Mkuu punguza sifa basi,dah kila uzi wewe wa kwanzaJF kuna utofauti kwa sababu ni home of great thinkers sio facebook kwa Wauza sura
[emoji1] [emoji1] [emoji1] nimecheka sanawe ukiona mtu ameandika vifupi vya hovyo hovyo
mfano xule - eti ndio shule
xana- sana.
c*- eti ndio sister....n.k
huu ndio uandishi wa huko fb
In my head, aiseee hivi vitoto n keroo mm hua na mute kbsaa, baada ya hapo wanajiongezaJamanib msiombe kitoto cha kike cha sekondari kikutumie text afu kiwe ndio kiko huko facebook aiseeeeee, kweli walimu wanashida mi huwa sijibu maana sielewi hata moja sasa sijui ndio hata kwenye mitihani wanaandika hivyo, na wamekwisha zoea
Uandishi wa hivi unanikera mno!we ukiona mtu ameandika vifupi vya hovyo hovyo
mfano xule - eti ndio shule
xana- sana.
c*- eti ndio sister....n.k
huu ndio uandishi wa huko fb
[emoji12] [emoji12] [emoji12] , Umenifanya Nikumbuke, hio tabia niiliifanya sana ila ikazaa matunda.Mie kuna rafiki yangu wa kike (girl friend) alikuwa na tabia ya kuandika vifupisho, basi kwa kumkomesha akinitumia meseji simjibu akiniukiza mbona hujanijibu namwambia sijakuelewa hata kama ana shida napiga kimya.
Ila mwisho wa siku nikamwambia we ni mtu mzima acha hizo swaga za vijana, mwisho wa siku alinielewa na kujirekebisha.
NOTED. kumbe kweli kuna vitu km hivii, ila blv me kuna wengne wanasema tu bila kujua utofaut
we ukiona mtu ameandika vifupi vya hovyo hovyo
mfano xule - eti ndio shule
xana- sana.
c*- eti ndio sister....n.k
huu ndio uandishi wa huko fb
Umeshindwa kutafta mbadala wa hilo neno gossip au IQ? mm si nafanana na kuku, wewe si great thinker na una Hio Sijui IQ kubwa, Unaweza kutuambia ki gossip ndo nn kwa kiswahili mkuu.Hata wewe MWENYEWE habar yako ni ki gossip..
huna uhakika na nini...Facebook huijui...ushaona watu wanapost picha zao hapa.
Nani umenuona amekomment au ku like kwenye picha...
Kwa kifupi ni kwamba Jamii forum imejaa watu wanazidiana IQ...Mathalani IQ yako Na ya kuku 50 50