Hivi ambaye huwa naiona hii body language ya mke wa Rais haiko sawa ni mimi peke yangu au?

Kila nimwonapo kupitia Saikolojia yangu Kali ya Kuzaliwa nayo na ya Kusomea kidogo pia huwa nagundua haya:

Ana Maumivu makubwa moyoni
Ana Mawazo mengi
Hathaminiwi
Anadharauliwa
Amelazimishwa
Mgonjwa
Hapendi Publicity

Sijui Wewe Mwenzangu huwa unamuonaje.
Naunga mkono hoja, ila ujue tuu kule usukumani wanawake ni kama tool ya mtu .wanawake ni kama watumwa wa familia zao. Halafu bango lingekuwa safi zaidi ungebandika na picha
 
Naitwa cleverbright na siitwi getamisin tafadhali na nachoka sasa kila mara kuhusishwa na hiyo ID. au fanyeni hivi ili kurahisisha mambo ID's zote za hapa JF ni zangu ikiwemo na hii yako. Unaacha Kujadili Hoja iliyopo mezani unajadili ID halafu Rais Trump akitutukana Waafrika kuwa hatuna Akili hadi anatufananisha na Mashimo ya Vyoo tunakasirika na Kumchukia wakati huenda akawa yupo sahihi kwa 99% kama hata siyo 100% zote.
kuna sentensi hapo ni balaa mkuu
 
Nasikia Miss Kisarawe, Miss Afya na yule akiyekuwa Miss Madini achilia mbali yule Miss Bamaga mkabala na TBC wanamnyima sana raha na amani kwakuwa Keki yake inaliwa na wengi ambao hawakuihangaikia tokea miaka ya nyuma.
Wewe mwenyewe unauliza swali halafu unajijibu, wabongo kwa ushakunanku ni noma ndo maana hatutoboi kwenye issue zinazohitaji seriousness
 
Naitwa cleverbright na siitwi getamisin tafadhali na nachoka sasa kila mara kuhusishwa na hiyo ID. au fanyeni hivi ili kurahisisha mambo ID's zote za hapa JF ni zangu ikiwemo na hii yako. Unaacha Kujadili Hoja iliyopo mezani unajadili ID halafu Rais Trump akitutukana Waafrika kuwa hatuna Akili hadi anatufananisha na Mashimo ya Vyoo tunakasirika na Kumchukia wakati huenda akawa yupo sahihi kwa 99% kama hata siyo 100% zote.
Hahahaa, ni wewe bhana unakataa nini?
 
Miss Bamaga Ndio Yupi?? Nimeshindaa Kung'amua Hapo Tu.

Sina uhakika kama EJN amekufa Kweli au amejeruhiwa tu hivyo akipona atarudi tena Kazini kuendelea na Majukumu yake ya Kuchomoa Betri ili Walengwa tusiwepo kabisa duniani au tuishi tukiwa hatuna Meno, Kucha na hata Mapumbu ikiwezekana. Maisha ni matamu ya bado tunayapenda hivyo kama umeshindwa Kujiongeza hapo Kazi Kwako.
 
nadhani hayo ni mambo yake binafsi....yeye ni binaadamu kama sisi anaumia kama tunavyoumia sisi...tuache kumjadili
 
Unaitwa cleverbright au An Eagle!! Au wote ni mtu mmoja au Mod wameunganisha IDs hizi mbili kimakosa??!!!!
Naitwa cleverbright na siitwi getamisin tafadhali na nachoka sasa kila mara kuhusishwa na hiyo ID. au fanyeni hivi ili kurahisisha mambo ID's zote za hapa JF ni zangu ikiwemo na hii yako. Unaacha Kujadili Hoja iliyopo mezani unajadili ID halafu Rais Trump akitutukana Waafrika kuwa hatuna Akili hadi anatufananisha na Mashimo ya Vyoo tunakasirika na Kumchukia wakati huenda akawa yupo sahihi kwa 99% kama hata siyo 100% zote.
 
Naitwa cleverbright na siitwi getamisin tafadhali na nachoka sasa kila mara kuhusishwa na hiyo ID. au fanyeni hivi ili kurahisisha mambo ID's zote za hapa JF ni zangu ikiwemo na hii yako. Unaacha Kujadili Hoja iliyopo mezani unajadili ID halafu Rais Trump akitutukana Waafrika kuwa hatuna Akili hadi anatufananisha na Mashimo ya Vyoo tunakasirika na Kumchukia wakati huenda akawa yupo sahihi kwa 99% kama hata siyo 100% zote.
Kumbe wewe ni cleverbright na siyo An Eagle.
 
Naitwa cleverbright na siitwi getamisin tafadhali na nachoka sasa kila mara kuhusishwa na hiyo ID. au fanyeni hivi ili kurahisisha mambo ID's zote za hapa JF ni zangu ikiwemo na hii yako. Unaacha Kujadili Hoja iliyopo mezani unajadili ID halafu Rais Trump akitutukana Waafrika kuwa hatuna Akili hadi anatufananisha na Mashimo ya Vyoo tunakasirika na Kumchukia wakati huenda akawa yupo sahihi kwa 99% kama hata siyo 100% zote.
An Eagle au cleverbright!!?
Au ni 6 na 9!!?
 
Back
Top Bottom