Mie huwa naona ni mtu asiyependa kabisa kuwa hadharani na anatamani kuishi maisha yake aliyokuwa anayaishi. Zamani nilidhania pia dingi anambana sana.
Lakini baada ya kuona ile kideo ya mzee akiwapongeza nafikiri Taifa Stars kufanikiwa kuingia AFCON, NILIBADILI MAWAZO na kuamini maza hapendi kamera kabisa sio kama yule mama yetu mshambenga wa enzi zile aliyekuwa anaenda hadi kubembea na kamera atutumie picha wanae tuone anavyokula nchi yetu.
Kwenye ile kideo mzee akitoa pongezi sebuleni kwake, mama alikuwa mezani akipiga msosi. Ukiangalia interaction yao pale, ni kama yetu tu huku kitaa na niliona maza yuko kipekee tu.
Na kwa aina fulani ananikumbusha bibi yangu wa Namanyere, Nkasi. Bibi yangu alizaliwa kabla ya uhuru na huwezi kumlinganisha hata kidogo na mabibi wa kisasa wa dot com. Simu tu ya tochi mpaka leo kuitumia bado inamzingua 🤣. Lakini busara na hekima kama zote.
Nadhani personality ya maza imesaidia pia kupunguza madili yaanziyo Magogoni. Maana enzi zile, yule maza aliyepita ni kama na yeye alichaguliwa uraisi vile.