Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 21,841
- 38,737
Huu Wimbo NKOSI SIKELEL/GOD BLESS AFRICA/MUNGU IBARIKI AFRICA umetungwa na Jamaa mmoja kutoka South Afrika anaitwa Enoch Santonga,aliutunga Mwaka 1897.
Ulianza kutumika hapa Tanganyika pale tuu Tanganyka ilipopata Uhuru Mwaka 1961,sasa shangaa Wimbo wa Tanganyika ukaamishwa kwenda Tanzania kuwa Wimbo wa Taifa.
Pia wimbo huu unatumika na Zambia kama wimbo wao wa Taifa kuanzia Mwaka 1964 hadi leo hii, na pia South Africa wenyewe wanautumia kama Wimbo wao wa Taifa tangu pale 1994 ubaguzi wa rangi ulipoisha mpaka leo wakiuita NKOSI SIKELEL