Hb wa Ilala
JF-Expert Member
- Sep 23, 2015
- 1,190
- 1,217
..Tupo ndugu tupo
Hao wameshapiga kura nyingi na maboksi yapo kule stoo maarufu ya kijitonyama yatatolewa 2020 yakiwa na asilimia 89 za SizonjeWapo watanzania wengi tu wataokushangaza kwa jinsi watakavyoipigia kura na kuipa ushindi wa kishindo tena kwa vigelegele na shangwe wakisindikizwa na ule wimbo wa maarufu wa Marehemu John Komba.
tena itapata kura nyingi kuliko mwaka 2015Kwa aina ya uongozi tulio nao sasa hivi, uongozi usiojali wananchi wake hata pale wanapopata majanga, uongozi usiowajali watumishi wake, uongozi usiowajali wananchi maskini, uongozi usiowajali wanyonge, uongozi usiowajali watoto wa maskini hadi kuwanyima mikopo, kuzuia ajira.
Uongozi uliojaa ghiliba, chuki, visasi vya kila aina, ni uongozi ambao wao ni bora kununua ndege kuliko kununua madawa mahospitalini, uongozi usiopenda kukosolewa hata kama wamekosea lakini ni uongozi unaopenda sifa binafsi kuliko utendaji kazi.
Hivi kuna Mtanzania atapanga foleni tena 2020 kuwachagua watu hawa.
Hii taarifa sina uhakika kama ni ya kweli. Ila mimi naamini kuna watanzania wengi sana wanapiga kura ama kwa mapenzi yao ya dhati kwa chama au kwa ushawishi mwingine ikiwemo kanga, Kofia, Tshirt na vijisenti vya hapa na pale. Wengine ni bendera fuata upepo tu wanakwenda kunako mwelekeo wa upepo.Hao wameshapiga kura nyingi na maboksi yapo kule stoo maarufu ya kijitonyama yatatolewa 2020 yakiwa na asilimia 89 za Sizonje
aaaah unauliza makofi POST???Kwa aina ya uongozi tulio nao sasa hivi, uongozi usiojali wananchi wake hata pale wanapopata majanga, uongozi usiowajali watumishi wake, uongozi usiowajali wananchi maskini, uongozi usiowajali wanyonge, uongozi usiowajali watoto wa maskini hadi kuwanyima mikopo, kuzuia ajira.