Kinachoongelewa ktk uzi huu ni mkojo. Constituents za mkojo ni Urea na Creatinine. Mkojo una sifa ya kuchafua vyupi na kutoa harufu mbaya.
 
G

Glivec

Member
Joined
Apr 15, 2013
Messages
91
Likes
10
Points
15
G

Glivec

Member
Joined Apr 15, 2013
91 10 15
nakubaliana na wewe 100%
Huu ni uongo.! Wanawake wangapi wanajifungua kawaida? Hizi myth zinasababisha wadada wengi kwenda hospitali na mentality ya kutaka kupasuliwa wakati ana uwezo wa kuzaa kawaida. Kuna watu wana urinary incontinence na ana mtoto mmoja tu! Ingekuwa hivyo hata ma.vi si yangekuwa yanatoka yenyewe?
 
gorgeousmimi

gorgeousmimi

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2010
Messages
8,865
Likes
409
Points
180
gorgeousmimi

gorgeousmimi

JF-Expert Member
Joined Jun 21, 2010
8,865 409 180
Huu ni uongo.! Wanawake wangapi wanajifungua kawaida? Hizi myth zinasababisha wadada wengi kwenda hospitali na mentality ya kutaka kupasuliwa wakati ana uwezo wa kuzaa kawaida. Kuna watu wana urinary incontinence na ana mtoto mmoja tu! Ingekuwa hivyo hata ma.vi si yangekuwa yanatoka yenyewe?
Who is talking about any myth?Hiki kitu kimeshafanyiwa mpaka researches na kimegundulika ni tatizo.Soma link ya article hio nimekuwekea chini!

Women's explanations ... [J Wound Ostomy Continence Nurs. 2010 Mar-Apr] - PubMed - NCBI

Na siku nyingine kabla hujamquote mtu pumba zako ufikirie mara mbili!!!Watanzania wengi hawapo wazi kuongelea kuhusu matatizo yao lkn hili tatizo lipo tena sana tu!!
 
Iselamagazi

Iselamagazi

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2011
Messages
2,228
Likes
49
Points
145
Iselamagazi

Iselamagazi

JF-Expert Member
Joined Sep 26, 2011
2,228 49 145
Last edited by a moderator:
Angel Nylon

Angel Nylon

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2011
Messages
4,468
Likes
1,529
Points
280
Angel Nylon

Angel Nylon

JF-Expert Member
Joined Jul 26, 2011
4,468 1,529 280
Ni kweli, lkn naona wachangiaji wengi hawajafaham maana ya neno 'baadhi ya wanawake' kwa kuwa yeye anaona ha pee basi anaona kama umeuliza maajabu.

Ni kweli hii kitu ipo, mimi binafsi hunitokea mara moja moja hasa nnapokua na kikohozi kikali sana. Sikuwahi kumskia mtu mwengine wala sikuwahi kuhisi kama ni tatizo.

Ndo leo naskia hapa, this means hichi kitu ni kweli kipo
 
Iselamagazi

Iselamagazi

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2011
Messages
2,228
Likes
49
Points
145
Iselamagazi

Iselamagazi

JF-Expert Member
Joined Sep 26, 2011
2,228 49 145
Ni kweli, lkn naona wachangiaji wengi hawajafaham maana ya neno 'baadhi ya wanawake' kwa kuwa yeye anaona ha pee basi anaona kama umeuliza maajabu.

Ni kweli hii kitu ipo, mimi binafsi hunitokea mara moja moja hasa nnapokua na kikohozi kikali sana. Sikuwahi kumskia mtu mwengine wala sikuwahi kuhisi kama ni tatizo.

Ndo leo naskia hapa, this means hichi kitu ni kweli kipo

Asante dada angel!
Nadhani akina jamiif, miss chagga na wengine wamesikia!
 
Last edited by a moderator:
Hornet

Hornet

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2013
Messages
15,933
Likes
14,597
Points
280
Hornet

Hornet

JF-Expert Member
Joined Apr 29, 2013
15,933 14,597 280
Heshima mbele wakuu, matatizo ya kulegea "breki" za mkojo ni tatizo linalowapata kinamama ambao wajifungua kwa njia ya kawaida. Wakati kichwa kinaelekea kutoka panapo kujifungua kinachana misuli iitwayo pelvic floor muscles. Misuli hii inasaidiana na misuli maalumu ya kuziba njia ya mkojo kuzuia mkojo kutoka ovyo. Ndio maana kinamama waliojifungua kawaida wanashauriwa kufanya Kegel exercises kuweza kurudisha asilimia kadhaa ya ufanyaji kazi wa misuli hiyo.
i agree not to agree with you..nilijifungua kwa njia ya kawaida ila sijakutana na hili tatizo labda ni kwa baadhi ya wanawake..
 
L

lumaraG

Senior Member
Joined
Jul 14, 2013
Messages
184
Likes
1
Points
33
L

lumaraG

Senior Member
Joined Jul 14, 2013
184 1 33
Kumbuka tatizo hili huwapata wanawake wachache sana hasa waliozaa Mara nyingi na wenye umri mkubwa.
Weka bayana Waliozaa zaidi ya Mara ngapi, na Wenye Umri Mkubwa wa zaidi ya Miaka mingapi ?!
 
damian marijani

damian marijani

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2010
Messages
697
Likes
259
Points
80
damian marijani

damian marijani

JF-Expert Member
Joined Jan 31, 2010
697 259 80
i agree not to agree with you..nilijifungua kwa njia ya kawaida ila sijakutana na hili tatizo labda ni kwa baadhi ya wanawake..
Mkuu Jawilat kwa maelezo niliyoyatoa hapo haya-generalize kwa kinamama wote wanaojifungua kwa njia ya kawaida ila ni kwa baadhi (asilimia chache) ambao wanaathirika na kuchanika au kuvutika kwa pelvic floor muscles.
 
Last edited by a moderator:
H

HMS

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2013
Messages
320
Likes
5
Points
35
H

HMS

JF-Expert Member
Joined Oct 23, 2013
320 5 35
Habari. inapokuja kwenye suala la elimu hakuna aibu ndani yake hasa kwenye elimu ya biologia inayohusu maradhi na tiba. kwa haraka haraka naweza kusema hii kitu ni kweli kabisa japo kwa takwimu sio kweli ila ni wanawake wengi sana sana wenye kukumbwa na tatizo hilo. hii ni kwasababu ya kimaumbile ya mwanamke ni tofauti na mwanaume, ule mfumo mzima wa viungo vya uzazi ndio inayosababisha hili. huu ugonjwa hasa unawakumba wale wanawake wajauzito, wanawake waliozaa sana kwa njia ya kawaida na kwa wale wanawake ambao wamezidi kilo ya mwili kubeba yaan wapo over weight. kitaalamu huu ugonjwa unaitwa Stress Incontinence. mwanamke anapokua mjamzito au mnene, ile misuli ya kubana mojo inakua haina nguvu sana, kwahiyo anapofanya tendo la nguvu na kushtusha km hilo la chafya basi ile misuli inashindwa kubana kisawa sawa. kwa wale wote wenye tatizo km hili, wasiogope kuelezea matatizo yao maana akina dada ndivo walivo, muone daktari na atakusaidia, ni nature wala usijine tofauti na wenzako, na pia kwa ushauri mazoezi ya viungo husaidia sn ugonjwa huu kutoweka, fanya diet, sio ukae na njaa hapana, fanya diet kula balanced food na upige zoezi. ASANTENI
 
nanasikirikuu

nanasikirikuu

Member
Joined
Dec 6, 2013
Messages
73
Likes
6
Points
0
nanasikirikuu

nanasikirikuu

Member
Joined Dec 6, 2013
73 6 0
hili tatizo lipo kama walivyoeleza baadhi ya wenzetu hapo juu...na linatokea kwa baadhi ya wanawake wenye umri mkubwa na waliojifungua....just baadhi....na matibabu yake ni kegel exercise...kwa kifupi kuhusu tiba ni mwanamke kucontrol mkojo wakati wa kukojoa...yaan kutoa mkojo na kuubana several tyms akiwa toilet...of which husaidia kustrengthen pelvic floor muscles..
 
georgina george

georgina george

Senior Member
Joined
Dec 19, 2012
Messages
110
Likes
1
Points
35
georgina george

georgina george

Senior Member
Joined Dec 19, 2012
110 1 35
hili tatizo lipo kama
walivyoeleza baadhi ya wenzetu hapo juu...na linatokea kwa baadhi ya
wanawake wenye umri mkubwa na waliojifungua....just baadhi....na
matibabu yake ni kegel exercise...kwa kifupi kuhusu tiba ni mwanamke
kucontrol mkojo wakati wa kukojoa...yaan kutoa mkojo na kuubana several
tyms akiwa toilet...of which husaidia kustrengthen pelvic floor
muscles..
Umenena vema.
 

Forum statistics

Threads 1,262,307
Members 485,543
Posts 30,120,407