rashidmlyuka
Member
- Dec 12, 2014
- 6
- 0
Mwana kwetu utakuwa chizi kama utachagua ccm kwauongozi huu hapana yatoshasasa jamani wametunyonya vyakutosha
Labda vichaa ndio wachague
Dawa katiba mpya na tume huru bila hivo ule wimbo maarufu utaendelea kutawalaLabda vichaa ndio wachague
Itategemea na mpinzani wake ni nani
Labda tume ya uchaguz iwe huru na kstibaKwa aina ya uongozi tulio nao sasa hivi, uongozi usiojali wananchi wake hata pale wanapopata majanga, uongozi usiowajali watumishi wake, uongozi usiowajali wananchi maskini, uongozi usiowajali wanyonge, uongozi usiowajali watoto wa maskini hadi kuwanyima mikopo, kuzuia ajira.
Uongozi uliojaa ghiliba, chuki, visasi vya kila aina, ni uongozi ambao wao ni bora kununua ndege kuliko kununua madawa mahospitalini, uongozi usiopenda kukosolewa hata kama wamekosea lakini ni uongozi unaopenda sifa binafsi kuliko utendaji kazi.
Hivi kuna Mtanzania atapanga foleni tena 2020 kuwachagua watu hawa.
Wajinga watanzania (ujinga sio tusi) ! wenye fikra pevu wako wachache. Si uliona wanashangilia. Ilibidi waondoke wamuache peke yake, walikaa kumsikiliza, wajinga!Kwa aina ya uongozi tulio nao sasa hivi, uongozi usiojali wananchi wake hata pale wanapopata majanga, uongozi usiowajali watumishi wake, uongozi usiowajali wananchi maskini, uongozi usiowajali wanyonge, uongozi usiowajali watoto wa maskini hadi kuwanyima mikopo, kuzuia ajira.
Uongozi uliojaa ghiliba, chuki, visasi vya kila aina, ni uongozi ambao wao ni bora kununua ndege kuliko kununua madawa mahospitalini, uongozi usiopenda kukosolewa hata kama wamekosea lakini ni uongozi unaopenda sifa binafsi kuliko utendaji kazi.
Hivi kuna Mtanzania atapanga foleni tena 2020 kuwachagua watu hawa.
Kwa nini utukane? Mleta hoja hakutaja jina la mtu alichosema ni CCM kwa nini wewe utaje watu majina na kuwatukana? Wewe sasa umeprove ukweli wa hoja ya thread hii. Kuwa mstaarabu na jibu hoja kwa hoja.Nitaendelea kuipigia kura CCM hata miaka milioni ijayo,kwa upinzani huu uliojaa wajinga wengi wasiokuwa na kitu cha kukipigania CCM iongoze daima.Mbowe,lowassa,sumaye,kingunge,mgeja nk ni zaidi ya fisi
Ndio zipi hizo mkuu?Yaani kurwa za kwenye maroli?
Mkuu utafiti wa kitaalam unaonyesha wa Tanzania wengi ni vichaa na maamuzi ya wa Tanzania 2020 niya ukichaa.Kwa aina ya uongozi tulio nao sasa hivi, uongozi usiojali wananchi wake hata pale wanapopata majanga, uongozi usiowajali watumishi wake, uongozi usiowajali wananchi maskini, uongozi usiowajali wanyonge, uongozi usiowajali watoto wa maskini hadi kuwanyima mikopo, kuzuia ajira.
Uongozi uliojaa ghiliba, chuki, visasi vya kila aina, ni uongozi ambao wao ni bora kununua ndege kuliko kununua madawa mahospitalini, uongozi usiopenda kukosolewa hata kama wamekosea lakini ni uongozi unaopenda sifa binafsi kuliko utendaji kazi.
Hivi kuna Mtanzania atapanga foleni tena 2020 kuwachagua watu hawa.
Labda vichaa ndio wachague
Wapo mkuu! Hata humu wapo, subiri wanakuja!
Mtaichagua tu
Utafiti unaonyesha wa Tanzania ni vichaa kwa asilimia 40% mnategemea vichaa wafanye maamuzi sahihi?nadhan itabidi Mwl Nyerere afufuke aje kuipigia kura CCM. Otherwise hakuna mtu mwenye akili TIMAMU atakaeipigia kura CCM
Upinzani hawana viongoz itabidi tu tuwape. Maana hawa wezetu wao ni Ukanda tuuuuu kila muda. nani achangue huo upuuzi, kila kukicha humu utasiki sisi wa kanda ........... ndio tumebarkiwa kuwa .........kuliko nyinyi wa ....... watajichagua wenyewe na huo upuuzi Ngosha hatakubali. Ccm mbele kwa mbele mpaka wajue kuwa jamii ya watanzania haitaki ukabila na ukanda wanaoendekeza chama kileeeeeKwa aina ya uongozi tulio nao sasa hivi, uongozi usiojali wananchi wake hata pale wanapopata majanga, uongozi usiowajali watumishi wake, uongozi usiowajali wananchi maskini, uongozi usiowajali wanyonge, uongozi usiowajali watoto wa maskini hadi kuwanyima mikopo, kuzuia ajira.
Uongozi uliojaa ghiliba, chuki, visasi vya kila aina, ni uongozi ambao wao ni bora kununua ndege kuliko kununua madawa mahospitalini, uongozi usiopenda kukosolewa hata kama wamekosea lakini ni uongozi unaopenda sifa binafsi kuliko utendaji kazi.
Hivi kuna Mtanzania atapanga foleni tena 2020 kuwachagua watu hawa.
Siku zote huwa hawachaguliwiKwa aina ya uongozi tulio nao sasa hivi, uongozi usiojali wananchi wake hata pale wanapopata majanga, uongozi usiowajali watumishi wake, uongozi usiowajali wananchi maskini, uongozi usiowajali wanyonge, uongozi usiowajali watoto wa maskini hadi kuwanyima mikopo, kuzuia ajira.
Uongozi uliojaa ghiliba, chuki, visasi vya kila aina, ni uongozi ambao wao ni bora kununua ndege kuliko kununua madawa mahospitalini, uongozi usiopenda kukosolewa hata kama wamekosea lakini ni uongozi unaopenda sifa binafsi kuliko utendaji kazi.
Hivi kuna Mtanzania atapanga foleni tena 2020 kuwachagua watu hawa.
Anza na la dawaMkianzisha nyuzi muanze kutafakari kwanza kabla ya kuandika chochote. Kila nukta utakayoipitia ijadili kwa kina uandike. Hiv unadhani ndege zilinunuliwa ili hali hakuna dawa? Ajira zipi zilizozuiwa watu wasiajiriwe, kiongozi yupi aliefanyiwa kisasi? Mnyonge gani aliefanyiwa dhihaka! Tafakari kwanza usikurupuke kuninukuu halafu nitakuambia kimoja baada ya kingine utaelewa