Hivi askari wa kike wa uhamiaji wanafaa kuoa?

Hivi askari wa kike wa uhamiaji wanafaa kuoa?

Tabia ya mtu na kazi ya mtu ni vitu viwili tofauti.
Cha msingi ni tabia je inaridhisha?unampenda?nakupenda?unaweza kuoana nae?

Unaamini mazingira huchangia kwa kiasi kikubwa kubadili tabia ya mtu?
 
Habari zenu watanganyika wenzangu!naomba kuuliza, hvi hawa askari wa kike wanaofanya kazi idara ya uhamiaji wanafaa kuoa kweli au nao ni viruka njia?naombeni mnipe tabia za hawa watu ili nifanye maamuzi sahìhi.asanteni

Hivi unataka kuoa "UHAMIAJI ?" au unataka kuoa "MKE?" kosa kubwa sisi kukuambia ili ufanye uamuzi kwnai ni sawa na xixix kukuchagulia huyo mke, na hali wewe ndo utayeishi nae maisha yako yote,kwani swala lako ni sawa na kutaka kuoa mtu kwa kuangalia kabila au dini yake wakati swala la maisha ni la mtu husika zaidi na siyo jumuia au kundi zima , epuka kufanya maamuzi from "specific " to "general". nadhani umenisoma vema.
 
Tabia ya mtu na kazi ya mtu ni vitu viwili tofauti.
Cha msingi ni tabia je inaridhisha?unampenda?nakupenda?unaweza kuoana nae?

mkuu,kumbuka nature ya kazi huwa inashape tabia ya mtu.mfano chukulia hawa dada zetu wanaofanya kazi bank,kutokana na wao kuzoea kushika pesa nying kule kazin kwao,basi wamejikuta hata mizinga wanayokua wanawapga maboyfriends zao ni mikubwa mikubwa,hvo kuwafanya wanaume wengi kuwaona wako expensive sana..
 
sasa unataka nikusaidieje?
Sikuelewi
 
Mada kama hizi, zina onesha ni jinsi gani mtoa mada alivyo na upeo finyu wa kufikiri!! Sawa na kuhusu kabila, dini n.k.
 
oa ili iwe rahisi unapotaka kusafiri kwenda nje, au ukipata dili la kusafirisha wasomali unaweza pata msaada sana
 
Mada kama hizi, zina onesha ni jinsi gani mtoa mada alivyo na upeo finyu wa kufikiri!! Sawa na kuhusu kabila, dini n.k.

sasa wewe mwenye upeo mpana kwa nin usinieleweshe?
 
Kuao watu ambao waku wanatii sheria tu bila ku-reason ni majanga.
Akiambiwa nipe bambuje anatoa sababu sharti atii amri halali ya mkuu wake.
 
Oa bana kwani ukishamuoa hela za kubadilisha mboga hazitakosekana kwani Wa-Eritrea,Ethiopia,Somali etc atakuwa anawavushajeeeee.
 
Back
Top Bottom