Hivi askari wa kike wa uhamiaji wanafaa kuoa?

Hivi askari wa kike wa uhamiaji wanafaa kuoa?

Habari zenu watanganyika wenzangu!naomba kuuliza, hvi hawa askari wa kike wanaofanya kazi idara ya uhamiaji wanafaa kuoa kweli au nao ni viruka njia?naombeni mnipe tabia za hawa watu ili nifanye maamuzi sahìhi.asanteni

Hayatuhusu. This is your private business.
 
Tifua mbunye acha kuangalia kazi ya binti...kama miuno imo plus k mnato oa
 
Back
Top Bottom