Hiv hawa startimes wamekata kwangu tu?

Hiv hawa startimes wamekata kwangu tu?

delako

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2012
Posts
3,058
Reaction score
2,160
Wanajamvi habari ya j2.Naomba mnisaidie kwan toka jana mke wangu kaniambia tv haionyeshi kitu ni sauti pekee!Sasa leo naona tatizo liko palepale na nikafikir labda ni tv yangu tu?Nimejaribu na tv nyingine hapa kwangu still nasikia sauti tu,Je ni tatizo lao au ni mimi pekee?NAOMBA MNIJUZE
mpaka sasa bado sijafanikiwa na sielew tatizo liko wapi!!naomba msaada
 
Vp mawasiliano na wahusika ,umeyafanya?
 
Ni vizuri ukawasiliana na wahusika maana mi naona kwangu iko poa!
 
Mimi hizo channel za ziada zenye startv yaani muvi tv, colors,cnn, emmanuel tv, nk. zinainyesha ila zina kisanduku katikati sijui nikitoe vipi? Hakitoki hata ukibonyeza exit. Msaada wakuu.
 
Mimi hizo channel za ziada zenye startv yaani muvi tv, colors,cnn, emmanuel tv, nk. zinainyesha ila zina kisanduku katikati sijui nikitoe vipi? Hakitoki hata ukibonyeza exit. Msaada wakuu.

He wewe una bahati kwelikweli, bonyeza subtitle kitaondoka.
 
Bado sijafanya mawasiliano na nimekwenda kwa jiran hiko pouwa!sijui nn tatizo
 
~Ha ka twi mutu hapa sasa ni bukheee piga simu startime uongee na sheriii oho sherii
~umejaribu kutafuta waya mwingne? Labda cable ya picha ile ya njano umekatika kwa ndani.

====================
Ukipata Ujumbe wa Chuki Matusi Futa Delete Kabisa.
====================
 
he. Kumbe bado mnatumia Startimes hadi leo. Hameni huko, hamieni Easy tv au kwa Munjy1 Azsky
 
he. Kumbe bado mnatumia Startimes hadi leo. Hameni huko, hamieni Easy tv au kwa Munjy1 Azsky
 
jana usiku star time s nahisi waliiijisahau maana hizi zabure zilkata lakini za kulipia zoteeee star gold animmauz fox aljazeera zikawa zinaonyeshaa
 
Mimi hizo channel za ziada
zenye startv yaani muvi tv, colors,cnn, emmanuel tv, nk. zinainyesha ila
zina kisanduku katikati sijui nikitoe vipi? Hakitoki hata ukibonyeza
exit. Msaada wakuu.

mkuu,hiyo michaneli ya ziada umeipataje,naitaka kweli,hasa hyo muvi tv,msaada tafwadhali
 
Tanga hakuna itv, star tv, wala ch5 kwenyr king'amuzi chao. Yaani nchi hii bana sheria za serikali zinakiukwa halafu hao wanaamua kukaa kimya.
 
Tanga hakuna itv, star tv, wala ch5 kwenyr king'amuzi chao. Yaani nchi hii bana sheria za serikali zinakiukwa halafu hao wanaamua kukaa kimya.

Pole ndugu yangu hata hapa Moro tuna wiki sasa ITV,EATV hazipatikani nimefika office zao wamesema wanashughulikia

hiyo STAR TV tangu mda sana,tusubiri tech nayo huja na changamoto lazima tukubali
 
startimes ni janga kama zilivyo poda tu,mi kina scratch mpaka natamani nikipasue tu,nasubiri nione azam tv
 
Back
Top Bottom