Hivi 2020 kuna Mtanzania ataichagua CCM?

Hivi 2020 kuna Mtanzania ataichagua CCM?

Sisiem haina mpinzani hapa tz, wengine wote ni wapiga dili wako kibiashara hawana nia ya dhati kabisa, mtu hana mbinu mbadala yaani sera yake kuu ni kupinga, mwingine uyu ndio usiseme leo kajiuzulu kesho karudi yaani ni mchanganyo tu uyu nae kamezwa hana sauti kafanywa mtaji sasa kwanini asishinde 2020

mwenyekiti wa CCM ametupiga dili fedha za rambirambi
 
Ccm tutaichagua tena kwa sana tu tena imeongezewa nguvu mpya juzi tu mtaisoma sasa.
 
Hapa naona ni viroba vimejaa hivi hamuoni tajiri wa ukawa kafilisika ? Toka mfumo wa vyama vingi walisema ccm haita shinda lkn inashinda tena kwa kishindo 020 magufuli hana mpinzani
 
Siasa za Africa ni shida kweli sijui ni lini tutafikia Democrasia ya kweli.

Hatuamianiani hata kidogo kwa yoyote aliyopo madarakani hata alifanya zuri gani there is no appreciation at all.

Amani tuliyokuwa nayo ni kwa mapenzi ya Mungu
 
Mkianzisha nyuzi muanze kutafakari kwanza kabla ya kuandika chochote. Kila nukta utakayoipitia ijadili kwa kina uandike. Hiv unadhani ndege zilinunuliwa ili hali hakuna dawa? Ajira zipi zilizozuiwa watu wasiajiriwe, kiongozi yupi aliefanyiwa kisasi? Mnyonge gani aliefanyiwa dhihaka! Tafakari kwanza usikurupuke kuninukuu halafu nitakuambia kimoja baada ya kingine utaelewa
simple

watu wa bukoba sio wanyonge

muogopeni Mungu
 
Mleta mada akili ni nywele..
Umeuliza swali la kijinga sana maana wenye upeo matokeo yajayo wameshayaona. Never set your feet in the battle field if you don't know how to appreciate your enemy's strength. Kosa lile lile huzaa matokeo yale yale......
 
Only tanzania ndio kuna wananchi wasaulifu...!kwa jema la siku moja tuuh!
 
Mtanzania wa kuipigia kura CCM yupo mkuu
Kwani Magufuli hatajipigia kura sasa au yeye sio mtanzania?[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Sasa hata usipochagua ccm utamchagua nani ?
c983d4558d4019057cb21167a8a849d5.jpg
 
TATIZO SIO CHAMA DOLA, KILISHAOZA KITAMBOOOO, MBADALA WA CCM NDIO HAKUNA, VYAMA VYOTE VYA UPINZANI NI UOZO MBICHI NDIO KWANZA UNATOA WADUDU WAKE WA UBAGUZI WA KIDINI, KIKANDA NA KIKABILA.
HIVYO KUFANYA UOZO ULIOKWISHA KAUKA WA CCM KUWA HALUA NA SHARBATI
 
CCM KUMEOZA LAKINI UPINZANI NDIO KUNATOA FUNZA KABISA.....

HAIKUHITAJI KUWA NA UWEZO MKUBWA SANA WA KUJUA MAMBO KUWEZA KULIJUA HILO.....BALI KWA KUTAZAMA HARAKATI ZAO.....NA AINA YA SIASA ZAO.....
 
Utaichagua wewe. Ila tuache masikhala!!!! Jpm amethubutu kweli kweli.
 
Mkuu mawazo mazuri! ila nataman kufaham ni asilimia ngap ya watz wako hapa jf? ha ha haaa hzo ndoto za alinacha labda itokee Tanzania ianze upyaaa yan watu wote wasepe tz waje wapyaaaa! tofaut na hapo CCM itaendelea zaid ya hapa jwa miaka 50 ijayo!
 
Back
Top Bottom