Historia ya neno Msela na Baharia

Kama kawaida ya mabaharia, ila huyu kaamua kuweka wazi.

Jamaa anakili kutembea na wanawake 1000 ndani ya miezi sita tu, halafu kwa kukutana na wanawake wanne kwa wakati mmoja.

Uwenyekiti wa chama anastahili yeye, hata bila kampeni mchagueni tu kwakweli
 
Attachments

  • 68775518_1268660919980942_8697372061276539030_n.mp4
    1.9 MB
Kama kawaida ya mabaharia, ila huyu kaamua kuweka wazi.

Jamaa anakili kutembea na wanawake 1000 ndani ya miezi sita tu, halafu kwa kukutana na wanawake wanne kwa wakati mmoja.

Uwenyekiti wa chama anastahili yeye, hata bila kampeni mchagueni tu kwakweli
Watu weusi wanazani ngono ni sifa nzuri
 
Kama kawaida ya mabaharia, ila huyu kaamua kuweka wazi.

Jamaa anakili kutembea na wanawake 1000 ndani ya miezi sita tu, halafu kwa kukutana na wanawake wanne kwa wakati mmoja.

Uwenyekiti wa chama anastahili yeye, hata bila kampeni mchagueni tu kwakweli
Mwongo sana 6 women per day for six month, 1000/(6*30)=5. 6=6
 
Katoto haka KAONGO kwanza hakajui kanachokisema
wanawake wa4 kwa siku mara siku 30 mara miezi 6 ni 720
4x30 = 120 x 6 720 ubavu huo hakana landa anaongea nao tu lakini upande na kuxxxjoa
 
Marufuku Baharia kupika chapati za kumimina
Marufuku Baharia kupika Chapati za Kusukuma
Marufuku Baharia kupika wali nazi
Marufuku Baharia kukuna nazi

Ongeza marufuku nyingine kwa mabaharia

Cc
Beira Boy
General Mangi
Cardiovascular
@Deepond
Megapixel
Marufuku baharia kusugua gaga
Marufuku baharia kusugua sufuria na stili waya
Ni marufuku baharia kupiga mswaki kama hana uhakika wakula kinywa
 
10 Reactions
Reply
Back
Top Bottom