ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,758
- 9,592
Ndo tuache kukurupuka, unakutana na mtu jf..Leo Jioni mnavuana tena bila kinga. Nimejifunza mengi..hisia zangu nimea ha nyumbaniI LOVE U HIV+, Mungu akupe Umri, akuzidishie imani.....na akunyooshee maisha yako yawe mepesi
Ila wanaume huwa nawashangaa sana sana...Utakuta mwanaume anakutaka...Huwezi kumueleza uhalisia wa afya yako kwani ni siri yako wewe utakachoamua ni kumkataa Basi yeye atakung'ang'ania na ukizidi kumkataa atakuwekea hasiri/chuki...
Hawatambui wkt mwingine kila likuepukalo lina kheri na wewe..
Wengine hawapendi kuambukiza na wengine wanapenda kuambukiza ukimtongoza tuu imekula kwako..
ndo tuache kukurupuka, unakutana na mtu jf..leo jioni mnavuana tena bila kinga. Nimejifunza mengi..hisia zangu nimea ha nyumbani
duh hizi habari zinaniogopesha sana.
Mwili wanitetemeka
I LOVE U HIV+, Mungu akupe Umri, akuzidishie imani.....na akunyooshee maisha yako yawe mepesi
Ila wanaume huwa nawashangaa sana sana...Utakuta mwanaume anakutaka...Huwezi kumueleza uhalisia wa afya yako kwani ni siri yako wewe utakachoamua ni kumkataa Basi yeye atakung'ang'ania na ukizidi kumkataa atakuwekea hasiri/chuki...
Hawatambui wkt mwingine kila likuepukalo lina kheri na wewe..
Wengine hawapendi kuambukiza na wengine wanapenda kuambukiza ukimtongoza tuu imekula kwako..
Niko serious matumbo.
Na kama kuna mtu alishawahi kuja pm kwa ajili ya kunitongoza na nikaamua kulala nae basi ajue nae amekwisha, maana humu nina Id zaidi ya 18 na karibia zote zilikuwa zinashinda jukwaa la Love connect.
Hivyo huwezi kujua kama nawe uko kwenye mkumbo wa kusubiri kuingia katika chama chetu au laaa!
kwa nn mamii?....
Kwa hiyo shoga yangu huamini kama nimeathirika?
unajua haya mambo ni rahisi kuyaandika lakini ni mahimu sana tena sana kuyaangalia kwa ukaribu wake....
Private hospital gani zinatoa huduma ya wagonjwa wa ukimwi? Kupima na kutoa dawa.
vipini, bikini n.k