nsanzu
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 4,953
- 5,829
Watu wa Bukoba wamefanyaje?simple
watu wa bukoba sio wanyonge
muogopeni Mungu
Haiti ilikumbwa na tetemeko lini? Hiv unajua mpaka leo kuna watu bado wanaish kwenye mahema?
Watu wa Bukoba wamefanyaje?simple
watu wa bukoba sio wanyonge
muogopeni Mungu
Mkuu, umemgundua mjinga ni nani? Hebu soma tena ulichokiandika.Nitaendelea kuipigia kura CCM hata miaka milioni ijayo,kwa upinzani huu uliojaa wajinga wengi wasiokuwa na kitu cha kukipigania CCM iongoze daima.Mbowe,lowassa,sumaye,kingunge,mgeja nk ni zaidi ya fisi
Hao unaowaita wasiokuwa na akili timamu kuliko hao unaowaita wana akili timamunadhan itabidi Mwl Nyerere afufuke aje kuipigia kura CCM. Otherwise hakuna mtu mwenye akili TIMAMU atakaeipigia kura CCM
Halafu mkuu, haujaweka alama ya kuuliza pale mwisho. Ni kama unahalalisha uharamia wa hawa wala rambirambi.Kwa aina ya uongozi tulio nao sasa hivi, uongozi usiojali wananchi wake hata pale wanapopata majanga, uongozi usiowajali watumishi wake, uongozi usiowajali wananchi maskini, uongozi usiowajali wanyonge, uongozi usiowajali watoto wa maskini hadi kuwanyima mikopo, kuzuia ajira.
Uongozi uliojaa ghiliba, chuki, visasi vya kila aina, ni uongozi ambao wao ni bora kununua ndege kuliko kununua madawa mahospitalini, uongozi usiopenda kukosolewa hata kama wamekosea lakini ni uongozi unaopenda sifa binafsi kuliko utendaji kazi.
Hivi kuna Mtanzania atapanga foleni tena 2020 kuwachagua watu hawa.
Kama lowassa never kwa sababu hana tofauti na ccm wote mafisadi... labda aje mwingine msafi atoke nje ya ccm kwa sasa hivi hakuna ukawa nzima.Itategemea na mpinzani wake ni nani
Magu yuko poa ndiye anayeibadilisha ccm inapata mvuto zaidi. Bila magu ccm wasingepata hii nchi hata kama mgombea angekuwa fisadi papainshu cio ccm, inshu ni anko magu hapo ndpo penye utata.
Umemaliza kila kitu...yaani umefunga mjadalaWala hatuna shida na CCM sisi tunataka rais mwadilifu ambaye sio fisadi. Mfano Magufuli aina yake ndo tunayemtakaa
Mnajifariji tu tume hata itoke marekani wapinzani hawana uwezo na akili za kuchukua nchi hii wapinzani wenyewe nani hebu nitajie mbowe? Fisadi mfukuzwa? Kingunge? Lema? Mnyika? Sumaye? Masha? Mahanga? Lipumba? Au nani anayeweza kuwa Rais wa nchi hii?Tokea uchaguzi wa mwaka 1995, WATANZANIA walianza kutoichagua CCM.
Lakini tume ya uchaguzi Tanzania sio huru.
Kuna namna wanachezesha matokeo, aliyechaguliwa anakuwa siye, na asiyechaguliwa anakuwa ndiye!
Hasa kwenye ngazi ya Urais.
Na zitatoka feb nafasi zimeshatangazwa 70783>>> Subiri Ajira zitoke utasikia sifa zinazomwagika na haya yoooooooooote yatasahaulika >>
Arusha?Hata huku kwetu hawataichagua kabisaaa
Kujipa moyo tu hata tume iweje ccm itaibuka kidedea ccm ni mbovu lkn upinzani ni mbovu zaidiWapo watakaoichagua, lakini kama Tume huru ya Uchaguzi ingekuwapo Maamuzi ya wapiga kura yangeheshimiwa. Lakini kwa hii TUME hata Wananchi mkiamua kwenye Sanduku la KURA Tume itabatilisha. Way Forward ni KUPIGANIA TUME HURU YA UCHAGUZI ili yeyote atakayeshinda kwenye kisanduku cha kura ndio atangazwe! ndio kashinda
Watampigia magufuli tu kwa sab hakuna serikali itayoacha mianya ya matumizi yasio tija tena.Nina wasiwasi sana na Kura za wafanyakazi na familia zao!
Hao wenye uelewa mdogo ndio watawatoa kamasi nyie wenye uelewa mkubwa mkatengeneze nchi yenu ya moyoni muendelee na rais wenu wa mioyo yenu.Kinachofanya waonekane hawana mpinzani ni uelewa na utashi mdogo wa watanzania katika kufanya maamuzi ...
Wakionhozwa na wewe mwenyewe KAJOLIJO.
Kama mgombea wao atakuwa Hashim Rungwe KURA yangu wanapataKwa aina ya uongozi tulio nao sasa hivi, uongozi usiojali wananchi wake hata pale wanapopata majanga, uongozi usiowajali watumishi wake, uongozi usiowajali wananchi maskini, uongozi usiowajali wanyonge, uongozi usiowajali watoto wa maskini hadi kuwanyima mikopo, kuzuia ajira.
Uongozi uliojaa ghiliba, chuki, visasi vya kila aina, ni uongozi ambao wao ni bora kununua ndege kuliko kununua madawa mahospitalini, uongozi usiopenda kukosolewa hata kama wamekosea lakini ni uongozi unaopenda sifa binafsi kuliko utendaji kazi.
Hivi kuna Mtanzania atapanga foleni tena 2020 kuwachagua watu hawa.
Mkuu mimi nasemaga kama kuna serikali ambayo ina bahati sana na inatakiwa kushukuru sana kila uchwao basi serikali hii ya tanzania inayoundwa na ccm inatakiwa iwe ya kwanza kabisa.Kwa aina ya uongozi tulio nao sasa hivi, uongozi usiojali wananchi wake hata pale wanapopata majanga, uongozi usiowajali watumishi wake, uongozi usiowajali wananchi maskini, uongozi usiowajali wanyonge, uongozi usiowajali watoto wa maskini hadi kuwanyima mikopo, kuzuia ajira.
Uongozi uliojaa ghiliba, chuki, visasi vya kila aina, ni uongozi ambao wao ni bora kununua ndege kuliko kununua madawa mahospitalini, uongozi usiopenda kukosolewa hata kama wamekosea lakini ni uongozi unaopenda sifa binafsi kuliko utendaji kazi.
Hivi kuna Mtanzania atapanga foleni tena 2020 kuwachagua watu hawa.
Watu tunafunWewe kama umezoea kula vya kunyonga sasa fahamu kipindi hiki ni kula vya kuchinja tu, watu tubadirike, tufanye kazi kwa bidìi, njia zote za mkato na zisizo za halali tuziache!!!
Sisiem haina mpinzani hapa tz, wengine wote ni wapiga dili wako kibiashara hawana nia ya dhati kabisa, mtu hana mbinu mbadala yaani sera yake kuu ni kupinga, mwingine uyu ndio usiseme leo kajiuzulu kesho karudi yaani ni mchanganyo tu uyu nae kamezwa hana sauti kafanywa mtaji sasa kwanini asishinde 2020
Yaani kurwa za kwenye maroli?kama kura zitapigiwa jf basi watanzania hawatoichagua lakini kama sivyo basi utajionea mwenyewe kwenye sanduku la kura