Hiv hawa startimes wamekata kwangu tu?

Hiv hawa startimes wamekata kwangu tu?

Nimewasiliana na customer care toka monday wananiambia fund atakuja ndan ya 24 hrs,jana hakuna cha fund wala nn!nikawapigia wakasema tayar fomu yangu ameshapewa fund so nisubir mpaka sasa hakuna jipya!Leo nimeulizia customer care amenipa namba ambayo haipatkan,nimepga tena customer care nimepewa namba nyingne napiga jamaa kaniambia anakaz mahali so km atawahi atanijulisha..!NIKIKAA HOM HAKUNA CHA TAARIFA YA HABAR WALA NINI.
 
Back
Top Bottom