Historia ya neno Msela na Baharia

Historia ya neno Msela na Baharia

Alishindwa kukimbia enzi ya sodoma tena kipindi ambacho dhambi ipo katika kilele cha ubora wake ndio aje akimbie leo kwa wanaoiga vya zamani na bado hawajavifikia na hawatoweza kufikia......
[emoji2817][emoji2817][emoji2817][emoji2817][emoji2817][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]
 
Dah.....[emoji2960]
IMG-20190907-WA0003.jpeg
 
Mabaharia mpoo?
Tuone kwanza Kanuni chache za mabaharia

1.Baharia haogi ovyo.

2.Boksa 2 zinamtosha sana baharia

3.Baharia hatufanyi usafi ghetto kizembe labda kama demu anakuja 100%
.
.
.
4.Mabaharia hatuhongi kizembe

5.Demu akiomba hela aje kuchukulia geto

6.Tukituma hela hatutumi na ya kutolea

7.Demu mmoja hamtoshi Baharia

8.Baharia ukishapiga tembea zako na ikiwezekana ugawe namba kabisa kwa maharia wenzako kama mzigo unaridhisha [emoji23]

9.Mabaharia hatumwagi nje kizembe na hatukubali Mimba za kubambikizwa

10.Mabaharia hatuli Chipsi kizembe,ubaharia ni kule mihogo na magimbi

11.BAHARIA HASOMESHI MCHUMBA

12.Mabaharia hatujibu message ya "baby nikwambie kitu?"

Mabaharia tirisheni sheria za mabaria[emoji16]View attachment 1200321

View attachment 1200323
Nimeipenda sana hii!
 
Back
Top Bottom