Silly question of the yearHabari zenu watanganyika wenzangu!naomba kuuliza, hvi hawa askari wa kike wanaofanya kazi idara ya uhamiaji wanafaa kuoa kweli au nao ni viruka njia?naombeni mnipe tabia za hawa watu ili nifanye maamuzi sahìhi.asanteni
Habari zenu watanganyika wenzangu!naomba kuuliza, hvi hawa askari wa kike wanaofanya kazi idara ya uhamiaji wanafaa kuoa kweli au nao ni viruka njia?naombeni mnipe tabia za hawa watu ili nifanye maamuzi sahìhi.asanteni
kwa maoni yangu hawafai kuwa wake....hawajatulia kabisa ni kama kuoa polis mda na mazingira yeyote bosi anakudinyia....but mwisho wa siku kupanga ni kuchagua kama vp jilipue tu kaka..
kwa maoni yangu hawafai kuwa wake....hawajatulia kabisa ni kama kuoa polis mda na mazingira yeyote bosi anakudinyia....but mwisho wa Siku kupanga ni kuchagua kama VP jilipue tu kaka..
Immigration i used to date big boss.he was not romantic.inama nikurenge no kisses,no hugs anamuweka basi
Habari zenu watanganyika wenzangu!naomba kuuliza, hvi hawa askari wa kike wanaofanya kazi idara ya uhamiaji wanafaa kuoa kweli au nao ni viruka njia?naombeni mnipe tabia za hawa watu ili nifanye maamuzi sahìhi.asanteni
your wrong and bad advice amuwachishe mukazi amufungulie mubiashara wawe na strong family.
Tabia ya mtu na kazi ya mtu ni vitu viwili tofauti.
Cha msingi ni tabia je inaridhisha?unampenda?nakupenda?unaweza kuoana nae?
Unaoa mtu au kazi????
Kama unaoa kazi nende tume ya ajira ndo wanajua vizuri hiyo mambo!!!