HIV UANDISHI WA KIFACEBOOK NDO UKOJEE?

HIV UANDISHI WA KIFACEBOOK NDO UKOJEE?

xaxa c ni maamz yao,mcwapangie cha kuandka...
wa2 wa fesibuku nao ni wa2 xawa?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]ndrukiiiiiii
 
Soma thread yako utapata jibu ya ulicho uliza.
Anza na kichwa cha hii thread HIV, NDO.

Bado sielewi ni uvivu wa kuandika, fashion au ujinga tu.
 
si uandishi wa vifupi tu ndio kunasababisha topic iyonekane ya ki- Fb pia dhumuni hasa na yaliyomo kwenye uzi wa mtoa mada nayo ni sababu inayotosha kabisa kuitwa ya Fb.

Wana Jf mara nyingi ( kama sio mara zote) wanapenda nyuzi za kufikirisha na zile ambazo ni very analytical kwa muanzisha uzi na hii ndio tafsiri ya Great Thinker.

Kuna uzi ukisoma heading tu uhitaji kuendelea yaani unakua ushajua kila kitu humo ndani kama movie ya Kibongo,Mwana Jf halisi ataComment tu kuwa huo ni Fb,mifano ipo mingi.

Kwa kuhitimisha JF ni jukwaa hasa kwa ajili ya kuongeza maarifa na kufahamu yale usiyoyajua,ni kama Library! So linapokuja tofauti na hilo tegemea KUAMBIWA WEWE MADA YAKO NI YA FB.
 
Ukiona mtu maneno ktk sentensi anazoweka JamiiForums kuna herufi nyingi za ''X'' ''aa'' ''oo'' ''q'' ''g'' kama sentensi hizi za Kisomali basi ujue ndiyo staili ya kifesibuku '' hooyo oo ugu qaalisan kaabayaasha Kenya ayaa tan iyo markii ay madax. Aadanaha dhammaantiis wuxuu dhashaa isagoo xor ah kana siman xagga sharafta iyo xuquuqada Waxaa Alle (Ilaah) siiyay aqoon iyo wacyi, waana in qof la arkaa qofka kale ula dhaqmaa si walaaltinimo ah. ''
 
Mie kuna rafiki yangu wa kike (girl friend) alikuwa na tabia ya kuandika vifupisho, basi kwa kumkomesha akinitumia meseji simjibu akiniukiza mbona hujanijibu namwambia sijakuelewa hata kama ana shida napiga kimya.
Ila mwisho wa siku nikamwambia we ni mtu mzima acha hizo swaga za vijana, mwisho wa siku alinielewa na kujirekebisha.
 
Jamanib msiombe kitoto cha kike cha sekondari kikutumie text afu kiwe ndio kiko huko facebook aiseeeeee, kweli walimu wanashida mi huwa sijibu maana sielewi hata moja sasa sijui ndio hata kwenye mitihani wanaandika hivyo, na wamekwisha zoea
 
Wewe mwenyewe umesha ainisha tofauti ya jf na fb. Jibu tayari unalo,tutolee u Facebook wako Hapa ni home of great thinkers
 
we ukiona mtu ameandika vifupi vya hovyo hovyo

mfano xule - eti ndio shule
xana- sana.
c*- eti ndio sister....n.k
huu ndio uandishi wa huko fb
[emoji1] [emoji1] [emoji1] nimecheka sana
 
Jamanib msiombe kitoto cha kike cha sekondari kikutumie text afu kiwe ndio kiko huko facebook aiseeeeee, kweli walimu wanashida mi huwa sijibu maana sielewi hata moja sasa sijui ndio hata kwenye mitihani wanaandika hivyo, na wamekwisha zoea
In my head, aiseee hivi vitoto n keroo mm hua na mute kbsaa, baada ya hapo wanajiongeza
 
we ukiona mtu ameandika vifupi vya hovyo hovyo

mfano xule - eti ndio shule
xana- sana.
c*- eti ndio sister....n.k
huu ndio uandishi wa huko fb
Uandishi wa hivi unanikera mno!
 
Mie kuna rafiki yangu wa kike (girl friend) alikuwa na tabia ya kuandika vifupisho, basi kwa kumkomesha akinitumia meseji simjibu akiniukiza mbona hujanijibu namwambia sijakuelewa hata kama ana shida napiga kimya.
Ila mwisho wa siku nikamwambia we ni mtu mzima acha hizo swaga za vijana, mwisho wa siku alinielewa na kujirekebisha.
[emoji12] [emoji12] [emoji12] , Umenifanya Nikumbuke, hio tabia niiliifanya sana ila ikazaa matunda.
 
Hata wewe MWENYEWE habar yako ni ki gossip..

huna uhakika na nini...Facebook huijui...ushaona watu wanapost picha zao hapa.

Nani umenuona amekomment au ku like kwenye picha...


Kwa kifupi ni kwamba Jamii forum imejaa watu wanazidiana IQ...Mathalani IQ yako Na ya kuku 50 50
 
we ukiona mtu ameandika vifupi vya hovyo hovyo

mfano xule - eti ndio shule
xana- sana.
c*- eti ndio sister....n.k
huu ndio uandishi wa huko fb

Ni kweli mnavyosema ila ni moja ya mifumo ya kimaandishi itumiwayo na majasusi na wanajeshi hasa kupeleka ujumbe kwa mtu bila 3rd party kuelewa.
 
Hata wewe MWENYEWE habar yako ni ki gossip..

huna uhakika na nini...Facebook huijui...ushaona watu wanapost picha zao hapa.

Nani umenuona amekomment au ku like kwenye picha...


Kwa kifupi ni kwamba Jamii forum imejaa watu wanazidiana IQ...Mathalani IQ yako Na ya kuku 50 50
Umeshindwa kutafta mbadala wa hilo neno gossip au IQ? mm si nafanana na kuku, wewe si great thinker na una Hio Sijui IQ kubwa, Unaweza kutuambia ki gossip ndo nn kwa kiswahili mkuu.

Unaweza kuniambia n wap nimesema hapa watu wanapost picha hapa jf? Au raha yako unipinge tuu?

Unaruhusiwa matusi na kejeli tena mm sinaga shida mkuu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom