Historia ya Noti na Sarafu za Tanzania

zz10.jpg
 
Jasusi,

Wewe ndiye tunayeweza kucheza ngoma moja.
Mkuu, tupo japo si kwa kumbukumbu kubwa sana. Mathalani Mia ya mmasai nakumbuka nilikuwa nikitumwa dukani(nilikuwa mdogo) lazima ufungiwe fundo kwenye shati ili usipoteze.
Asante kwa kumbukumbu
 
Nakumbuka mwaka 90 nlikuwa napewa sh 100 ya kutumia shule wiki mzima j3 mpk ijumaa
 
Hizi pesa zotenilishazitumua isipokuwa hiyo ya mmasai akichunga. Kumne na mimi nimekulamo kachumvi...
 
Nimetumia karibia note zote hapo juu kasoro zile za ukoloni. kuanzia cent 5, shiiling 1, shilling 5, shilling 10, 20, 50, 100, 500 na kuendelea...Shukrani kwa Mwenyezi Mungu kwa kuendelea kuniweka hai...
 
Safi sana, hii ni hazina..

Halafu kuna mamtu yanataka kufungia JF nzima kwa sababu ya Jukwaa moja tu.
 
Back
Top Bottom