Historia ya Sarafu Yetu Tanzania


Kichuguu

Kichuguu

Platinum Member
Joined
Oct 11, 2006
Messages
7,438
Likes
1,326
Points
280
Kichuguu

Kichuguu

Platinum Member
Joined Oct 11, 2006
7,438 1,326 280
Mwl. Prof Kichuguu,

Nashukuru sana kwa hiyo elimu.............nimeprint hiyo story na kuwapa wanangu wamefurahia sana

Once again thanks
Mzee Ogah, umerudi kusoma hii kitu tena leo baada ya miaka mitano tungu tuiongelee? Nimepata notification na kuisoma nikakuta ni Mzee Ogah bado anatoa kudos tena: asante sana.

Wakati ule nilifanya research ya kina sana kuhusu tofauti ya pesa zetu (Kenya Uganda na Tanzania) ndipo nikaibua stori hii ndefu sana.

Nashukuru kama imekuwa na impact ya muda mrefu kwa watu wengi kwa muda mrefu kwa sababu nakumbuka tulimaliza kuijadili mwaka 2007, na kuanzia hapo nimekuwa napata messages za wanachama wapya mara kwa mara kila wanapoisoma. Ni miaka mitano imepita tangu niiandike; nilianza research hii kipindi ambacho Saddam Hussein alipokuwa ananyongwa.

Nakumbuka sana wakati huo kwa sababu niliacha project hii kwa muda kama wa mwezi mmoja hivi ku-reflect thamani ya uhai kutokana na video ya sadama alipokuwa anwekwa kitanzi na baadaye kuonekana akiwa kwenye sanda. Baada ya kuwa nimekusanya data za kutosha, sikuweza kupata muda wa kuziweka zote sawasawa mpaka wakati wa summer kwa vile nilikuwa na picha nyingi sana ambazo zilihitaji kupangwa kulingana na timeline ya stori yenyewe.

Hata hivyo summer ilipofika nikajikuta nalazimika kuzunguka barabarani na familia kwa takribani miezi miwili hadi mwishoni mwa July tuliporudi nyumbani ndipo nikaanza kuiweka sawasawa kwa makini (subject to typing errors).

Again, nafurahi kuwa kuna watu wengi wameiona ni both entertaining and educative!
 
zumbemkuu

zumbemkuu

JF Bronze Member
Joined
Sep 11, 2010
Messages
9,390
Likes
1,198
Points
280
zumbemkuu

zumbemkuu

JF Bronze Member
Joined Sep 11, 2010
9,390 1,198 280
Elli MANI mwitamaranya
 
Last edited by a moderator:
A

Abunuas

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2011
Messages
8,728
Likes
427
Points
180
A

Abunuas

JF-Expert Member
Joined Apr 8, 2011
8,728 427 180
Hapana, sarafu ndogo kabisa kutolewa na Benki Kuu ya Tanzania ilikuwa ya senti tano. Website ya benki kuu haina record nzuri ya kuonyesha historia ya sarafu yetu.

Nimeshindwa kupata baadhi ya sarafu kadhaa za kumbukumbu mbalimbali zilizotolewa nyakati za Nyerere na Mwinyi kwa mfano kumbukumbu ya mwaka wa mtoto wakati wa Nyerere, kumbukumbu ya kufunguliwa kwa jengo jipya benki kuu wakati huo n.k.

Nimeshakamilisha historia ya noti zetu; nitaipost baadaye nikipata muda wa kutosha, kwa hiyo wale wote wanaofurahia historia ya mambo ya nchi yetu kama mimi kaeni mkao wa kula tu.
Many thanks kichuguu for this.
 
Viol

Viol

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2009
Messages
19,943
Likes
2,457
Points
280
Viol

Viol

JF-Expert Member
Joined Dec 15, 2009
19,943 2,457 280
Kichuguu!


Mkuu ina maana kabla ya uhuru nchi za Africa mashariki zilikuwa zinatumia sarafu au hela ya aina moja?je kabla ya uhuru kila nchi haikuwa na hela yake,maana kwenye hizo sarafu naona kuna 1952 halafu imeandikwa East Africa Sh.
 
Last edited by a moderator:
Kichuguu

Kichuguu

Platinum Member
Joined
Oct 11, 2006
Messages
7,438
Likes
1,326
Points
280
Kichuguu

Kichuguu

Platinum Member
Joined Oct 11, 2006
7,438 1,326 280
Ndugu Ousofia, Kuanzia mwaka 1920 nchi za Afrika ya mashariki zilikuwa zinatumia sarafu moja; sarafu ya kwanza ilikuwa ni East African Florin, ambayo ilikuwa replaced na East African Shilling baada ya muda mfupi usiozidi miezi sita. Nchi hizo zilitengana mwaka 1966 ambapo kila nchi ikawa na sarafu yake ingwa zote zileiendelea kutumia Shillingi; yaani kukawa na shilingi ya Kenya, shillingi ya Uganda na Shillingi ya Tanzania.
 
Last edited by a moderator:
zomba

zomba

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2007
Messages
17,081
Likes
73
Points
0
zomba

zomba

JF-Expert Member
Joined Nov 27, 2007
17,081 73 0
Baada ya vita ya dunia mwaka 1919, Bara na Zanzibar pamoja na Kenya na Uganda zilikuwa chini ya himaya ya mwingereza ingawa kwa mikataba tofauti. Kuanzia hapo nchi hizo zilianza kutumia sarafu moja. Katika kipindi kifupi kuanzia mishoni mwaka 1919 hadi kati kati ya mwaka 1920, bara walitumia rupie za kijerumani pamoja na rupie za kiingereza zilizokuwa zikitumika nchini Kenya, Uganda na Zanzibar. Baada ya hapo, sarafu mpya ya Florin ya Afrika Mashariki iliingizwa kwenye mzunguko badala ya rupie na rupee. Kwa bahati mbaya sarafu hii ya Florin haikudumu muda mrefu na mwanzoni mwa mwaka 1921 ikabadilishwa na Shillingi ya Afrika ya Mashariki. Kwa hali hiyo kuna sarafu chache sana za Florin zilizotolewa katika kipindi hicho na sikufanikiwa kupata picha yake. Sarafu ya Shilingi ya Afrika Mashahariki ni kati ya sarafu imara sana zilizokaa kwenye mzunguko kwa muda mrefu bila kufanyiwa mabadiliko yoyote. Ilitolewa katika vipande vya senti 1, senti 5, senti 10, senti 50(nusu shillingi) na shilingi 1. Upande mmoka wa sarafu hizo ulionyesha jina la mtawala wa himaya ya uingereza, na upande wa pili ama ulikuwa na ama pembe za tembo au picha ya simba dume. Pembe za tembo zilikuwa kwenye sarafu za senti 1, senti 5 na senti 10 wakati simba dume alikuwa kwenye sarafu za senti hamsini na shilingi moja kama ifuatavyo

Nyuma ya sarafu
Upande ulioonyesha mtawala wa uingereza ulifanyiwa mabadiliko ya mara kwa mara kulingana na mabadiliko ya kiutawala. Kuanzia mwaka 1921 mpaka mwanzoni mwa mwaka 1936 wakati wa utawala wa Mfalme George wa tano sarafu zilikuwa na sura ifuatayo.Baada ya kifo cha Mfame George wa tano na utawala kuchukuliwa na Mfalme Edward wa nane, ni sarafu moja tu iliyobadilishwa kwa vile mfalme huyu alivuliwa madaraka baada ya muda mfupi tu kutokana na uamuzi wake wa kuoa mwanamke aliyekuwa ameachika Marekani. Sarafu iliyobadilika wakati huo ilikuwa ya senti tano tu, ambayo ilionekana kama ifuatavyo

senti 5

Mfalme George wa sita aliyekuwa mdogo wa mfalme Edward wa nane alichukua madaraka mwishoni mwa mwaka huo huo wa 1936. Sarafu zilizotengezwa wakati wa utawala wake zilikuwa na sura za aina mbili. Sura ya kwanza ilionyesha mfalme kama GEORGIVS VI. Sarafu za aina hii zilitolewa kati ya mwaka 1937 hadi mwaka 1946; zilikuwa na sura ifuatayo.
Sarafu za aina ya pili cghini ya Mfalme george wa sita silikuwa na maneno ya GEORGIVS SEXTVS REX. Hizi zilitolewa kati ya

mwaka 1949 hadi mwaka 1952 alipofariki. sarafu hizo zilionekana kama ifuatavyo.Baada ya mfalme George wa sita kufariki, alirithiwa na binti yake Malkia Elizabeth wa pili mwaka 1952. Chini ya malkia huyu sarafu ziliokena kama ifuatavyo.Sarafu hizi zilendelea kutumika hata baada ya kupata uhuru wetu. Kwa mafano sarafu zilizotolewa mwaka 1963 (baada ya uhuru)
zilionekana ifutavyo.


Ilipofika mwaka 1964, kukafanyika mabadiliko kidogo katika sura ya sarafu yetu kwa kuondoa maneno yanayoonyesha mtawala wa himaya ya kiingereza. Sarafu za senti tano na senti kumi zilizotolewa mwaka 1964 zilikuwa zinaonekana kama ifuatavyo.Hata hivyo sarafu ya pamoja ya Afrika Mashariki ilifikia kikomo chake mwaka 1966 wakati Bodi ya Sarafu ya Afrika Mashariki ilipovunjwa na kuundwa kwa benki kuu za Tanzania, Kenya na Uganda. Sijaelewa sababu ya kuvunjika kwa bodi hiyo ya sarafu, bado ninafanya utafiti. Nikizpta nitawagawieni.

..........................Inaendelea
Hizi nimewahi kuzitumia. Kabla Nyerere hajaleta visungura na visamaki vyake.
 
M

Mp Kalix2

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2010
Messages
5,828
Likes
1,697
Points
280
M

Mp Kalix2

JF-Expert Member
Joined Oct 4, 2010
5,828 1,697 280
Umaskini kuondoka lazima tuanzie huku mara Lowassa awapo Magogoni.

Ili kurudisha heshima ya Pesa yetu Shillingi kuna haja hili kuwa halisi na tuache uchumi wa kwenye makaratasi!

The current coins in circulation are as follows: =/05, =/10, =/20, =/50, 1/=, 5/=, 10/=, 20/=, 50/=, 100/= and 200/=.

[h=3][/h]
Profesa Ndulu kuelekea 25/10/2015 kuna haja vijana wako kubadilika maana Mabadiliko haya epukiki.

[h=2]Banknotes and Coins[/h] [h=3]Banknotes Series[/h] The Bank of Tanzania introduced a new series of banknotes in January 2011. The Banknotes series are in the denominations of Shillings 500, 1000, 2000, 5000 and 10000.
The previous series of banknotes issued in 2003 continues to circulate in parallel with the new issue. These will be withdrawn from circulation gradually until a date when they will be declared demonetized.


[TABLE="align: center"]
[TR]
[TD="width: 660, bgcolor: #EEEEEE, align: center"]New Banknotes (February 2003)[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 660, bgcolor: #EEEEEE, align: center"] Security Features brochure: Page 1 Page 2[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 660, bgcolor: #EEEEEE, align: center"]500 Shilling banknote and its security features[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 660, bgcolor: #EEEEEE, align: center"]1000 Shilling banknote and its security features[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 660, bgcolor: #EEEEEE, align: center"]2000 Shilling banknote and its security features[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 660, bgcolor: #EEEEEE, align: center"]5000 Shilling banknote and its security features[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 660, bgcolor: #EEEEEE, align: center"]10000 Shilling banknote and its security features[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[h=3]Currently Circulating Coins[/h] The current coins in circulation are as follows: =/05, =/10, =/20, =/50, 1/=, 5/=, 10/=, 20/=, 50/=, 100/= and 200/=.

[h=3][/h]
CC Ben Saanane.
 
Last edited by a moderator:
M

Mr. Teacher

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2011
Messages
330
Likes
48
Points
45
M

Mr. Teacher

JF-Expert Member
Joined Jan 15, 2011
330 48 45
Hili somo adhimu linaumbusha mbali na kuibua vitu ambavyo wengine hatukuvijua
 
lolypop

lolypop

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2015
Messages
1,323
Likes
759
Points
280
lolypop

lolypop

JF-Expert Member
Joined Jul 29, 2015
1,323 759 280
shukrani na nitaanza kuhifadh baadh ya sarafu za sasa kwa ajili ya kumbukmbu ya wanangu na vijukuu na vitukuu
 
White party

White party

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2015
Messages
594
Likes
454
Points
80
White party

White party

JF-Expert Member
Joined May 5, 2015
594 454 80
Tunakushukuru pia uliepandsha uzi huu leo, tusingeyajua haya
 
Adharusi

Adharusi

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2012
Messages
12,776
Likes
4,358
Points
280
Adharusi

Adharusi

JF-Expert Member
Joined Jan 22, 2012
12,776 4,358 280
Ahsante Kichuguu kwa shule.. Ila nakumbuka sijui ni shule ya msingi au sekondari tulisoma Mji wa kwanza kutengeneza Fedha yake yenyewe ni kilwa. Ila nimeshangaa sijaona popote pale Zanzibar ikitajwa.. Nahitaji ufafanuzi
 
stroke

stroke

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2012
Messages
16,555
Likes
9,603
Points
280
stroke

stroke

JF-Expert Member
Joined Feb 17, 2012
16,555 9,603 280
A very useful thread! Mimi nimehifadhi shilingi tano ya Afrika mashariki, ya mwaka 1958: I hope itakua useful huko mbeleni!
 
M

mnangulu

New Member
Joined
Mar 28, 2017
Messages
4
Likes
3
Points
5
M

mnangulu

New Member
Joined Mar 28, 2017
4 3 5
Asante sana mzee kwa elimu hii, umenifungua macho sana kuhusu historia ya shilingi yetu
 
L

ligavan

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2017
Messages
267
Likes
544
Points
180
L

ligavan

JF-Expert Member
Joined Mar 25, 2017
267 544 180
Mkuu, Asante sana. Ama kwa hakika hili ni shamba darasa, cha kufanya naomba u-update huu uzi, ni miaka 11 sasa.
 
K

Kasongo

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2007
Messages
2,312
Likes
1,583
Points
280
K

Kasongo

JF-Expert Member
Joined Jul 29, 2007
2,312 1,583 280
Dah uzi murua wa kumbukumbu.Hiyo senti hamsini ya kasungura tukiwa wadogo tuliitumia kununua pipi za vidonge kwenye duka la mzee mmoja kijijini kwetu
 
Mhandisi Mzalendo

Mhandisi Mzalendo

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2010
Messages
3,705
Likes
3,008
Points
280
Mhandisi Mzalendo

Mhandisi Mzalendo

JF-Expert Member
Joined Aug 23, 2010
3,705 3,008 280
I will print this...

Ni kumbukumbu adimu
 

Forum statistics

Threads 1,250,081
Members 481,224
Posts 29,720,333