Historia ya neno Msela na Baharia

Historia ya neno Msela na Baharia

Kuuliza sio ujinga.. Nasikia neno baharia likitumika sana siku hizi kwa wanaume.

Nilitaka nijue huyo baharia ana sifa gani mpaka kuitwa baharia?
Ukiachana na mfanyakazi wa meli, neno Baharia lina maana pana kwa mwanaume.

1. Kimaisha humaanisha mpambanaji , mtafutaji wa maisha mazuri kwenye mazingira yeyote.

2. Kimapenzi / kwenye mahusiano ni mwanaume rijali asiyekwamishwa na jambo lolote gumu. Asiyeogopa ke yeyote kwenye harakati za mapenzi. Na mchapakazi kweli!

Subiri wengine
 
Ukiachana na mfanyakazi wa meli, neno Baharia lina maana pana kwa mwanaume.

1. Kimaisha humaanisha mpambanaji , mtafutaji wa maisha mazuri kwenye mazingira yeyote.

2. Kimapenzi / kwenye mahusiano ni mwanaume rijali asiyekwamishwa na jambo lolote gumu. Asiyeogopa ke yeyote kwenye harakati za mapenzi. Na mchapakazi kweli!

Subiri wengine
Baharia mwenyewe katoa jibu mubashara hapa.[emoji23]
 
Ndio kwa mujibu wa katiba yao wenyewe ya mwaka 2019 iliyotoka mda si mrefu wanasema
1.hali ugali na mboga bali na kaugali kadogo.
2.hashiriki Mr Tanzania
3.hajui kabisa kama ndege imekamatwa.
4.hatumi ya kutolea hata kwa ngumi
5.ana smartphone ila hajui ni ya aina gani sema anamjua aliyemuuzia.
 
Pia Mwenyekiti alisisitiza swala la kupiga Simu ukiwa umbali kidogo wakati wa kumpokea ili kutathmini vigezo kwanza, Kama havikizi sote tunajua Cha kufanya.
Hii ni kwa wale tunaokwapua mitandaoni..
Kwa kuzingatia hili alihimiza matumiz mazuri ya earpods ata kama za kichina ukiwa maili kama 10 kutoka kwenye eneo la makutano
 
Ndio kwa mujibu wa katiba yao wenyewe ya mwaka 2019 iliyotoka mda si mrefu wanasema
1.hali ugali na mboga bali na kaugali kadogo.
2.hashiriki Mr Tanzania
3.hajui kabisa kama ndege imekamatwa.
4.hatumi ya kutolea hata kwa ngumi
5.ana smartphone ila hajui ni ya aina gani sema anamjua aliyemuuzia.
Hahahaha
 
Nina kadi ya jumuiya ya mabaharia, huwa nazama na kutoka kila chimbo linalovutia mboni zangu.

Lakini katika harakati zangu hizo, nimekuwa nakutana na changa au mbivu, zenye usumbufu na za achia iingie.

Miaka miwili nyuma, nlikutana na kibinti cha kiafrika haswaa, hajui makeup wala madoido ya kichina.

Rangi adhimu kupatikana kizazi cha sasa, tabasamu murua likafanikiwa kunidondosha udenda kama teja wa kasuku manga.
Baharia nikazama ndichi acheche, kupata mwali wa gariba.

Mtoto hakuwa mbishi, alikubali kiulaini tu.

Mazoea yake kwangu, siku kadhaa nikamwita machinjioni, akafika bila kukosea muda, amejipara kama kasuku wa ikulu ndogo, nikaingiza kibra, lakini alinizuia kutumia upanga wangu kwake.

Niligafirika, mana siku nzima nilikuwa napiga tarumbeta za mawazo juu yake, sasa atanizuia vipi kuchomeka waya?.

Akanipa udhuru hajajiandaa, anaumwa ugonjwa wa wanawake, lakini pia alinambia ni mapema mno kumtongoa viwalo vya kariakoo.

Baharia nikaona isiwe kesi, hakuwa amekula pesa yangu, hata nauli alijitegemea, nikamwacha aende, sikutaka kula kibudu baharia mzoefu mimi,nikiamini ni windo langu haraka ya nini?

Maisha yalizidi kusonga mbele kama treni la mwakyembe, binti niligundua anamsongo mkubwa wa mawazo, nilipomdadisi alikuja kwangu jioni.

Muda huo alinipa historia ya maisha yake, ilikuwa ya kuogofya sana.
Anasema aliolewa akiwa na miaka 16, ni baada ya kupata mimba akiwa shule, alishawishika kuolewa na aliempa mimba,yule bwana alikuw ofisa wa jeshi na alitumia pesa yake kumaliza sokomoko la kumpa ujauzito mwanafunzi wa JK.

Alianza maisha ya ndoa akiwa na mtoto mwenzie wa kumzaa, lakini alianza kupata joto la jiwe, mume alikuwa na wivu nyegere akasome.

Mwisho wao haukuwa mzuri, alinusurika kuuwawa, alinivulia nguo yake na kunionesha makovu kadhaa tumboni na kifuani, yalikuwa makovu ya kisu, kisa cha yote ni simu ya kukosewa namba.

Alirudi kwao na kuamua kuendelea na maisha yake.

Wakati nakutana nae alikuwa anatoka shule, nilipomuuliza ada analipa nani, alinambia ni Mama yake anamsaidia kulipia chuo.

Simulizi yake ikaniondoa kwenye ubaharia, na nilianza kumweka sawa kiakili, atuzoee wanaume wapya, asitulaani wala kutuchukia.

Nilifanikiwa kiasi chake, nikamsaidia matumizi kidogo kidogo, kisha nikarudi tena kuomba mchezo wa kikubwa.

Akapiga chini kibabe, hataki nimharakishe, nami nikapiga hesabu zangu ni miezi kadhaa imepita, nikaona huyu anacheza na ubongo wangu, nitamfanya achukie wanaume maisha yake yote mavi yake.

Nikakaa kimya, huku nikagundua anasponsa anamlipia ada, ila matumizi madogo ananistua.

Nikaona isiwe tabu, nikawa nampa,huku nikimkumbushia kunitunku uchi wake, akikataa nakausha. Nikapunguza mawasiliano nae, lakini akiwa na shida anacheki nami sisiti kumpa japo si kile alichoomba.

Wazo nae nikatoa, ukapita mwaka bila kuonana, ukafuata wa pili bila kuonana, ila akitaka kitu ananicheki, akitaka ushauri juu ya jambo fulani ananicheki.

Juzi alinitafuta na kuniomba nionane nae kama nipo maeneo ya geto kwangu, mana anajua huwa nasafir sana.

Nikamwambia nipo, akajikoki na kuileta niichape fimbo isioumiza.

Alitaka kunishangaza(Ile ya kizungu).

Sikuwa na habar ya mipango yake, alifika na kujitawala ndani,alipika akaoga, kisha alianza kuvua nguo mbele yangu, nikaona isiwe tabu, nikamuuliza
"Kuna lolote jipya?"

Akanijibu ya kuwa anatka kunipa kile alichoninyima miaka miwili.

Nikamuuliza "Ni bikra unanitunuku?"

Akanijibu hapana.

Nikamuuliza "Leo na huko nyuma nimebadilika?"

Akanijibu "Hakujua mimi ni mtu wa aina gani, alinichukulia lalapoo dakika mbili mbele,alitaka muda zaidi, hakutaka kuingia mkenge tena"


Nikamuuliza sponsa wake

Akanijibu waliachana kwa miaezi kadhaa, baada ya mkewe kumsumbua kila mara.

Nikamuuliza "Unahisi sina demu mwingine muda wote huo? Na kwangu anapunguza machungu ya sponsa au anataka nini?"

Hakunijibu..

Nikamuuliza "Wewe si ni singo maza?"

Akaitikia....yes.

Nikamwambia licha ya kuvua nguo zake, na udogo wake kiumri ukiachana na kuzaa kwake, uzuri wake, lakini hatofautiani na Amina, Asha, Neema.....

Nilimwambia avae aondoke, atafute mtu sahihi wa kuwa nae sio mimi tena, atafute sponsa mwingine, mabaharia hatawezana nao.

Aende zake tu, sihitaji hata kuchomeka kidole.

Kusaidia nilimsaidia kama nisaidiavyo wengine...

Sikutaka nipunguziwe machungu yake ya kutoswa na sponsa wake,siku akirudiana nae anakukimbia kwa nyodo....

Aende tu,...

Ngoja niendelee kuvua wengine wabichi kabisa bado wanahema, hawana mikwara mbuzi ya kutest mitambo.

Kajiliza weee, kavaa nguo kaondoka zake....

Saivi anapiga simu hovyo, eti kinachomuuma nimemchungulia bila kumuonja....
Anahisi ni dharau ya sayar ya viumbe wa baridi....

Sinema bado inaendelea,sijui itaishaje........
 
Back
Top Bottom