Hivi 2020 kuna Mtanzania ataichagua CCM?

Hivi 2020 kuna Mtanzania ataichagua CCM?

Hakuna option nyingine tofauti na CCM upinzani unahitaji more than other 20yrs kujipanga ili ujevujsribu tena.
 
Wale walioteuliwa laza maisha yao ni mazuri.
-Makonda na familia yake
-Dc Hapi na familia yake
-ma DED wote wale makada.
Wapo wengi tu
 
Lofa mkubwa

Machinga tunajiachia

Mama ntilie tunajiachia

Mtwara tunapesa hadi tunanywesha soda mbuzi

Ama vipi itoe hiyo mimba ya ufipa uje tuungane
Hongereni mkuu sisi tumesahau hadi radha ya soda! mungu awabarik ila msisahau kuwa kuna kuPanda na kushuka
 
Itategemea na mpinzani wake ni nani
hahhahah eeti mpinzani wake Lowasa ndo ccm isishinde?? wasahau simpi kura Lowasa kabisaa, anayelalamika maki leo na yeye alikuwa waziri wa maji.
 
Hadi sasa mikutano ya wakuu inahudhuriwa kwa wingi na wanachama wakiwa na vazi la kijani pamoja na watoto wa shule
Hii ina maana watu wengi wame choka.
Na
 
Kwa aina ya uongozi tulio nao sasa hivi, uongozi usiojali wananchi wake hata pale wanapopata majanga, uongozi usiowajali watumishi wake, uongozi usiowajali wananchi maskini, uongozi usiowajali wanyonge, uongozi usiowajali watoto wa maskini hadi kuwanyima mikopo, kuzuia ajira.

Uongozi uliojaa ghiliba, chuki, visasi vya kila aina, ni uongozi ambao wao ni bora kununua ndege kuliko kununua madawa mahospitalini, uongozi usiopenda kukosolewa hata kama wamekosea lakini ni uongozi unaopenda sifa binafsi kuliko utendaji kazi.

Hivi kuna Mtanzania atapanga foleni tena 2020 kuwachagua watu hawa.
Labda tu niseme huijui ccm na huwajui watanzania.
 
Cha kushangaza wanaoichagua fisi em ni wale choka mbayaaaaaaaaa! ambao hata mlo mmoja ni sheedah! ama kweli mtaji pekee wa fisi em uliobakia ni wale makapuku wa kutupwa.
 
Kwani ni nani aliekuambia waliichagua ccm. Sema walitumia plan b wakaingia ikulu. Na 2020 watakuwa hawajang'oka meno. We fikiri akina mbowe leo wako wapi. Pamoja n kelele zote leo ziko wapi!
 
mimi nitaipigia ccm iendelee kubaki madarakani ili mzee magu aendelee kutunyoosha hadi akili zetu zitakapokaa vizuli
 
Tatizo la uelewa wa Watanzania wengi wanadhani mpinzani hapaswi kutokea ccm
Zambia Chilumba, Monawasa na Michael Satta walikuwa wanaachama watiifu wa UNIP mpaka walipogundua kuwa wanapaswa kutetea upinzani ndipo walipokuwa wapinzani wa kweli.
Mfano mwingine ni Malawi Bakili Muluzi na Bingu Wathalika alikuwa wanachama waandamizi MCP mpaka walipo amua kutoka hapo hata jirani zetu wakenya Mwai Kibaki na Uhuru Kenyeta ni Moja wa viongozi waandamizi wa KANU lakini leo ni wapinga KANU wakuu.
Kwa hoja kuwa huyu ametoka ccm hafai kuwa mpinzani hazina msingi kabisa hata kidogo labda waniambie Jecha atasimamia tume.
Hawa ni wazalendo kuliko waliobaki ccm.
 
Kwa aina ya uongozi tulio nao sasa hivi, uongozi usiojali wananchi wake hata pale wanapopata majanga, uongozi usiowajali watumishi wake, uongozi usiowajali wananchi maskini, uongozi usiowajali wanyonge, uongozi usiowajali watoto wa maskini hadi kuwanyima mikopo, kuzuia ajira.

Uongozi uliojaa ghiliba, chuki, visasi vya kila aina, ni uongozi ambao wao ni bora kununua ndege kuliko kununua madawa mahospitalini, uongozi usiopenda kukosolewa hata kama wamekosea lakini ni uongozi unaopenda sifa binafsi kuliko utendaji kazi.

Hivi kuna Mtanzania atapanga foleni tena 2020 kuwachagua watu hawa.
Wapo watanzania wengi tu wataokushangaza kwa jinsi watakavyoipigia kura na kuipa ushindi wa kishindo tena kwa vigelegele na shangwe wakisindikizwa na ule wimbo wa maarufu wa Marehemu John Komba.
 
Tume ya uchaguzi ndo huchaguaga. Kwani watz waliichagua ccm 2015? HAPANA.
cc:Jecha & Lubuva
 
Kwa aina ya uongozi tulio nao sasa hivi, uongozi usiojali wananchi wake hata pale wanapopata majanga, uongozi usiowajali watumishi wake, uongozi usiowajali wananchi maskini, uongozi usiowajali wanyonge, uongozi usiowajali watoto wa maskini hadi kuwanyima mikopo, kuzuia ajira.

Uongozi uliojaa ghiliba, chuki, visasi vya kila aina, ni uongozi ambao wao ni bora kununua ndege kuliko kununua madawa mahospitalini, uongozi usiopenda kukosolewa hata kama wamekosea lakini ni uongozi unaopenda sifa binafsi kuliko utendaji kazi.

Hivi kuna Mtanzania atapanga foleni tena 2020 kuwachagua watu hawa.
Usifanye mchezo na tambiko LA Mwenge, linawazuzua Watanzania na kusahau mabaya yote ya CCM .Mwenge ni adui mkubwa wa Mtanzania
 
Back
Top Bottom