Iselamagazi
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 5,924
- 6,010
Wewe unadhani ni kweli
mkuu? na kama ni kweli kwa nini iwe ni wanawake tu na sio wanaume pia?
Unapendekeza utafiti au kitu gani kifanyike ili dhibitisha ukweli huu?
Thanks Iselamagazi
Sina hakika kama hiyo
taarifa ni ya kweli...
Nimejaribu kutafuta mtandaoni sijaona kitu kama hicho na especially
kuhusu hiyo figure.
Urinary
incontinence: MedlinePlus Medical Encyclopedia
Ukiachilia mbali hiyo ratio niliyoweka hapa (1:5), naona kuna ka ukweli fulani ktk link yako. Thanks!
Nakubaliana na wewe
kwamba hilo tatizo lipo na ndiyo maana wataalamu wa mifumo ya mkojo na
uzazi wanashughulika nalo. Tatizo langu ni hiyo figure ambayo ni kusema
kuwa 20% wanaachia mkojo ambayo kwangu naona kama ni kubwa sana.
Nitahitaji kufanya ka utafiti kidogo ili nijiridhishe kama kweli ni
hivyo.
Otherwise, unaweza kuturahisishia kwa kutuwekea source ya hiyo
data.
Hii kitu nadhani ina ukweli fulani ndiyo maana akina mama/dada wa JF wako kimya. Wapi akina: Husninyo,
miss
chagga, Valentina,
Preta, white girl,
faiza Foxy,
charming
Lady, Mamndenyi, Lizy ?
Mkuu....
siwezi kujua
kiutaalamu. Labda uwe umebanwa saaana. Ila katika hali ya kawaida
sidhani kama ni kweli. Nasema hivyo kwa sababi kila siku tunacheka sasa
si itakuwa kila siku tunanuka m.kojo???
hivi umewaza nini? si kweli nadhani google inaweza jibu vizuri hii kitu yako
labda amemfanyia dem wake suprise ya ku-doo!hivi umewaza nini? si kweli nadhani google inaweza jibu vizuri hii kitu yako
Mkuu.... siwezi kujua kiutaalamu. Labda uwe umebanwa saaana. Ila katika hali ya kawaida sidhani kama ni kweli. Nasema hivyo kwa sababi kila siku tunacheka sasa si itakuwa kila siku tunanuka m.kojo???