Hivi Baadhi Ya Wanawake Wana Pee Ktk Pants Zao??

Iselamagazi

JF-Expert Member
Sep 26, 2011
5,911
5,980
Salaam wanaJF!

Niliwahi sikia kuwa ktk kila mwanamke mmoja kati ya watano ana tendency ya kuachia fluid (mkojo?) kidogo ktk pichu yake kiasi cha 1/2 kijiko kidogo cha chai pale anapofanya haya: kupiga chafya, kucheka, kukohoa, kufanya mazoezi ya viungo na kubeba vitu vizito.

Hivi ni kweli? If so, why 're women more prone to this? Why does this happen, and what can be done about it?

P'se drop your expert analysis and comments.
 
Wewe unadhani ni kweli mkuu? na kama ni kweli kwa nini iwe ni wanawake tu na sio wanaume pia? Unapendekeza utafiti au kitu gani kifanyike ili dhibitisha ukweli huu? Thanks Iselamagazi
 
Last edited by a moderator:
Wewe unadhani ni kweli
mkuu? na kama ni kweli kwa nini iwe ni wanawake tu na sio wanaume pia?
Unapendekeza utafiti au kitu gani kifanyike ili dhibitisha ukweli huu?
Thanks Iselamagazi

Mkuu Samaritan, hii kitu nimeisikia ktk kijiwe changu cha kuponda kokoto, for sure sina uhakika ndiyo maana nimeleta uzi huu hapa JF.
 
Last edited by a moderator:
kwa vyovyote hii itakuwa ni abnormality, pole sana kama umekumbana na hali kama hii kwa namna moja au nyingine.
naamini madaktari watakujibu punde wakimaliza pilika zao za siku
 
kwa vyovyote hii itakuwa ni
abnormality, pole sana kama umekumbana na hali kama hii kwa namna moja
au nyingine.
naamini madaktari watakujibu punde wakimaliza pilika zao za siku

Asante mkuu kipimo.
 
Last edited by a moderator:
Ukiachilia mbali hiyo ratio niliyoweka hapa (1:5), naona kuna ka ukweli fulani ktk link yako. Thanks!


Nakubaliana na wewe kwamba hilo tatizo lipo na ndiyo maana wataalamu wa mifumo ya mkojo na uzazi wanashughulika nalo. Tatizo langu ni hiyo figure ambayo ni kusema kuwa 20% wanaachia mkojo ambayo kwangu naona kama ni kubwa sana.

Nitahitaji kufanya ka utafiti kidogo ili nijiridhishe kama kweli ni hivyo.

Otherwise, unaweza kuturahisishia kwa kutuwekea source ya hiyo data.
 
Nakubaliana na wewe
kwamba hilo tatizo lipo na ndiyo maana wataalamu wa mifumo ya mkojo na
uzazi wanashughulika nalo. Tatizo langu ni hiyo figure ambayo ni kusema
kuwa 20% wanaachia mkojo ambayo kwangu naona kama ni kubwa sana.

Nitahitaji kufanya ka utafiti kidogo ili nijiridhishe kama kweli ni
hivyo.

Otherwise, unaweza kuturahisishia kwa kutuwekea source ya hiyo
data.

Nimekupata vizuri Dark City; Source sina zaidi
ya kuweka picha ya kijiwe changu cha kuponda kokoto. Otherwise nitasema source
ni mimi mwenyewe.
 
Last edited by a moderator:
Ngoja weje watujuze wenyewe, leo sijui wako wapi? Ama ndo wameususia uzi?

Te te te! Mkuu Makoye, unajua kumwambia mtu mzima kuwa ana pee (kojoa) kwenye underwear ni aibu kwake japo yawezekana ni maumbile pamoja na factors nyingine nyingi.
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Mkuu....

siwezi kujua
kiutaalamu. Labda uwe umebanwa saaana. Ila katika hali ya kawaida
sidhani kama ni kweli. Nasema hivyo kwa sababi kila siku tunacheka sasa
si itakuwa kila siku tunanuka m.kojo???

Mkuu charminglady, niseme tu kwamba ni drops
kidogo tu ya kimiminika kinachotoka ktk urethra na kuishia ktk papuchi, au labda kusambaa kidogo kwenye underwear. So inawezeka harufu isisikike sana. Just few drops!
 
Last edited by a moderator:
hivi umewaza nini? si kweli nadhani google inaweza jibu vizuri hii kitu yako
labda amemfanyia dem wake suprise ya ku-doo!
hi kumkurupua dem wako ghafla bila kumtaarifu akavae ile Pichu mpya ndo inaleta haya majanga!
Waafrica resources zetu ni chache!
 
Mkuu.... siwezi kujua kiutaalamu. Labda uwe umebanwa saaana. Ila katika hali ya kawaida sidhani kama ni kweli. Nasema hivyo kwa sababi kila siku tunacheka sasa si itakuwa kila siku tunanuka m.kojo???

nafikiri tungehitaji pia kutembea na nguo za kubadilisha maana wengine siku haziishi bila vicheko. muwe mnaangalia na mambo ya kuandika bana.
 
we nae! sasa mkojo utoke wakati wa kupiga chafya kwani alikuwa kaubana asikojoe au? SIO KWELI! Na aliyepima hivyo vijiko ni nani?mh!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom