mtwa mkulu
JF-Expert Member
- Sep 11, 2013
- 8,585
- 11,268
Umenielewesha character ya huyu Sakayo maana ningeanza kuogopa mwenyewe anaona tusivyoonaMmmh mimi nimefanyaje
Umenielewesha character ya huyu Sakayo maana ningeanza kuogopa mwenyewe anaona tusivyoonaMmmh mimi nimefanyaje
Tatizo gani bwana mimi bwana hata sijamuelewaUnacheka eeehh
Tatizo hilo limekuwa kubwa sana, tusimame imara tukabiliane nalo
Soma vizuri uzi wa mleta madaTatizo gani bwana mimi bwana hata sijamuelewa
👂👂Tumekuelewa sana mkuu, unadhani hata sisi tunapenda basii, yaaani hiyo ni changamoto kubwa sana...
Iko kila mahali, inabidi tuelewe tuu mkuu!
Tukabiliane na hizo changamoto hapo juu dada, ujue hayo mambo yapo kila mahaliTusimame imara kwaajili ya nani?
Mimi naona kichwa cha habari tu sijui hata aliongelea niniSoma vizuri uzi wa mleta mada
Inabidi tupambane dear[emoji101][emoji101]
Kwani huoni madaMimi naona kichwa cha habari tu sijui hata aliongelea nini
Tumekuelewa sana mkuu, unadhani hata sisi tunapenda basii, yaaani hiyo ni changamoto kubwa sana...
Iko kila mahali, inabidi tuelewe tuu mkuu!
Wewe digidigi pori.[emoji101][emoji101]
Tupambane na nini me sijaona kitu 😂 nimeona tu mods India hii kitu ( ni kitu gani kwani ilikuwaInabidi tupambane dear
DuuuuhhhBaharia haulizi anatenda tu
wewe ni Baharia wa nchi kavu
Au nikupe pande wewe?Subiri akufungukie
Tupambane na nini me sijaona kitu [emoji23] nimeona tu mods India hii kitu ( ni kitu gani kwani ilikuwa
Umenimiss au?/😂Wewe digidigi pori.