Historia ya neno Msela na Baharia

Historia ya neno Msela na Baharia

Yote kwa yote, historia ya MSELA nimeipenda.
Kwahiyo kule kurudi mtaani na wakawa wanatembea kwa kudunda dunda tulijua ni swaga kumbe ni ulemavu!
 
Mpaka Vijana Jazz waliimba wimibo kuhusu baharia. Unaitwa Amba. Maisha ya Amba na safari za dunia Amba! Maneno mengine nimesahau. Amba Kawa baharia Amba kajenga na nyumba kwao! Wakati ule vijana waliweka maskani beach wakijifua namna ya kuzamia meli. Mitemba kama P&O, messina ilibeba wazamiaji wengi, wajanja walitoka wengine waliishia kutoswa baharini.
 
Mabaharia kama tulivoelewana kwenye kikao cha mwisho.
Screenshot_20190909-084544.jpeg
 
Tutafute pesa watoto wetu wasije kujiita mabaharia.
 
Sijui huwa wanatoa wapi haya maneno, najikuta nacheka tu

Mie mzima kabisa, hopeful uko salama pia
Mzima weye Mtende? Za masiku? Upuuzi huo mie sinao. Juzi juzi hapa kulikuwa na msemo mwingine wa kipumbavu kuhusu umama. Sasa hivi umejifia kifo cha mende na huu upuuzi mwingine nao utajifia tu.
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Namshukuru Mwenyezi Mungu niko pia kabisa. Wasalimie sana wote uwapendao waambie BAK anawasalimia. Najua uko busy lakini jitahidi usipotee sana ❤️❤️❤️

Sijui huwa wanatoa wapi haya maneno, najikuta nacheka tu

Mie mzima kabisa, hopeful uko salama pia
 
Zimefika, salamu kwako pia na uwapendao bila kuwasahau mabeberu wote waliokuzunguka[emoji3]
Namshukuru Mwenyezi Mungu niko pia kabisa. Wasalimie sana wote uwapendao waambie BAK anawasalimia. Najua uko busy lakini jitahidi usipotee sana [emoji3590][emoji3590][emoji3590]
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Back
Top Bottom